Huyu Binti Kwa kusema hivi anaweza kukamatwa?

Huyu Binti Kwa kusema hivi anaweza kukamatwa?

Mimi sijampa lawama Magufuli ila nachoseme ni kwamba Magufuli alichagua aina ya uongozi wake ambao ulikuwa na utofauti na mtangulizi wake, sasa Samia kaachana na hiyo aina ya uongozi wa mtangulizi wake na kurudisha aina ya uongozi iliyokuwa sawa na Kikwete na hapo ndio shida inapokuja. Ila kama Magufuli aina ya uongozi wake usingetofautiana sana na Kikwete basi hata Samia asingepata upinzani sana kwa wananchi.
Uongozi wa huyu mama unafanana na wa magufuri ,huyu mama anateka na kuuwa wapinzani wake kama Magufuli,
Anafunga wapinzani wake kama magufuri, hapendi kukosolewa kama Magufuli,ni bingwa wa kuvuruga uchaguzi kwa kuiba kula kama magufuri.
Hayo yote Kikwete hakuwahi kuyafanya ,kiufupi Magufuli na Samia ni mtu na mwalimu wake.
 
Na waliowapelekea hizo baiskeli ndio hao wakawarekodi na kurusha hewani.

Yuda 1 : 9 ... .... .. Bwana na akukemee.
 
Tanzania tungekuwa na uhuru wa kuongea kama Kenya,tungekuwa mbali sana kwenye maendeleo, uhuru wa mawazo ni muhimu sana kwenye democracy
Kenya wanakuuliwq na risasi kila siku,ndio uhuru wa kuongea huo.Juzi saba saba ,31 wameuliwa kwa risasi na 40 eamejerujlhiwa na risasi.Wqcha waliouliwq kimya kimya.
 
Samia angechukua nchi baada ya Kikwete Tanzania kungekuwa na mapinduzi tayari.Watanzania walishachoka na ufisadi uliokithiri 2015.
Fisadi mkubwa wewe,na jizi.Mama Samia kawabana,msiibe ndio mwapiga kelele,mama anawabana hapo hapo,majizi wakubwa nyie.
 
Huna Akili

Unaamini kwamba Magufuli alipita kwa sababu alibebwa na uongozi wa JK?
Duh! Yani unaniita sina akili kwa kosa lako mwenyewe la kushindwa kuelewa nilichosema, kwanini usingetangulia kuuuliza kwanza ili upate kuelewa?
 
video haina kosa kisheria. Wasuma wapo smart, wamefikisha hoja bila kutukana
 
Back
Top Bottom