Hakika ☺️Pole pole sana My dearest inaumiza lkn ndiyo ulimwengu ulivyo mara nyingi inatokea kwa watu.
Mara nyingi wakienda huko wanaangukia pua balaa na lazima arudi kukusimulia anayopitiaHakika ☺️
Sitaki hata kumsikia nisijepata kesi bureNa
Mara nyingi wakienda huko wanaangukia pua balaa na lazima arudi kukusimulia anayopitia
Absolutely 👍Urembo sio tiketi ya kuolewa,
Kwani warembo wote wameolewa?
Na wasio warembo wote hawajaolewa?
Maisha hayapo hivyo.
Kwahiyo unatafuta Mshenga?IPO hivi Kuna Binti nkutana nae kwenye gari muda natoka job sasa the way alivo alinivutia sana mwamba sikusita nikaomba namba nikampanga freshi.
Kilicho nishangaza hakuonesha dalili za kutaka kukataa labda kama nilivozoea Yani tayari tumeshazoeana mpaka sasa anakuja mpaka getto kupika.
Mimi huyu naoa liwalo na liwe najua hatujazoeana sana lakini tutazoeana ndani humo humo
Chukua fasta usije ukajuta, hutakiwi kusita sita Mwanaume mzimmaz take action build your kingdomIPO hivi Kuna Binti nkutana nae kwenye gari muda natoka job sasa the way alivo alinivutia sana mwamba sikusita nikaomba namba nikampanga freshi.
Kilicho nishangaza hakuonesha dalili za kutaka kukataa labda kama nilivozoea Yani tayari tumeshazoeana mpaka sasa anakuja mpaka getto kupika.
Mimi huyu naoa liwalo na liwe najua hatujazoeana sana lakini tutazoeana ndani humo humo
Achana nae natumai huko aliko yanamkuta mengi ila anashindwa kugeuza blue kuwa nyeupe.Sitaki hata kumsikia nisijepata kesi bure
🤣🤣 mahusiano bhanaAchana nae natumai huko aliko yanamkuta mengi ila anashindwa kugeuza blue kuwa nyeupe.
😂😂😂Yan unaoa kisa tu umepikiwa ugal na mlenda
Vijana wa kileo mna matatizo sana
Oa jipu ni lako na mkuniajipele n wwIPO hivi Kuna Binti nkutana nae kwenye gari muda natoka job sasa the way alivo alinivutia sana mwamba sikusita nikaomba namba nikampanga freshi.