Dibo10
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,331
- 1,636
Huwa nayakumbuka sana haya maneno hahaha...Membe alikuwa muhuniJioni tutakuwa na tafrija - Membe, BK
Huwa nayakumbuka sana haya maneno hahaha...Membe alikuwa muhuniJioni tutakuwa na tafrija - Membe, BK
Sasa ndio sababu ya jeshi la polisi kutowakamata hao watekaji wenzao kwa kesi za urithi?Mnatekana wenyewe,kwa kuchukuliana wapenzi kugombea mali za urifhi,kudhulumiana nk
Magufuli alikuwa blue print ya namna uongozi unavyotakiwa kuwa. Na ndio maana alikubalika na kundi kubwa ukiachana na wapuuzi wachache ambao walikuwa wala rushwa na mafisadi na wapiga deals.Samia anapitia haya kwa sababu ya aina ya uongozi wa Magufuli ulivyokuwa ila kama Samia mtangulizi wake angekuwa ni Kikwete basi watu wasingemkataa sana Samia kiasi hiki.
Hizi baskeli ni rushwa ya Waziwazi. Wapumbavu tu ndio wameshindwa kung'amua hili.Nimejiuliza kama maneno ya huyu Binti yanaweza kumweka matatani hata kukamatwa?
View attachment 3411953
Huyu hapa.
Acheni kuwadanganya watu na kuwarekodi ili mkidhi haja zenu za kisiasa.Nimejiuliza kama maneno ya huyu Binti yanaweza kumweka matatani hata kukamatwa?
View attachment 3411953
Huyu hapa.
Mbona hajakamatwa?Tumia akili.Mnatekanq wenyewe kwa wenyewe kwa ugomvi wa mapenzi kudhulumiana,ugomvi wa kifamilia,halafu mnasingizia wengibneNimejiuliza kama maneno ya huyu Binti yanaweza kumweka matatani hata kukamatwa?
View attachment 3411953
Huyu hapa.
🤣🤣🤣🤣🤣Nimejiuliza kama maneno ya huyu Binti yanaweza kumweka matatani hata kukamatwa?
View attachment 3411953
Huyu hapa.
Unaweza ukawa sahihi wala sihitaji kukupinga katika hilo, ila hayo yote sio mambo yaliyomfanya Magufuli akubalike na wananchi ambao ndio pengine sasa wanamkataa Samia kwa sababu anafanya pia ambayo aliyafanya Kikwete ambayo Magufuli hakuyafanya. Kiongozi hufanya mengi mazuri kwa mabaya, sasa Samia kama alichagua mabaya tu ya mtangulizi wake na kuacha yale ambayo pengine yalionekana mazuri kwa wananchi basi hapo ndio alipofeli.Uongozi wa huyu mama unafanana na wa magufuri ,huyu mama anateka na kuuwa wapinzani wake kama Magufuli,
Anafunga wapinzani wake kama magufuri, hapendi kukosolewa kama Magufuli,ni bingwa wa kuvuruga uchaguzi kwa kuiba kula kama magufuri.
Hayo yote Kikwete hakuwahi kuyafanya ,kiufupi Magufuli na Samia ni mtu na mwalimu wake.
Jioni tutakuwa na tafrija - Membe, BK
Kwa kuongea au kufanya vurugu? Maana Tz hata kwa kuongea tu unaweza kupigwa hizo risasi achilia kufanya maandamano.Kenya wanakuuliwq na risasi kila siku,ndio uhuru wa kuongea huo.Juzi saba saba ,31 wameuliwa kwa risasi na 40 eamejerujlhiwa na risasi.Wqcha waliouliwq kimya kimya.
Very pure love ..... Ukweli ndio upendo wa dhati🙃🙃🙃 hoja na maoni kama haya yanapaswa kupokelewa kwa mikono miwili hakuna chuki bali ni pure love.Nimejiuliza kama maneno ya huyu Binti yanaweza kumweka matatani hata kukamatwa?
View attachment 3411953
Huyu hapa.
Jee maneno haya yangesemwa dhidi ya kiongozi yeyote wa CHADEMA tungewaza kuwa Kuna hatari?Acheni kuwadanganya watu na kuwarekodi ili mkidhi haja zenu za kisiasa.
Haya yote mnafanya kwa faida ya nani? Mnawakalilisha watu maneno ili wayaseme then mnawarekodi, mnafikiri bint kama huyo akibanwa hawezi kuwataja?
Acheni watu wafanye kwa utashi wao
Muulize Polepole kujihuzulu tu familia ikatekwaHakuna threat hapo
Akikujibu, nistue Mkuu nipo pale nimekaa.Jee maneno haya yangesemwa dhidi ya kiongozi yeyote wa CHADEMA tungewaza kuwa Kuna hatari?
Hivi maneno haya na ya yule aliyesema kuwa Lissu anyongwe yapi ni ya hatari zaidi?
Mwenyewe Samia alikiri kuwepo nidhamu ila alisema kuna nidhamu za uoga, wewe ulielewa nidhamu zipi aliposema hivyo?Nidhamu kama zipi ebu zitaje.
Acheni kuwarekodi ili mkidhi haja zenu za kisiasa.Jee maneno haya yangesemwa dhidi ya kiongozi yeyote wa CHADEMA tungewaza kuwa Kuna hatari?
Hivi maneno haya na ya yule aliyesema kuwa Lissu anyongwe yapi ni ya hatari zaidi?