ebro jerry
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 354
- 657
Daah pole sana kaka Mkubwa..
Binafsi huyo harekebishiki hata kidogo..
Kwa matukio ukiyosimulia, na bado unasema umefupisha aisee..
Neno langu kwa Herufi Kubwa, "TOA TALAKA"..
Umri uliofika wahitaji faraja, sio Msongo wa mawazo..
ACHA HUYO MWANAMKE..
Watoto Fanya mpango wa kuwalea tu ikibidi..