Huyu Binti Kwa kusema hivi anaweza kukamatwa?

Huyu Binti Kwa kusema hivi anaweza kukamatwa?

Vijana wa Chadema hopeless kabisa

Kwani akimnyima kura si sawa tu, sababu huwezi pendwa na watu wote kwa asilimia mia moja, hata Yesu mwenyewe alichukiwa na baadhi ya binadamu sana tu, sembuse Mh. Rais wetu.

So ni jambo la kawaida tu, ila CHADEMA ndio mnafanya kuwa jambo kubwaaaaa..!! Hopeless Chadema kabisa
Yesu sijui unamuingiza wa nini hapo! Mnafiki wa kanisani wewe!
 
Tanzania tungekuwa na uhuru wa kuongea kama Kenya,tungekuwa mbali sana kwenye maendeleo, uhuru wa mawazo ni muhimu sana kwenye democracy
Usiyalilie ya huko Kenya; Pambana na haya ya haPa kwetu!
Unajuwa lakini walivyo na hali mbovu; kwamba ni vigumu kujuwa nafuu kati yetu na wao iliPO?

Huku kujisemea tu mambo kwa kusikia tu, na kuyarudia rudia kama kasuku yatatusaidia kitu gani sisi?

Unajuwa "wanaongea" kila siku, na mamia kila mwaka wanamwaga damu mitaani kwao, lakini hali mbovu iko PalePale!

Sasa hiyo imewasaidia kitu gani?
 
Vijana wa Chadema hopeless kabisa

Kwani akimnyima kura si sawa tu, sababu huwezi pendwa na watu wote kwa asilimia mia moja, hata Yesu mwenyewe alichukiwa na baadhi ya binadamu sana tu, sembuse Mh. Rais wetu.

So ni jambo la kawaida tu, ila CHADEMA ndio mnafanya kuwa jambo kubwaaaaa..!! Hopeless Chadema kabisa
Kabla hata ya kumkimbilia huyo Yesu na kumhusisha kwenye maswala haya; umejiuliza hizi baiskeli mliziPeleka huko kwa sababu gani?
Nendeni basi mkazichukue baiskeli zenu kwa vile sasa mmetambua kuwa hawa watu hawawaendi!
 
Babu hii ni nchi yakidemokrasia, watu tuko free kuchagua mtu yeyote ambaye tunaona anatufaa
Mkuu, 'backbenchers', hawataki iwe hivyo, ya kidemokrasia; ndiyo maana wanayagawa hayo maiki/mabaiskeli; na ndiyo maana akina Tundu Lissu wako ndani sasa hivi na CHADEMA wamefungiwa.

Kwa hiyo nchi hii hatuko free kuchagua yeyote; ingekuwa hivyo, NO REFORM, NO ELECTION, isingekuwa na maana yoyote wakati huu! Tanzania siyo nchi ya kidemokrasia.
 
Nimejiuliza kama maneno ya huyu Binti yanaweza kumweka matatani hata kukamatwa?

View attachment 3411953
Huyu hapa.
kwani ngoma za chagulaga msimu umeshaisha? watakuwa na ugwadu tu, ila inareflect kauli za mpina kuwa bado wana mdai,

wakati wa nyerere kuna wadada aliropoka kuwa kha kanyerere kumbe kembamba kuliko mume wangu, walikiona cha mtema kuni.
 
Sio kweli kwa sababu % kubwa ya watz ni wakulima na hakuna kipindi ambacho wakulima wameuza mazao yao kwa bei nzuri kama kipindi cha huyu mama tangu uhuru.
Miradi yote iliyo achwa na Magufuri ameikamilisha yote hali yakuwa alikuwa na uwezo wa kuachana nayo na kuanzisha ya kwake.
Suala la kupendwa au kutopendwa kila rais kwa watz huwa ni mbaya hata Magufuri walikuwa wanashinda wanamtukana mitandaoni kuliko hata huyu mama ,kiufupi watz hatujui tunataka nn.
Mimi ni mkulima wa pamba, tumbaku na mnunuzi wa mahindi/mpunga

Naomba kujua hiyo kuuza kwa bei nzuri unamaanisha nini. Karibu kwa mjadala
 
huyu mama sijui anawaza Nini ameuwa secta ya ujezi, wakandarasi tuna hali mbaya kweli
Wakandarasi Machawa walitaka kumnunulia Helkopita kwa ajili ya kufanyia Kampeni. Nchi ina watu wajinga hii acha tu. Huku hela Mnadai kama Wakandarasi huku kuna kikundi cha Machawa kinajipendekeza kununua Helkopita.
 
Bhiyaa du!

Niliposikia hivyo tu, basi!

Hao ni Wanyantuzu kabisa na hapo ni Simiyu 🤣.

Wanyantuzu tunajuana tu.

Oh, btw, kamdada kazuri kweli hako na hapo hakuna makeup wala nywele bandia.
 
Ila kiukweli kabisaa, sa100 hakubaliki kwa wanannchi wengi wa kati na wale wa chini...hajagusa maisha yao moja kwa moja.
Anakubalika kwa kundi dogo tu (na ndio lenye makelele mengi) la wanufaika wa utawala wake...wateule na machawas!
Kundi la wazelendo waiba pesa
 
Nimejiuliza kama maneno ya huyu Binti yanaweza kumweka matatani hata kukamatwa?

View attachment 3411953
Huyu hapa.
Kwa akili ndogo za viongozi wa serikali, polisi na CCM walivyo zoea kuhangaika na vitu vidogo vidogo watawakamata na kuwapoteza hao maskini kama walivyo mpoteza yule dogo wa picha, hawa CCM na polisi ni mashetani kabisa hawa.
 
Huko ni kukosa shukrani, hii jamii inaonekana ina watu wasio na shukrani kama hao waliopokea zawadi za Daktari halafu wanakataa kulipa fadhila.
Mkuu hivi unaamini kwamba viongoz wanapendwa na watu wote?
Kama unalijua hilo basi chukulia kawaida sana.
Pili, hizo zawadi wananchi waliziomba?, Je, wangepewa uhuru wa kuchagua wapewe nini wangeomba hizo bikes.

Je, aliyewapa aliwapa kwa upendo wake kwao au alihonga? Kama aliwapa kwa upendo fadhira gani unazungumzia, na kama ni fadhira je, si mpaka wao wenyewe wa hiari?
 
Back
Top Bottom