Hekima ni silaha
Member
- Jun 15, 2026
- 23
- 109
Kwa wanajamii wote wa hii platform, binafsi nimekuwa nikiingia na kusoma threads mbalimbali zinazofikishwa kwenye hili jukwaa. Kwa kifupi sikuwa active member mpaka nilipoamua kujiunga rasmi kwa siku hii ya leo.
Binafsi ni mtu wa makamo, almost 54 years and above, ni mwenyeji wa kusini ila kutokana na changamoto za hapa na pale nikajikuta nimehamishia makazi maeneo ya Musoma. Hiyo sasa ni tangu 2006.
Mnamo mwaka 2007 nikawa nimeingia mahusiano na binti mmoja wa Kijita ambapo baada ya kukamilisha taratibu nyingine tukaridhia kuishi pamoja kama mke na mme.
Tabia za kifuska za mke wangu:
Tukio la kwanza lilikuwa ni siku moja nimemuaga kwamba nafikia Mwigobero kwa ajili ya issue za dagaa (huwa nafanya biashara mchanganyiko, nafaka na samaki kutegemea upepo). Sasa wakati nipo njiani nikakumbuka kuna kitu nimemsahau ndani. Wakati narudi nikasikia sauti kwa ndani anaongea na simu, "Mi nipo off labda wewe." Alistuka sana maana wakati anaongea naye alikuwa anatoka ndani kunichungulia mlangoni kama nimefika mbali. Sasa hakutegemea kuniona nimerudia ghafla! Nikamuuliza akawa anajibu kwa majibu mepesi mepesi. Nikawa nimempotezea.
Maisha yakaendelea. Kuna siku akaniomba ruhusa akamsalimie dada ake mmoja anayeishi Bunda, sehemu moja inaitwa Kibara. Huyo dada alikuwa mgonjwa nikawa nimemruhusu. Tatizo likawa kila nikipiga simu nyakati za usiku imezimwa, nikimpigia kupitia simu ya dada yake, dada yake anajibu, keshalala. Baadaye nilikuja kupata taarifa huwa kuna dogo mmoja alikuwa anafika pale wanaondoka wote, yule dogo alikuwa anaagizwa na jamaa mmoja. (Nisisitize hapa mwanamke wa Kijita akikuomba ruhusa mara kwa mara za kusafiri stuka haraka, zuia au muwekee mtego!)
Kuna siku moja asubuhi kawahi kumuamsha mtoto awahi gari la shule (English medium). Sasa wakati anaondoka kasahau simu na bahati mbaya zaidi alikuwa hajaweka password. Nikazama FB Messenger, niliyoyashuhudia ni mengi sana! Kashatembea na vijana watatu lakini pia alikuwa kwenye harakati za kutembea na jamaa mmoja ambaye mimi aliwahi kunitambulisha ni binamu yake! Tena wamepanga kukutania lodge za kule Makutano, kwa wale wenyeji mnaoifahamu barabara ya kutoka Bunda-Musoma then Tarime! Nikawa nimepotezea. Hapa niweke wazi kuhusu kupotezea, kiukweli watoto walikuwa wananipa mawazo sana kuhusu malezi yao, na kuna nyakati tulikuwa tukikwazana anaonyesha sura ya huzuni siku nzima mpaka watoto wanakosa amani.
Kuna siku akakwazana na dada mmoja ambaye alikuwa jirani yetu, yule dada akaanza kuropoka, "Shemeji nisamehe kushiriki uovu. Mkeo ana jamaa fulani anatembea naye hapo Bunda na siku aliyokuaga anaenda harusini, alianzia kwa huyo jamaa ndiyo akaenda." Kumuuliza mwanamke anajiliza liza kwamba anasingiziwa! Ila yule dada alitoa shuhuda nyingi nikabaki kuumia tu moyoni.
Majuzi kaanza tabia ya kujifanya anaangalia vipindi vya TV usiku, pembeni anakuwepo mtoto anamuwekea vipindi vya katuni. Kilichonishangaza ni kuwa anazima TV saa tano, kitu ambacho kwa uchunguzi wangu alikuwa anatumia hilo gap kuchat na wanaume zake. Sasa usiku wa kuamkia leo kwenye mida ya saa nne na nusu nikatoka chumbani fasta na kumyakua simu, kwa kuwa lilikuwa tukio la kustukiza alipigwa na butwaa!
Katika chats za jana mke wangu kapata jamaa mmoja mfanyakazi wa Nyamongo Gold Mining ambaye kulingana na chats zao hawajakutana. Wametumiana picha na jamaa kamuuliza mke wangu kama anavaa shanga, naye kajibu, "Navaa ila awamu hii naomba uninunulie zako." Jamaa kauliza rangi, kajibiwa, "Nyeupe." Walikuwa wamepanga kukutana Jumatano, siku ambayo sitakuwepo! Mpaka sasa tuna mgogoro mzito sana.
Nipo njia panda sana, kumuacha siyo tatizo, nawafikiria watoto wangu tu!
Ushauri:
NB:Nimefupisha story kumhusu huyu mwanamke ila yapo mengi hatari zaidi ya kifuska,likiwemo la kutembea na mme wa mtoto wa shangazi yake ambaye ni mwanajeshi.Na alipobanwa kuhusu hili alikataa kata kata ila baadae alikiri na kusema wakati wanakunywa juice alijikuta wapo chumbani lodge washafanya mapenzi,pengine shemeji yake alimuwekea dawa za usingizi! Hapa nimetingwa tu ila nikitulia nitaongezea huu Uzi.Pia Kuna watu mnadai mtu mmoja anahalalishaje wote waonekane wabaya?Ndugu zangu nina mifano mia kidogo kuhusu wanawake wa kabila la kijita,ninawafahamu vizuri nimeishi huku zaidi ya miaka 20.Wanawake wa kijita ni hatari nikipata muda nitawaandalia Uzi wenye mifano mingi
Pia Kuna wadau wameulizia umri wangu na mke wangu
Umri wangu kwa sasa nakaribia miaka 55 na yeye kwa sasa ana 41
Kuhusu mahusiano yangu na ya mke wangu
Kwanza niweke wazi tu sijawahi kutoka nje ya ndoa mpaka ninapoelekea umri wangu wa miaka 55 hilo siwaongopei.
Nyongeza:
Mke wangu ni mama wa nyumbani nimemfungulia biashara ya duka la rejareja ambapo mauzo kwa siku si chini ya 280000.(Sitafafanua zaidi aina ya bidhaa ninazouza na eneo lilipo kwa sababu binafsi na ukizingatia linafahamika zaidi kwa watu wa Musoma mjini).Kuna watu wameniuliza hili swali inbox kama ni mtu wa kukaa tu nyumbani,24hrs.Ila pia nitoe tahadhali kwa mliooa na kuwafungulia biashara wanawake maeneo yale kwa mwanamke asiyejielewa atayatumia kutafutia wanamme tu.Kuna nyakati nasifu baadhi ya Mataifa ya kiislamu kuwazuia wanawake kufanya biashara,badala yake wabaki tu nyumbani.
Kuhusu Mimi na familia yake:
Nisingependa kueleza baadhi ya mambo hapa ila niseme tu miaka kama saba iliyopita mama yake mzazi alipata ajari ya kuvunjika mkono wa kulia na mguu wa kulia,nikashughulikia matibabu yake yote na kwa kuwa ni wazee mpaka pesa ya matumizi nikawa nawapatia maana ni familia ambayo kiuchumi haipo vizuri.Mama akawa amepona vizuri mpaka sasa.Mwaka 2020 Baba mkwe akaanza akuugua kisukari na stroke,nikaanza kulipia matibabu yake kuanzia yale ya kiasili na hospital.Mpaka Sasa hali yake siyo rafiki na ikichangiwa na umri wake wa miaka 90 Kila kitu kinaenda taratibu.Kiukweli kwa hali aliyonayo Mzee wake,kwa umri ulivyo kwa wazazi wake na poor economic status nzima ya familia nisingetegemea kabisa kuona masuala ya ngono anayapa nafasi zaidi badala yake nilitegemea zaidi awe kwenye msongo(depression)Mpaka sasa siamini.

- Usioe mwanamke anayetoka familia ambayo mama ndiye msemaji mkuu.
- Wajita siyo wife materials kabisa, try for your own risk.
- Mwanamke wa Kijita hushirikiana na mama yake kutafutiwa wanaume na ni wachache sana wasiofanya hivi.