Sasa mbona huyo magufuri unaye msema hana sifa hata moja kati ya hizo ulizo zitaja?
Usalama wa hovyo ni kipindi cha Magufuri ambapo watu walianza kutekwa na kuuawa viongozi wa kisiasa walipigwa lisasi kwenye viwanja vya bunge.
Usafiri ni kipindi cha Magufuri ambapo mradi wa mwendo kasi ulikufa ukawa unaendeshwa shagarabagara.
Hudumu za jamii ya kwamba magufuri aliacha amejenga hospital, ameajiri madaktali wa kutosha ,ameajili walimu wa kutosha, amejenga mashule ya kutosha,amejenga barabara za rami nchi nzima,amesambaza maji nchi nzima ila alipo kuja samia akavibomoa vyote?
Ndio maana nime sema kuwa kila mtu ana mtazamo wake kuhusu ubora wa kiongozi husika.
Na ndio maana walio kuwa wanashangilia utekaji kipindi cha Magufuri ndo hao hao wanao jifanya wanakemea utekaji unao fanywa na huyu mama.
Nyinyi wafuasi wa Magufuri mna mtazamo hasi na chuki dhidi ya huyu mama hivyo hata afanye nini hamuwezi kuona uzuri wake kwa sababu tiyari mna mtazamo hasi juu yake , lakini kiukweli huyu mama pamoja na mapungufu mengi lakini amefanya mambo mengi ambayo Magufuli aliyashindwa.