Huyu Binti naoa wiki hii hii sitaki nimeshindwa vumilia

Huyu Binti naoa wiki hii hii sitaki nimeshindwa vumilia

Oya tu, ila a few moments later usije kulia hapa kuomba ushauri.
 
IPO hivi Kuna Binti nkutana nae kwenye gari muda natoka job sasa the way alivo alinivutia sana mwamba sikusita nikaomba namba nikampanga freshi.

Kilicho nishangaza hakuonesha dalili za kutaka kukataa labda kama nilivozoea Yani tayari tumeshazoeana mpaka sasa anakuja mpaka getto kupika.

Mimi huyu naoa liwalo na liwe najua hatujazoeana sana lakini tutazoeana ndani humo humo
Kumbe na ww unamjua huyo malaya, haya kapime kaswende
 
Unatenda jambo jema sana, lakini nakukumbusha

1. Angalia itikadi na imani zenu kama zinaendana (hata dada poa, wachawi na majini wanajua kupika sana)

2. Jitahd ujue maisha ya familia yao
-jitahd ujue mamake alikuwa ana mtreat vp babake, ukijua hlo tambua kuwa na wewe utatreatiwa hvo.

3. Jitahd ujue, aliachwa? Na kwa nini? Au aliacha na kwa nini (kumbuka huyo umesema ni familia na siyo mchepuko)
-fanya hvo ili kuepuka kuingia kwenye gereza la hiari.

4. Jitafakari, unafanya hvo kwa msukumo wa nyeegee au hisia?

5. Upo tayari kuwa na familia?

HAO VIUMBE WANAPENDA SANA HELA, JITAHIDI KUTAFUTA PESA MAANA HATUJUI ZILIPOTELEA WAPI?
 
Wajinga haitatokea wakaisha ulimwengu huu.

Wakifa wajinga kadhaa wanazaliwa wengi zaidi.
 
Ndoa ndivyo zilivyo unamuacha anayekuelewa sana unamuawa ambaye hamjuani Sana
 
Kuachana kupo palepale hata mngechunguzana miaka na miongo.
We oa tu,huenda umeokota dodo
 
Sahihi….sikuzote hatuolewi na waliotukalisha mpaka tukakaa
Sijui kwanini inakuwaga hivyo, yule mnaejuana saana na kuwekeana promise za mbali na kusubiriana anazivunja fasta. Haoni wala kuogopa ahadi mlizowekeana inaumiza
 
Kuwa makini na
Naomi
Christina
Kama mmoja wapo atabeba kila kitu na usijue atakapoelekea
 
Back
Top Bottom