Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Zinaibwa kutoka kwa nani?!!!Lakini bado ana haki ya kura moja mtu mmoja. Sema kwa vile mnaiba na hamheshimu hilo
Zinaibwa kutoka kwa nani?!!!Lakini bado ana haki ya kura moja mtu mmoja. Sema kwa vile mnaiba na hamheshimu hilo
Sanduku la kutunzia kura. Kesi ya Dr. Slaa baada ya uchaguzi wa mwaka 2000 ilithibitishwa kura zaidi ya 5,000 za kwake hakupewa.Zinaibwa kutoka kwa nani?!!!
Ingawa unatumia jina bandia, wewe binafsi inaonesha una roho mbaya Sana...Si anajifanya mdude, subiri!
On the contrary, mimi ni muumini wa an eye for an eye.Ingawa unatumia jina bandia, wewe binafsi inaonesha una roho mbaya Sana...
Na kuwa kama JPM yataka moyo..Samia anapitia haya kwa sababu ya aina ya uongozi wa Magufuli ulivyokuwa ila kama Samia mtangulizi wake angekuwa ni Kikwete basi watu wasingemkataa sana Samia kiasi hiki.
Baiskeli ni 80 au 20 kuzinunua nyingi kama walivyofanya CCMWaulize wanajua bei ya baiskeli?
Mambo yanazidi kuchangamka🤣🤣View attachment 3411963
Hawa ni wapate wa milimani huko..
Sawa kabisa.On the contrary, mimi ni muumini wa an eye for an eye.
🤣🤣🤣🤣🤣Haa, unaona kabisa ni mchezo wa kitoto. Pia, hao ni watumwa wa akili kwamba yenyewe hapo ilipo inachojua ni kuwa mwanamke kazi yake kuchunga ng'ombe Huku akiwa kanyolewa kipara. Hapo inasubiri muda tu iende malishoni....... pathetic!!!
Sasa unadhani wote waliopewa hizo ni wafuasi wa SSH?Nimejiuliza kama maneno ya huyu Binti yanaweza kumweka matatani hata kukamatwa?
View attachment 3411953
Huyu hapa.
Ni wafuasi wa nani Sasa?Sasa unadhani wote waliopewa hizo ni wafuasi wa SSH?
KENGE...😂😅😄😀😃🤣🤣🤣🤣🤣
Yatawatoka sana mwaka huu. Mnatukana wapiga kura!!!!!!
Huyu ni amejzwaNimejiuliza kama maneno ya huyu Binti yanaweza kumweka matatani hata kukamatwa?
View attachment 3411953
Huyu hapa.
Huyu ni amejazwa tu ujinga,infact binafsi yake hajui hata anasema nini?/ Hana upeo wa kufahamu mwelekeo wa taifa lilipotoka na linapoelekea,ana ujinga wa kushikiwa tuNimejiuliza kama maneno ya huyu Binti yanaweza kumweka matatani hata kukamatwa?
View attachment 3411953
Huyu hapa.
Kuna mtu Huwa anapendwa na wote?Ni wafuasi wa nani Sasa?
Wewe kakujaza nani?Huyu ni amejzwa
Huyu ni amejazwa tu ujinga,infact binafsi yake hajui hata anasema nini?/ Hana upeo wa kufahamu mwelekeo wa taifa lilipotoka na linapoelekea,ana ujinga wa kushikiwa tu
Wote wa wapi. Ndani ama nje ya CCM?Kuna mtu Huwa anapendwa na wote?