Huyu Binti naoa wiki hii hii sitaki nimeshindwa vumilia

Shady782

Member
Joined
Jun 12, 2026
Posts
9
Reaction score
45
IPO hivi Kuna Binti nkutana nae kwenye gari muda natoka job sasa the way alivo alinivutia sana mwamba sikusita nikaomba namba nikampanga freshi.

Kilicho nishangaza hakuonesha dalili za kutaka kukataa labda kama nilivozoea Yani tayari tumeshazoeana mpaka sasa anakuja mpaka getto kupika.

Mimi huyu naoa liwalo na liwe najua hatujazoeana sana lakini tutazoeana ndani humo humo
 
Pole
 
1781497527216.gif
 
Kila la kheri.
Ndoa ni njambo la kheri
 
Liwalo na liwe eh
Mjinga sana wewe,ndoa sio swala la kujizima dawa au kujitoa ufaham et liwalo na liwe,kisa amekuja kukupikia?

Acha ujinga utakuja uamke asubuh umebak na pumbu tu,watabeba mpaka ndala..
Et ndoa ndoa kwenye daladala
 
acha, usimsanue huyo boya....soon atarudi hapa analia,
 
IPO hivi Kuna Binti nkutana nae kwenye gari muda natoka job sasa the way alivo alinivutia sana mwamba sikusita nikaomba namba nikampanga freshi.

Kilicho nishangaza hakuonesha dalili za kutaka kukataa labda kama nilivozoea Yani tayari tumeshazoeana mpaka sasa anakuja mpaka getto kupika.

Mimi huyu naoa liwalo na liwe najua hatujazoeana sana lakini tutazoeana ndani humo humo
majuto ni mjukuu
 
Ukichaa ni kweli unao bila ubishi,ambao obvious ndo umekutawala 🤣
JF mimi hua nampokea mtu kama atakavyo kuja,hua sina diplomatic language hasa kwa hawa wanaokejeli Imani za wenzao,siwezi kuruhusu dharau ya aina yeyote ile dhidi yangu au dhidi ya imani yangu,
Lakini kuna muda u-uplatinum unakuja kuja kama hivi 😆
Hapa labda hua naiga akili zako tu mkuu.
 
JF mimi hua nampokea mtu kama atakavyo kuja,huna sina diplomatic language hasa kwa hawa wanaokejeli Imani za wenzao,siwezi kuruhusu dharau ya aina yeyote ile dhidi yangu au dhidi ya imani yangu,

Hapa labda hua naiga akili zako tu mkuu.

Kwa JF ili utoboe ni heri kupokea mtu anavyokuja potelea poteee,ukikaa kinyonge humu utakutana na kila aina ya upuuzi

Mimi na uplatinum wapi na wapi mzee, mimi ni miongoni mwa vichaa wengi tuliojaa humu
 
Back
Top Bottom