Roho ya kiuaji kabisa ina hawa watu yani wanaua watu ambao hawana impact yeyote kwenye serikali na wanayaacha majangili na majambazi ya mali za umma yanakunja nne tu ikulu , hii nchi kuna mahali tulimkosea sana mungu na hii ni ghadhabu yake.Kama kilikamatwa kile kichanga Cha kule mbeya sembuse hyo