Nimevumilia Usaliti wa Mke wangu kwa Miaka, Simu yake imenifungua Macho

Nimevumilia Usaliti wa Mke wangu kwa Miaka, Simu yake imenifungua Macho

Wambulu ni malaya by professional.. halafu ni wazuri kinoma... Hao wajita kuja kufika level ya wambulu wana vitu vingi sana vya kujifunza... Bar nyingi kwenye miji mikubwa kama Arusha, Dar asilimia kubwa ni Wambulu... Nenda kwenye viwanja vya malaya sijui Buguruni, Sinza, Kwa Mrina ni Wambulu mwanzo mwisho... Ukiona mwanamke Mzuri sana pia mweupe anauza bar/anauza mwili huyo asilimia 98 ni Mbulu au Mrangi..
Hahaha hawapendi kazi nzito nzito kwa hiyo wanaona kazi za bar kukaa Tu na kula nyama na pombe za bure, sio kwamba wanapenda kundinywa kila wakati na kila wahuni
 
Kama siyo hadithi basi huyo mwanamke mpige makofi ya kutosha na baadae umfukuze.
Nina ushahidi mpaka wa screenshots zaidi ya 50 ambazo nimezitunza kama reference kwa siku za baadae.Sipendi tu kuziweka hapa maana pamoja na kwamba kushare hii habari najidhalilisha ni bora kuliko kudhalilika huku nikiwa nishajulikana kwa sura na family kwa ujumla
 
Umeoa changudoa mkuu, ila mademu wa mkoa wa mara hawana tofauti na warangi, wagogo, wanyaturu yaan ukigusa tu unaondoka naye na walivyo na mishepu sasa!!!
 
mme hapo akili ni chache.

akili matope.

{ yaan mtu nife na ukimwi plus gono kisa watoto ?. } mtoto akimwona baba yake mara moja kwa mwaka hapungui kitu kuliko kufa kwa gono.

mapenz kwa mzazi ni rahisi kuridhika ukimona mara moja moja ukilinganisha na mapenz ya ki ngono.

mm niliwah kaa miaka mi4 bila mawasiliano na ndugu yeyote wala bila kuonana na upendo haukudhurika.

sasa ww unakazia watoto watoto ufe kwa magonjwa kisa mambo ya kufikirika ?.

HAMNA MKE HAPO LABDA NI CHANGUDOA.

halafu usilisingizie hilo kabila umalaya ni saikolojia ya mtu tu.

popote utakapo enda malaya wapo ila wale wenye saikolojia fulan fulan wanajidhibiti hawa dangi hovyo. Hasa pakiwa na kitu cha kuwapa hofu.
 
Umeoa changudoa mkuu, ila mademu wa mkoa wa mara hawana tofauti na warangi, wagogo, wanyaturu yaan ukigusa tu unaondoka naye na walivyo na mishepu sasa!!!

ni nchi nzima tu labda ugawe ki vijiji hapo kuna tu vijiji tuna una fuu nenda njombe njoo iringa nenda morogoro dar pia.

ni umalaya tu kabila siyo ishu.

mfano njombe huenda dem mmoja akatembea na vijana wooote watakao mtaka yaan nilishuhudia ufuska hadi nilijiuliza kwan hawanaga magonjwa wenzetu ?.

ajabu iringa vijijini huko kuna jamaangu aliniambia hadi sasa amelala na wanawake 60 na zaidi. { ana 30yrs } nili shangaa. wakati huo mm nina ex mmoja tu.
 
Pole sana mkuu, naomba nikuulize swali moja tu kabla ya kukupa ushauri.

Kabla haujaoa huyo mkeo uliongea na wakubwa wakakupa hizo ABC zake na hapo unapoenda kuoa au uliambiwa na wakubwa baada ya kuwauliza kisha ukasema nitajua mbele ya safari nitambadirisha ila sasa umeshindwa kumbadirisha maana habadirishiki?
Vijana wengi wa leo hii wanaferi sana hapa
 
Wewe jamaa una uvumilivu sana, mimi nilimfatilia wife nikakuta tu anachati sana fala mmoja, nikawaacha ili nijue kilakitu, yaani ni kwamba baada ya kuona mambo kama yamebadilika simu ya wife nilidukua kilakitu anachofanya naona, nilifanya hivi baada ya kuona kama kuna mabadiliko.

nikagundua kuna jamaa halijakataliwa, na halijakubaliwa ila linapewa ushirikiano, Aisee hili kosa dogo nilikuwa naachana na huyu mkewangu tuna miaka saba na watoto wawili, mimi wala sijali kuhusu watoto sababu ntawachukua.

kunasiku yule fala alimtumia wife sms anakuja dukani amuone, mimi nipo home napitia tu vile wanachati, wife yupo dukani huwa anafunga saa tatu akamwambia yule fala aje tu.
Mimi nilikuwa home muda huo naangalia tu vile wanachati, gafla nikapata wivu nikamuambia wife afunge duka immediately nataka aje nyumbani, sikumueleza sababu nikasema "narudia FUNGA DUKA UJE NYUMBANI SAIVI"

wife akamuaga yule fala aliekuwa anaenda dukani akamuambia anafunga anaenda nyumbani "asimtafute na asitume sms mpaka atakapomtafuta" halafu akafunga akaja, mimi sikumuambia chochote, nikafikiria nisiingilie niache jamaa apige halafu nimuache wife yaani tuachane, au nimuache tu hata kabla hule fala hajapiga nikaona hii sio Fair nikaona njia bora nimtumie tu sms yule jamaa nimuambie aachane na wake za watu nimeshajua kilakitu nafatilia moves zake zote. hii sms nilituma muda huohuo nilomuambia wife aje home ili huyu fala ajue mimi najua yaani aunganishe dot, yaana wife kamuambia aende dukani yupo, gafla anaenda nyumbani halafu na sms kutoka kwangu aachane na wake za watu.

nikatuma hiyo sms, kumbuka hapo wife sijamuambia chochote tunaishi tu fresh kama hakijatokea kitu, kilichonishangaza lile jamaa halikumuambia wife chochote kwamba nimelitumia sms najua kilakitu, mimi nilitaka lile fala limuambie wife halafu wife ndo ajue kuwa najua kilakitu ajichekeche halafu ataacha mwenyewe, na hilo swala hatuta kaa kulijadili labda, yeye mwenyewe ajishtukie aombe msamaha ili nimuulize nikusamehe nini?

nilivyoona lile fala halimwambiii wife, na halisemi sababu lingetia kitumbua mchanga, nikaona ngoja niokoe hii ndoa kwa mara ya mwisho, nikakalisha wife kikao kizito, kwanza nikamuambia leo tunakikao kizito kidogo, nimeona tukae leo maana tungeachana bila kikao nikatumia mbinu moja ya mahojiano inaitwa controlled reveal hapa unaelezea scenario ambayo haiwezi kupingwa nikaelezea ile simu nilomuambia afunge gafla nilikuwa najua kuhusu yule mteja aliekuwa anakuja,

hii mbinu inaitwa "shock and bluff", yaani unaelezea kitu unachokijua na hakiwezi kugingwa halafu unauliza ambacho hujui, kisaikolojia yeye atakuwa anajua mimi najua kila kitu hivyo hawezi kudanganya maana akidanganya anaharibu kumbe mimi nimemdukua wiki mbili tu sijui vilivyotokea kabla ya kudukua, hapa nikamuambia sitaki kuelezea vitu ulivyofanya wewe, nataka useme wewe mwenyewe kwa mdomo wako na useme kilakitu hata vile unavyoona sio vya muhimu mimi nimevizingatia.

kabla hajanza nikamuambia, huyo fala nilimtumia sms siku tatu zimepita, nikamuonyesha sms "achana ma wake za watu, nimeshajua moves zako zote" wife akachoka, nikamuambia eleza kila kitu nataka nione kama utamlinda huyu fala wakati yeye hakutaka kukulinda, angekuambia tu kuwa najua kilakitu tusingekuwa na hiki kikao, yeye hakujali kuhusu wewe, yeye anajali atombe basi.

kabla hujaelezea kilakitu, lete simu akaleta, utajielezea ukiwa umeshaachana na huyo fala ila hautamuambia muachane, nikapiga ile namba ya huyo fala nikampa wife karatasi amuulize yule fala swali niloliandika kwenye karatasi na nikamuambia wife ukishauliza hili swali unaweza ukakata simu maana jibu lake ninalo ntakupa ishara ya kukata simu, simu ikaita anapokea nikampa kikaratasi "Mume wangu alikutumia sms uachane na wake za watu, ameshajua kila kitu na anafuatilia moves zako zote, sasa kwa nini hukuniambia mimi ambae nilikiwa sijui chochote, ulikuwa unanitakia nini? au ulikiwa unaitakia nini ndoa yangu?" yule fala alikata tu simu.

Haya eleza kilakitu na usiruke jambo.. hilo swali lilikuwa sio kwaajili ya kujibiwa lilikuwa ni kwaajili ya kukufanya uwe na akili, zamu yako kuanza kuongea eleza kila kitu... wife hakuwa na namna kila kitu alieleza hakujua kama nilikuwa namfanyia controlled reveal,
niliamua kuendelea kuishi na mke wangu sababu tu yule jamaaa alikuwa hajapiga, ila sijamsamehe labda muda miaka ikipita ntamsamehe

Sasa nashangaa nyie mnaopigiwa mnawezaje kuvumilia, mimi ningeandika uzi sema tu ni mvivu kuandika, mpaka leo wife anajua naweza nikafuatilia zaidi ya CIA na nikijua tu amechepuka tunaachana,

Sio kwamba siwezi kupigiwa, naweza kupigiwa vizuri tu ila sipigiwi kifala, mimi kupigiwa ni mpaka wife atumie falsafa moja ya kigaidi ambayo magaidi wakubwa wote waliitumia inasema "If you live in past the future will never find you" yaani mimi kupigiwa labda wife aishi zama za mawe asitumie kabisa tech,

pia mjifunze intelligence, mwanaume ukioa inatakiwa kwanza uive kama jasusi la KGB kipindi cha vita baridi.
Unapata wapi muda wa kushindana na ulikotoka?
 
Kwa wanajamii wote wa hii platform, binafsi nimekuwa nikiingia na kusoma threads mbalimbali zinazofikishwa kwenye hili jukwaa. Kwa kifupi sikuwa active member mpaka nilipoamua kujiunga rasmi kwa siku hii ya leo.

Binafsi ni mtu wa makamo, almost 54 years and above, ni mwenyeji wa kusini ila kutokana na changamoto za hapa na pale nikajikuta nimehamishia makazi maeneo ya Musoma. Hiyo sasa ni tangu 2006.

Mnamo mwaka 2007 nikawa nimeingia mahusiano na binti mmoja wa Kijita ambapo baada ya kukamilisha taratibu nyingine tukaridhia kuishi pamoja kama mke na mme.

Tabia za kifuska za mke wangu:

Tukio la kwanza lilikuwa ni siku moja nimemuaga kwamba nafikia Mwigobero kwa ajili ya issue za dagaa (huwa nafanya biashara mchanganyiko, nafaka na samaki kutegemea upepo). Sasa wakati nipo njiani nikakumbuka kuna kitu nimemsahau ndani. Wakati narudi nikasikia sauti kwa ndani anaongea na simu, "Mi nipo off labda wewe." Alistuka sana maana wakati anaongea naye alikuwa anatoka ndani kunichungulia mlangoni kama nimefika mbali. Sasa hakutegemea kuniona nimerudia ghafla! Nikamuuliza akawa anajibu kwa majibu mepesi mepesi. Nikawa nimempotezea.

Maisha yakaendelea. Kuna siku akaniomba ruhusa akamsalimie dada ake mmoja anayeishi Bunda, sehemu moja inaitwa Kibara. Huyo dada alikuwa mgonjwa nikawa nimemruhusu. Tatizo likawa kila nikipiga simu nyakati za usiku imezimwa, nikimpigia kupitia simu ya dada yake, dada yake anajibu, keshalala. Baadaye nilikuja kupata taarifa huwa kuna dogo mmoja alikuwa anafika pale wanaondoka wote, yule dogo alikuwa anaagizwa na jamaa mmoja. (Nisisitize hapa mwanamke wa Kijita akikuomba ruhusa mara kwa mara za kusafiri stuka haraka, zuia au muwekee mtego!)

Kuna siku moja asubuhi kawahi kumuamsha mtoto awahi gari la shule (English medium). Sasa wakati anaondoka kasahau simu na bahati mbaya zaidi alikuwa hajaweka password. Nikazama FB Messenger, niliyoyashuhudia ni mengi sana! Kashatembea na vijana watatu lakini pia alikuwa kwenye harakati za kutembea na jamaa mmoja ambaye mimi aliwahi kunitambulisha ni binamu yake! Tena wamepanga kukutania lodge za kule Makutano, kwa wale wenyeji mnaoifahamu barabara ya kutoka Bunda-Musoma then Tarime! Nikawa nimepotezea. Hapa niweke wazi kuhusu kupotezea, kiukweli watoto walikuwa wananipa mawazo sana kuhusu malezi yao, na kuna nyakati tulikuwa tukikwazana anaonyesha sura ya huzuni siku nzima mpaka watoto wanakosa amani.

Kuna siku akakwazana na dada mmoja ambaye alikuwa jirani yetu, yule dada akaanza kuropoka, "Shemeji nisamehe kushiriki uovu. Mkeo ana jamaa fulani anatembea naye hapo Bunda na siku aliyokuaga anaenda harusini, alianzia kwa huyo jamaa ndiyo akaenda." Kumuuliza mwanamke anajiliza liza kwamba anasingiziwa! Ila yule dada alitoa shuhuda nyingi nikabaki kuumia tu moyoni.

Majuzi kaanza tabia ya kujifanya anaangalia vipindi vya TV usiku, pembeni anakuwepo mtoto anamuwekea vipindi vya katuni. Kilichonishangaza ni kuwa anazima TV saa tano, kitu ambacho kwa uchunguzi wangu alikuwa anatumia hilo gap kuchat na wanaume zake. Sasa usiku wa kuamkia leo kwenye mida ya saa nne na nusu nikatoka chumbani fasta na kumyakua simu, kwa kuwa lilikuwa tukio la kustukiza alipigwa na butwaa!

Katika chats za jana mke wangu kapata jamaa mmoja mfanyakazi wa Nyamongo Gold Mining ambaye kulingana na chats zao hawajakutana. Wametumiana picha na jamaa kamuuliza mke wangu kama anavaa shanga, naye kajibu, "Navaa ila awamu hii naomba uninunulie zako." Jamaa kauliza rangi, kajibiwa, "Nyeupe." Walikuwa wamepanga kukutana Jumatano, siku ambayo sitakuwepo! Mpaka sasa tuna mgogoro mzito sana.

Nipo njia panda sana, kumuacha siyo tatizo, nawafikiria watoto wangu tu!

Ushauri:
  • Usioe mwanamke anayetoka familia ambayo mama ndiye msemaji mkuu.
  • Wajita siyo wife materials kabisa, try for your own risk.
  • Mwanamke wa Kijita hushirikiana na mama yake kutafutiwa wanaume na ni wachache sana wasiofanya hivi.

NB:Nimefupisha story kumhusu huyu mwanamke ila yapo mengi hatari zaidi ya kifuska,likiwemo la kutembea na mme wa mtoto wa shangazi yake ambaye ni mwanajeshi.Na alipobanwa kuhusu hili alikataa kata kata ila baadae alikiri na kusema wakati wanakunywa juice alijikuta wapo chumbani lodge washafanya mapenzi,pengine shemeji yake alimuwekea dawa za usingizi! Hapa nimetingwa tu ila nikitulia nitaongezea huu Uzi.Pia Kuna watu mnadai mtu mmoja anahalalishaje wote waonekane wabaya?Ndugu zangu nina mifano mia kidogo kuhusu wanawake wa kabila la kijita,ninawafahamu vizuri nimeishi huku zaidi ya miaka 20.Wanawake wa kijita ni hatari nikipata muda nitawaandalia Uzi wenye mifano mingi


Pia Kuna wadau wameulizia umri wangu na mke wangu
Umri wangu kwa sasa nakaribia miaka 55 na yeye kwa sasa ana 41


Kuhusu mahusiano yangu na ya mke wangu

Kwanza niweke wazi tu sijawahi kutoka nje ya ndoa mpaka ninapoelekea umri wangu wa miaka 55 hilo siwaongopei.

Nyongeza:

Mke wangu ni mama wa nyumbani nimemfungulia biashara ya duka la rejareja ambapo mauzo kwa siku si chini ya 280000.(Sitafafanua zaidi aina ya bidhaa ninazouza na eneo lilipo kwa sababu binafsi na ukizingatia linafahamika zaidi kwa watu wa Musoma mjini).Kuna watu wameniuliza hili swali inbox kama ni mtu wa kukaa tu nyumbani,24hrs.Ila pia nitoe tahadhali kwa mliooa na kuwafungulia biashara wanawake maeneo yale kwa mwanamke asiyejielewa atayatumia kutafutia wanamme tu.Kuna nyakati nasifu baadhi ya Mataifa ya kiislamu kuwazuia wanawake kufanya biashara,badala yake wabaki tu nyumbani.

Kuhusu Mimi na familia yake:

Nisingependa kueleza baadhi ya mambo hapa ila niseme tu miaka kama saba iliyopita mama yake mzazi alipata ajari ya kuvunjika mkono wa kulia na mguu wa kulia,nikashughulikia matibabu yake yote na kwa kuwa ni wazee mpaka pesa ya matumizi nikawa nawapatia maana ni familia ambayo kiuchumi haipo vizuri.Mama akawa amepona vizuri mpaka sasa.Mwaka 2020 Baba mkwe akaanza akuugua kisukari na stroke,nikaanza kulipia matibabu yake kuanzia yale ya kiasili na hospital.Mpaka Sasa hali yake siyo rafiki na ikichangiwa na umri wake wa miaka 90 Kila kitu kinaenda taratibu.Kiukweli kwa hali aliyonayo Mzee wake,kwa umri ulivyo kwa wazazi wake na poor economic status nzima ya familia nisingetegemea kabisa kuona masuala ya ngono anayapa nafasi zaidi badala yake nilitegemea zaidi awe kwenye msongo(depression)Mpaka sasa siamini.
Mkuu sijayasoma maandishi yote...lakini napenda kuwashauri wanaume wenzangu mambo ya kupendapenda nikuwaachia wanawake...wanaume tufocus na kazi ...tutengeneze kesho yetu iliobora huku uzeeni...kiufupi fukuza jitu kama hulielewi
 
Wengi wamekufa kwa madai wanahofu watoto watateseka.
🚶🚶🚶🚶
 
Nimeishia hapo kwenye shanga nyeupe.
Kwa ufupi broo umeoa kahaba
Kahaba konki.
Pole sana.
Nathubutu kusema kuwa wewe ni mwanaume mwenye ushujaa sana.
Mimi mwanamke akipanga tu kuzagamuana na mwanamke tayari inatosha kumwacha sekunde hiyo hiyo.
Tangu nikiwa kwenye uchumba nilishampa onyo wife kuwa ukichepuka na nikijua tu msamaha wako ni kukuacha dakika hiyo hiyo. Huo ndio msamaha nitakaompa.
Pole . Ungekuwa bado kijana ningekushauri ukaoe Njombe lakini umri ushakutupa.
 
Ni kweli kabisa lakini Kuna shida mahali bro.
Kama mume anatimiza wajibu wake wote Kila sekta sidhani kama linaweza kutokea hili.
Tusikimbilie kuhukumu.
Hakuna sababu yoyote inayoweza kuhalalisha mwanamke/mke kutoka nnje ya ndoa.
Hakuna.
Vivyo hivyo kwa mwanaume/mume.
 
Back
Top Bottom