Huyu Binti Kwa kusema hivi anaweza kukamatwa?

Ila kiukweli kabisaa, sa100 hakubaliki kwa wanannchi wengi wa kati na wale wa chini...hajagusa maisha yao moja kwa moja.
Anakubalika kwa kundi dogo tu (na ndio lenye makelele mengi) la wanufaika wa utawala wake...wateule na machawas!
Sio kweli kwa sababu % kubwa ya watz ni wakulima na hakuna kipindi ambacho wakulima wameuza mazao yao kwa bei nzuri kama kipindi cha huyu mama tangu uhuru.
Miradi yote iliyo achwa na Magufuri ameikamilisha yote hali yakuwa alikuwa na uwezo wa kuachana nayo na kuanzisha ya kwake.
Suala la kupendwa au kutopendwa kila rais kwa watz huwa ni mbaya hata Magufuri walikuwa wanashinda wanamtukana mitandaoni kuliko hata huyu mama ,kiufupi watz hatujui tunataka nn.
 
Sababu ni nini?
RUdia tena kusoma mkuu.
Na kwakuwa hakubaliki wanufaika wanatumia nguvu kuubwa kumtangaza - mabango, baiskel, pikipiki, matamasha mbalimbali jina sa100 nk nk ili kuli manipulate kundi hilo kubwa la wapigakura!
Hata watekaji & wauaji...wamo kundi hilohilo la wanufaikaji!
Pia wakati wa kampeni utakapoanza tujiandae kushuhudia nguvu kubwa ambayo haijawahi kutokea kwenye kumnadi sa100.
Mamia kwa mamia ya ma bus, malori, nk kusomba watu kutoka maeneo tofauti kujaza mikutano yake ili kuuhadaa uma kwamba sa100 anakubalika!
Wasanii woote wataambatana naye kutoa burudani ili watu wajae mikutanoni!

Mkuu, nimetembea sehemu mbalimbali nchini kwa mishe za life huku pia nikijaribu kudadisi, aisee sa100 HAKUBALIKI!!!.
 
Samia anapitia haya kwa sababu ya aina ya uongozi wa Magufuli ulivyokuwa ila kama Samia mtangulizi wake angekuwa ni Kikwete basi watu wasingemkataa sana Samia kiasi hiki.
Ww unavyo ona ni kipi kilicho fanywa na Magufuli ambacho hakijafanywa na huyu mama?
 
Sababu ya kutokubalika ni nini? Watanzania mnataka kuwa oyaoya kama Gen Z wa kibera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…