Mzee Ngonyani
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 1,400
- 2,736
Unapenda akamatwe? Mimi sijaona Cha ajabu hapo hata wakati wa Magufuli walikuwepo wanaompenda na wasiompenda.Kama kilikamatwa kile kichanga Cha kule mbeya sembuse hyo
Unapenda akamatwe? Mimi sijaona Cha ajabu hapo hata wakati wa Magufuli walikuwepo wanaompenda na wasiompenda.Kama kilikamatwa kile kichanga Cha kule mbeya sembuse hyo
Mshana Jr hao ndugu zako walindweView attachment 3411963
Hawa ni wapate wa milimani huko..
Huko ni kukosa shukrani, hii jamii inaonekana ina watu wasio na shukrani kama hao waliopokea zawadi za Daktari halafu wanakataa kulipa fadhila.Kinachonifurahisha sasa, hata wale ambao wanaonekana hawana Elimu, nao wameweza kuitambua Janjajanja ya Samia kugawa Baiskeli na Pikipiki kama Rushwa ili wamchague.
Sasa nao wamesema, Baiskeli wanaendesha ila hawamchagui na hawampemdi, na hawamtaki.
Haya karibuni Wazee Watekaji, kazi kwenu menden muwateke, muwape na Kesi ya Uhujumu Uchumi kama ya Matumizi mabaya ya Mitandao itawashinda.
View attachment 3411962
Hahaha ina maana kwa huu mtindo wa kikundi cha wauaji watawatafuta na hao wawaue??? HahahaKinachonifurahisha sasa, hata wale ambao wanaonekana hawana Elimu, nao wameweza kuitambua Janjajanja ya Samia kugawa Baiskeli na Pikipiki kama Rushwa ili wamchague.
Sasa nao wamesema, Baiskeli wanaendesha ila hawamchagui na hawampemdi, na hawamtaki.
Haya karibuni Wazee Watekaji, kazi kwenu menden muwateke, muwape na Kesi ya Uhujumu Uchumi kama ya Matumizi mabaya ya Mitandao itawashinda.
View attachment 3411962
Apewe shukrani kwani amenunua kwa mshahara wake na kama ni msaada usio wa wakisiasa kwanini ameweka utambulisho wake na sio serikaliHuko ni kukosa shukrani, hii jamii inaonekana ina watu wasio na shukrani kama hao waliopokea zawadi za Daktari halafu wanakataa kulipa fadhila.
Kwenda zako hukoDunia ya sasa siyo ya zamani..
Juzi kuna gen z mmoja nilikuwa naongea naye, aisee mambo aliyokuwa anaongea, mambo anayoyajua, anavyochambua mambo, nikajisemea hapa kweli tuko kizazi kingine kabisaaa..
Mpaka ilibidi sasa nimuambie umeshaiva, karibu Jamiiforums😀😀
Mimi sijampa lawama Magufuli ila nachoseme ni kwamba Magufuli alichagua aina ya uongozi wake ambao ulikuwa na utofauti na mtangulizi wake, sasa Samia kaachana na hiyo aina ya uongozi wa mtangulizi wake na kurudisha aina ya uongozi iliyokuwa sawa na Kikwete na hapo ndio shida inapokuja. Ila kama Magufuli aina ya uongozi wake usingetofautiana sana na Kikwete basi hata Samia asingepata upinzani sana kwa wananchi.Yeye Kama kiongozi angeweza kuchagua aina yake ya uongozi.
Msitafute mtu wa kumtupia lawama kwa makosa yake.
Mbona Magufuli alichagua kutovaa barakoa na Samia akaona siyo sahihi akavaa barakoa?
Mbona Magufuli alitumbua wazembe na yeye aliwaacha?
Mbona Magufuli hakuajiri au kupandisha mishahara kama Samia, na Samia alifanya tofauti na Magufuli?
Mbona Samia aliwalipa wafanyakazi waliotumbuliwa vyeti feki kwa huruma na ubinadamu wakati Magufuli alikataa?
Kwanini asiige na hayo yote?
Baiskeli zenu zinabagazwa mpaka aliye wapa! Sjui mtawatoa sadaka na hao?Na Bado, mtafurukuta sana tu na washamba wenu wachache