Huyu Binti Kwa kusema hivi anaweza kukamatwa?

Huyu Binti Kwa kusema hivi anaweza kukamatwa?

Ww huna mao
Haa, unaona kabisa ni mchezo wa kitoto. Pia, hao ni watumwa wa akili kwamba yenyewe hapo ilipo inachojua ni kuwa mwanamke kazi yake kuchunga ng'ombe Huku akiwa kanyolewa kipara. Hapo inasubiri muda tu iende malishoni....... pathetic!!!
Huna Maono yoyote kushinda huyo mtoto kwa kifupi wasukuma wote ww huwez kuwashinda akili Tweneke
 
Mkuu hapa hatujadili kuhusu mtu kupendwa au kuchukiwa na watu wote kitu ambacho hakiwezekani, hapa tunazungumzia kile kiasi cha kukubalika au kutokubalika kwa wananchi hatuzungumzii makundi yaliyofaidika na utawala bali kukubali kwa huo utawala.
Nipe ushahidi wa na sababu inayo kufanya uone samia hakubaliki na Magufuli alikuwa akikubalika.
 
Hawa ndugu wana uchungu na ndugu yao, tena wana msimamo haswa, wakisema wamesema, hawaongei sana ila vitendo vyao vitakuonyesha.
 
Sio kweli kwa sababu % kubwa ya watz ni wakulima na hakuna kipindi ambacho wakulima wameuza mazao yao kwa bei nzuri kama kipindi cha huyu mama tangu uhuru.
Miradi yote iliyo achwa na Magufuri ameikamilisha yote hali yakuwa alikuwa na uwezo wa kuachana nayo na kuanzisha ya kwake.
Suala la kupendwa au kutopendwa kila rais kwa watz huwa ni mbaya hata Magufuri walikuwa wanashinda wanamtukana mitandaoni kuliko hata huyu mama ,kiufupi watz hatujui tunataka nn

Sio kweli kwa sababu % kubwa ya watz ni wakulima na hakuna kipindi ambacho wakulima wameuza mazao yao kwa bei nzuri kama kipindi cha huyu mama tangu uhuru.
Miradi yote iliyo achwa na Magufuri ameikamilisha yote hali yakuwa alikuwa na uwezo wa kuachana nayo na kuanzisha ya kwake.
Suala la kupendwa au kutopendwa kila rais kwa watz huwa ni mbaya hata Magufuri walikuwa wanashinda wanamtukana mitandaoni kuliko hata huyu mama ,kiufupi watz hatujui tunataka nn.
Lakini hakuanzisha mradi hata mmoja unaoweza kufika 1T
 
Back
Top Bottom