Sio kweli kwa sababu % kubwa ya watz ni wakulima na hakuna kipindi ambacho wakulima wameuza mazao yao kwa bei nzuri kama kipindi cha huyu mama tangu uhuru.Ila kiukweli kabisaa, sa100 hakubaliki kwa wanannchi wengi wa kati na wale wa chini...hajagusa maisha yao moja kwa moja.
Anakubalika kwa kundi dogo tu (na ndio lenye makelele mengi) la wanufaika wa utawala wake...wateule na machawas!
RUdia tena kusoma mkuu.Sababu ni nini?
Samia angechukua nchi baada ya Kikwete Tanzania kungekuwa na mapinduzi tayari.Watanzania walishachoka na ufisadi uliokithiri 2015.Samia anapitia haya kwa sababu ya aina ya uongozi wa Magufuli ulivyokuwa ila kama Samia mtangulizi wake angekuwa ni Kikwete basi watu wasingemkataa sana Samia kiasi hiki.
Ww unavyo ona ni kipi kilicho fanywa na Magufuli ambacho hakijafanywa na huyu mama?Samia anapitia haya kwa sababu ya aina ya uongozi wa Magufuli ulivyokuwa ila kama Samia mtangulizi wake angekuwa ni Kikwete basi watu wasingemkataa sana Samia kiasi hiki.
Sawa gete bh'a mayuNimejiuliza kama maneno ya huyu Binti yanaweza kumweka matatani hata kukamatwa?
View attachment 3411953
Huyu hapa.
Upo?Jioni tutakuwa na tafrija - Membe, BK
Kupeana taarifa yaliyopo kijijinLengo la wewe kupost ni Nini?
Machawa ndo yanamkubaliIla kiukweli kabisaa, sa100 hakubaliki kwa wanannchi wengi wa kati na wale wa chini...hajagusa maisha yao moja kwa moja.
Anakubalika kwa kundi dogo tu (na ndio lenye makelele mengi) la wanufaika wa utawala wake...wateule na machawas!
Acha wapokee ni kodi zaoYaani unapokea baiskeli alafu unaponda,si bora wangezikaushia
Hao lazima watakutana na mtema kuni
Ova
Huyu Mama alipaswa amwite wajadiliane namna gani atafanya wamkubali nasi Baiskeli...ila sasa washapite nae...Apumzike kwa Amani.Nimejiuliza kama maneno ya huyu Binti yanaweza kumweka matatani hata kukamatwa?
View attachment 3411953
Huyu hapa.
Sababu ya kutokubalika ni nini? Watanzania mnataka kuwa oyaoya kama Gen Z wa kiberaRUdia tena kusoma mkuu.
Na kwakuwa hakubaliki wanufaika wanatumia nguvu kuubwa kumtangaza - mabango, baiskel, pikipiki, matamasha mbalimbali jina sa100 nk nk ili kuli manipulate kundi hilo kubwa la wapigakura!
Hata watekaji & wauaji...wamo kundi hilohilo la wanufaikaji!
Pia wakati wa kampeni utakapoanza tujiandae kushuhudia nguvu kubwa ambayo haijawahi kutokea kwenye kumnadi sa100.
Mamia kwa mamia ya ma bus, malori, nk kusomba watu kutoka maeneo tofauti kujaza mikutano yake ili kuuhadaa uma kwamba sa100 anakubalika!
Wasanii woote wataambatana naye kutoa burudani ili watu wajae mikutanoni!
Mkuu, nimetembea sehemu mbalimbali nchini kwa mishe za life huku pia nikijaribu kudadisi, aisee sa100 HAKUBALIKI!!!.
Hawa jamaa hawachagui na mafwele akipewa kazi hako kabinti kanaweza hata kubakwa. Hebu ona kale ka bwana mdogo mwenyekiti wa bavicha Geita, si wameshsmteka!Kile kikosi cha Abdul na Mchengerwa kinaweza kumteka aseee
Kupeana taarifa yaliyopo kijijin
Hata mimi wakinipa pesa, nazilamba, ila kura hawapati ng'o!Mbona walipokea baiskeli
Ova