Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Kile kikosi cha Abdul na Mchengerwa kinaweza kumteka aseeeNimejiuliza kama maneno ya huyu Binti yanaweza kumweka matatani hata kukamatwa?
View attachment 3411953
Huyu hapa.
Ikulu ni sehemu takatifu siyo pango la wahuni na makahabaNimejiuliza kama maneno ya huyu Binti yanaweza kumweka matatani hata kukamatwa?
View attachment 3411953
Huyu hapa.
Sababu ni nini?Ila kiukweli kabisaa, sa100 hakubaliki kwa wanannchi wengi wa kati na wale wa chini...hajagusa maisha yao moja kwa moja.
Anakubalika kwa kundi dogo tu (na ndio lenye makelele mengi) la wanufaika wa utawala wake...wateule na machawas!
Na wewe ukaona umtupie humu, humtakii mema msukuma huyu.Nimejiuliza kama maneno ya huyu Binti yanaweza kumweka matatani hata kukamatwa?
View attachment 3411953
Huyu hapa.
Maskini wapo kijijini hawajui kazi ya kuteka na kuua huko kijijini amepewa Mchengerwa, mkwe wa Idi Amini Mama😢Nimejiuliza kama maneno ya huyu Binti yanaweza kumweka matatani hata kukamatwa?
View attachment 3411953
Huyu hapa.
Nimejiuliza kama maneno ya huyu Binti yanaweza kumweka matatani hata kukamatwa?
View attachment 3411953
Huyu hapa.
uhuru wa mawazo ni muhimu sana kwenye kuifanya nchi ipige hatua za kimaendeleo.Tanzania tungekuwa na uhuru wa kuongea kama Kenya,tungekuwa mbali sana kwenye maendeleo, uhuru wa mawazo ni muhimu sana kwenye democracy
Umeuza file brother!!Nimejiuliza kama maneno ya huyu Binti yanaweza kumweka matatani hata kukamatwa?
View attachment 3411953
Huyu hapa.
Yeye Kama kiongozi angeweza kuchagua aina yake ya uongozi.Samia anapitia haya kwa sababu ya aina ya uongozi wa Magufuli ulivyokuwa ila kama Samia mtangulizi wake angekuwa ni Kikwete basi watu wasingemkataa sana Samia kiasi hiki.