Nimevumilia Usaliti wa Mke wangu kwa Miaka, Simu yake imenifungua Macho

Hawa watu wanaoa Malaya halafu ndoa zinaonekana mbaya kumbe uchaguzi wao ndio mbaya,matokeo yake mnapata ushindi wa chee kabisa
1. Usimfiche mkeo kuwa una mtoto nje (specifically uliyempata kabla ya kumuoa)
2. Usisite kumwambia mchepuko kuwa una mke (in case akiuliza yeye)
3. Mkewako hatakiwi kumjua in person mchepuko.
Hizi mambo tatu huwa zinaharibu sana maisha ya ndoa.
Umakini unahitajika.
 
Kwa wanajamii wote wa hii platform, binafsi nimekuwa nikiingia na kusoma threads mbalimbali zinazofikishwa kwenye hili jukwaa. Kwa kifupi sikuwa active member mpaka nilipoamua kujiunga rasmi kwa siku hii ya leo.

Binafsi ni mtu wa makamo, almost 54 years and above, ni mwenyeji wa kusini ila kutokana na changamoto za hapa na pale nikajikuta nimehamishia makazi maeneo ya Musoma. Hiyo sasa ni tangu 2006.

Mnamo mwaka 2007 nikawa nimeingia mahusiano na binti mmoja wa Kijita ambapo baada ya kukamilisha taratibu nyingine tukaridhia kuishi pamoja kama mke na mme.

Tabia za kifuska za mke wangu:

Tukio la kwanza lilikuwa ni siku moja nimemuaga kwamba nafikia Mwigobero kwa ajili ya issue za dagaa (huwa nafanya biashara mchanganyiko, nafaka na samaki kutegemea upepo). Sasa wakati nipo njiani nikakumbuka kuna kitu nimemsahau ndani. Wakati narudi nikasikia sauti kwa ndani anaongea na simu, "Mi nipo off labda wewe." Alistuka sana maana wakati anaongea naye alikuwa anatoka ndani kunichungulia mlangoni kama nimefika mbali. Sasa hakutegemea kuniona nimerudia ghafla! Nikamuuliza akawa anajibu kwa majibu mepesi mepesi. Nikawa nimempotezea.

Maisha yakaendelea. Kuna siku akaniomba ruhusa akamsalimie dada ake mmoja anayeishi Bunda, sehemu moja inaitwa Kibara. Huyo dada alikuwa mgonjwa nikawa nimemruhusu. Tatizo likawa kila nikipiga simu nyakati za usiku imezimwa, nikimpigia kupitia simu ya dada yake, dada yake anajibu, keshalala. Baadaye nilikuja kupata taarifa huwa kuna dogo mmoja alikuwa anafika pale wanaondoka wote, yule dogo alikuwa anaagizwa na jamaa mmoja. (Nisisitize hapa mwanamke wa Kijita akikuomba ruhusa mara kwa mara za kusafiri stuka haraka, zuia au muwekee mtego!)

Kuna siku moja asubuhi kawahi kumuamsha mtoto awahi gari la shule (English medium). Sasa wakati anaondoka kasahau simu na bahati mbaya zaidi alikuwa hajaweka password. Nikazama FB Messenger, niliyoyashuhudia ni mengi sana! Kashatembea na vijana watatu lakini pia alikuwa kwenye harakati za kutembea na jamaa mmoja ambaye mimi aliwahi kunitambulisha ni binamu yake! Tena wamepanga kukutania lodge za kule Makutano, kwa wale wenyeji mnaoifahamu barabara ya kutoka Bunda-Musoma then Tarime! Nikawa nimepotezea. Hapa niweke wazi kuhusu kupotezea, kiukweli watoto walikuwa wananipa mawazo sana kuhusu malezi yao, na kuna nyakati tulikuwa tukikwazana anaonyesha sura ya huzuni siku nzima mpaka watoto wanakosa amani.

Kuna siku akakwazana na dada mmoja ambaye alikuwa jirani yetu, yule dada akaanza kuropoka, "Shemeji nisamehe kushiriki uovu. Mkeo ana jamaa fulani anatembea naye hapo Bunda na siku aliyokuaga anaenda harusini, alianzia kwa huyo jamaa ndiyo akaenda." Kumuuliza mwanamke anajiliza liza kwamba anasingiziwa! Ila yule dada alitoa shuhuda nyingi nikabaki kuumia tu moyoni.

Majuzi kaanza tabia ya kujifanya anaangalia vipindi vya TV usiku, pembeni anakuwepo mtoto anamuwekea vipindi vya katuni. Kilichonishangaza ni kuwa anazima TV saa tano, kitu ambacho kwa uchunguzi wangu alikuwa anatumia hilo gap kuchat na wanaume zake. Sasa usiku wa kuamkia leo kwenye mida ya saa nne na nusu nikatoka chumbani fasta na kumyakua simu, kwa kuwa lilikuwa tukio la kustukiza alipigwa na butwaa!

Katika chats za jana mke wangu kapata jamaa mmoja mfanyakazi wa Nyamongo Gold Mining ambaye kulingana na chats zao hawajakutana. Wametumiana picha na jamaa kamuuliza mke wangu kama anavaa shanga, naye kajibu, "Navaa ila awamu hii naomba uninunulie zako." Jamaa kauliza rangi, kajibiwa, "Nyeupe." Walikuwa wamepanga kukutana Jumatano, siku ambayo sitakuwepo! Mpaka sasa tuna mgogoro mzito sana.

Nipo njia panda sana, kumuacha siyo tatizo, nawafikiria watoto wangu tu!

Ushauri:
  • Usioe mwanamke anayetoka familia ambayo mama ndiye msemaji mkuu.
  • Wajita siyo wife materials kabisa, try for your own risk.
  • Mwanamke wa Kijita hushirikiana na mama yake kutafutiwa wanaume na ni wachache sana wasiofanya hivi.

NB:Nimefupisha story kumhusu huyu mwanamke ila yapo mengi hatari zaidi ya kifuska,likiwemo la kutembea na mme wa mtoto wa shangazi yake ambaye ni mwanajeshi.Na alipobanwa kuhusu hili alikataa kata kata ila baadae alikiri na kusema wakati wanakunywa juice alijikuta wapo chumbani lodge washafanya mapenzi,pengine shemeji yake alimuwekea dawa za usingizi! Hapa nimetingwa tu ila nikitulia nitaongezea huu Uzi.Pia Kuna watu mnadai mtu mmoja anahalalishaje wote waonekane wabaya?Ndugu zangu nina mifano mia kidogo kuhusu wanawake wa kabila la kijita,ninawafahamu vizuri nimeishi huku zaidi ya miaka 20.Wanawake wa kijita ni hatari nikipata muda nitawaandalia Uzi wenye mifano mingi
Natafuta Ajira, Braza inaonekana huyo Mwanamke ndiye anayekulisha na ana akili kuliko Wewe.

Nikwambie Tu ukweli anachofanya huyo Mwanamke Yuko Sahihi 100%.

Hakuna Mwanamke anayeweza kukaa na kuridhika na Mwanaume poyoyo kama wewe.

Huwa tunapenda kuwalaum wanawake lakini sisi ndio tatizo, You have never shown your manhood zaidi ya kulialia na kujitia huzuni
 
Mtamaliza makabila yote sasa,mi nadhani Kama mtu hutaki kuoa tulia tu uache ujuaji,na Kama kimekuramba kwa ndoa usisambaze sumu
Uko sahihi ,Wanaume tumekuwa na kaujinga fulani, matatizo yako binafsi unataka kuungansha Kabla zima😅😅
 
Kwa wanajamii wote wa hii platform, binafsi nimekuwa nikiingia na kusoma threads mbalimbali zinazofikishwa kwenye hili jukwaa. Kwa kifupi sikuwa active member mpaka nilipoamua kujiunga rasmi kwa siku hii ya leo.

Binafsi ni mtu wa makamo, almost 54 years and above, ni mwenyeji wa kusini ila kutokana na changamoto za hapa na pale nikajikuta nimehamishia makazi maeneo ya Musoma. Hiyo sasa ni tangu 2006.

Mnamo mwaka 2007 nikawa nimeingia mahusiano na binti mmoja wa Kijita ambapo baada ya kukamilisha taratibu nyingine tukaridhia kuishi pamoja kama mke na mme.

Tabia za kifuska za mke wangu:

Tukio la kwanza lilikuwa ni siku moja nimemuaga kwamba nafikia Mwigobero kwa ajili ya issue za dagaa (huwa nafanya biashara mchanganyiko, nafaka na samaki kutegemea upepo). Sasa wakati nipo njiani nikakumbuka kuna kitu nimemsahau ndani. Wakati narudi nikasikia sauti kwa ndani anaongea na simu, "Mi nipo off labda wewe." Alistuka sana maana wakati anaongea naye alikuwa anatoka ndani kunichungulia mlangoni kama nimefika mbali. Sasa hakutegemea kuniona nimerudia ghafla! Nikamuuliza akawa anajibu kwa majibu mepesi mepesi. Nikawa nimempotezea.

Maisha yakaendelea. Kuna siku akaniomba ruhusa akamsalimie dada ake mmoja anayeishi Bunda, sehemu moja inaitwa Kibara. Huyo dada alikuwa mgonjwa nikawa nimemruhusu. Tatizo likawa kila nikipiga simu nyakati za usiku imezimwa, nikimpigia kupitia simu ya dada yake, dada yake anajibu, keshalala. Baadaye nilikuja kupata taarifa huwa kuna dogo mmoja alikuwa anafika pale wanaondoka wote, yule dogo alikuwa anaagizwa na jamaa mmoja. (Nisisitize hapa mwanamke wa Kijita akikuomba ruhusa mara kwa mara za kusafiri stuka haraka, zuia au muwekee mtego!)

Kuna siku moja asubuhi kawahi kumuamsha mtoto awahi gari la shule (English medium). Sasa wakati anaondoka kasahau simu na bahati mbaya zaidi alikuwa hajaweka password. Nikazama FB Messenger, niliyoyashuhudia ni mengi sana! Kashatembea na vijana watatu lakini pia alikuwa kwenye harakati za kutembea na jamaa mmoja ambaye mimi aliwahi kunitambulisha ni binamu yake! Tena wamepanga kukutania lodge za kule Makutano, kwa wale wenyeji mnaoifahamu barabara ya kutoka Bunda-Musoma then Tarime! Nikawa nimepotezea. Hapa niweke wazi kuhusu kupotezea, kiukweli watoto walikuwa wananipa mawazo sana kuhusu malezi yao, na kuna nyakati tulikuwa tukikwazana anaonyesha sura ya huzuni siku nzima mpaka watoto wanakosa amani.

Kuna siku akakwazana na dada mmoja ambaye alikuwa jirani yetu, yule dada akaanza kuropoka, "Shemeji nisamehe kushiriki uovu. Mkeo ana jamaa fulani anatembea naye hapo Bunda na siku aliyokuaga anaenda harusini, alianzia kwa huyo jamaa ndiyo akaenda." Kumuuliza mwanamke anajiliza liza kwamba anasingiziwa! Ila yule dada alitoa shuhuda nyingi nikabaki kuumia tu moyoni.

Majuzi kaanza tabia ya kujifanya anaangalia vipindi vya TV usiku, pembeni anakuwepo mtoto anamuwekea vipindi vya katuni. Kilichonishangaza ni kuwa anazima TV saa tano, kitu ambacho kwa uchunguzi wangu alikuwa anatumia hilo gap kuchat na wanaume zake. Sasa usiku wa kuamkia leo kwenye mida ya saa nne na nusu nikatoka chumbani fasta na kumyakua simu, kwa kuwa lilikuwa tukio la kustukiza alipigwa na butwaa!

Katika chats za jana mke wangu kapata jamaa mmoja mfanyakazi wa Nyamongo Gold Mining ambaye kulingana na chats zao hawajakutana. Wametumiana picha na jamaa kamuuliza mke wangu kama anavaa shanga, naye kajibu, "Navaa ila awamu hii naomba uninunulie zako." Jamaa kauliza rangi, kajibiwa, "Nyeupe." Walikuwa wamepanga kukutana Jumatano, siku ambayo sitakuwepo! Mpaka sasa tuna mgogoro mzito sana.

Nipo njia panda sana, kumuacha siyo tatizo, nawafikiria watoto wangu tu!

Ushauri:
  • Usioe mwanamke anayetoka familia ambayo mama ndiye msemaji mkuu.
  • Wajita siyo wife materials kabisa, try for your own risk.
  • Mwanamke wa Kijita hushirikiana na mama yake kutafutiwa wanaume na ni wachache sana wasiofanya hivi.

NB:Nimefupisha story kumhusu huyu mwanamke ila yapo mengi hatari zaidi ya kifuska,likiwemo la kutembea na mme wa mtoto wa shangazi yake ambaye ni mwanajeshi.Na alipobanwa kuhusu hili alikataa kata kata ila baadae alikiri na kusema wakati wanakunywa juice alijikuta wapo chumbani lodge washafanya mapenzi,pengine shemeji yake alimuwekea dawa za usingizi! Hapa nimetingwa tu ila nikitulia nitaongezea huu Uzi.Pia Kuna watu mnadai mtu mmoja anahalalishaje wote waonekane wabaya?Ndugu zangu nina mifano mia kidogo kuhusu wanawake wa kabila la kijita,ninawafahamu vizuri nimeishi huku zaidi ya miaka 20.Wanawake wa kijita ni hatari nikipata muda nitawaandalia Uzi wenye mifano mingi

Huyo Mwanamke siyo Malaya ila ana tatizo la Kibailojia linalomfanya Homoni zake za kike zitoe vichochoe vingi Sana vya hisia za kuhitaji kufanya ngono mara kwa mara na pia ni mwanamke anayepoteza appetite anapofanya mapenzi na Mwanaume mara kwa mara, kwa hiyo yeye ni kama view once.

Sasa ushauri wangu kama umeoa na anatembea nje ya ndoa huyo Mwanamke hakuheshimu na hakufahi...UKIMWI haukumbatiwi ukicheza nao lazima kikulambe tena upo kwenye ambao una madini na watu wa Madini wengi wa Nyamongo wameumia kwa UKIMWI. HIVYO MUACHIE WATOTO NA NYUMBA WEWE ONDOKA NENDA MAENEO YA MBALI YA MBALI UKANZE KUISHI MAISHA MAPYA. ILA HAKIKISHA TALAKA INAHUSIKA TENA ILE RASMI YA MAHAKAMANI
 
Uko sahihi ,Wanaume tumekuwa na kaujinga fulani, matatizo yako binafsi unataka kuungansha Kabla zima😅😅
Nyie Wajita ni Malaya bhana. Mnaweka ngono kama ndiyo kipaumbele chenu na umbea umbea nyie wanaume.. wachonganishi sana nyie!
 
Huyo Mwanamke siyo Malaya ila ana tatizo la Kibailojia linalomfanya Homoni zake za kike zitoe vichochoe vingi Sana vya hisia za kuhitaji kufanya ngono mara kwa mara na pia ni mwanamke anayepoteza appetite anapofanya mapenzi na Mwanaume mara kwa mara, kwa hiyo yeye ni kama view once.

Sasa ushauri wangu kama umeoa na anatembea nje ya ndoa huyo Mwanamke hakuheshimu na hakufahi...UKIMWI haukumbatiwi ukicheza nao lazima kikulambe tena upo kwenye ambao una madini na watu wa Madini wengi wa Nyamongo wameumia kwa UKIMWI. HIVYO MUACHIE WATOTO NA NYUMBA WEWE ONDOKA NENDA MAENEO YA MBALI YA MBALI UKANZE KUISHI MAISHA MAPYA. ILA HAKIKISHA TALAKA INAHUSIKA TENA ILE RASMI YA MAHAKAMANI
Huyo jamaa ni mijinga Tu unapoteza muda wako kiushauri mtu Mpumbavu Masabato huyo
 
Kwanini wanyaturu, wambulu wairaqi wanasifika kwa ukicheche lakini maeneo yao hayapo kwenye top ten ya sehemu zenye maambukiz makubwa ya ukimwi?

Sa
Stats hazichukui wafia nyumbani.

Uwepo wa huduma bora za afya husaidia ukusanyaji wa takwimu.

Uelewa wa watu juu ya huduma za afya na urahisi wa kuzipata huchangia ukusanyaji takwimu sahihi.

Now angalia hayo maeneo juu ya swala la huduma za afya wako vipi.
 
Kwa miongo kadhaa ya uzoefu nilionao kwenye ulimwengu wa mahusiano na kupendana...hadi kufikia hapo tayari moyo wako ushautia dosari.....mashaka yako juu ya huyo mwanamke hayatakwisha mpaka unaingia kaburini
Dosari wala haipo, halafu mimi tayari najua kuna kuzaliwa kuna kufa hivyo siogopi kifo, pia najua kuna kufunga ndoa na kujunja ndoa, hapa najua any time t ndoa inaweza kuvunjika.

hata kabla ya hayo yote, tayari najua kuwa it takes life time to prove that you love someone, chochote kinaweza kutokea. kwenye afya kuna code moja wanatumia "suspect everyone as infectious" hata kabla hajafanya kosa lolote nilikiwa simuamini asilimia 100

Ukiwa unajua intelligence haya mambo yahakuumizi kichwa, mimi nina protocols ambazo nimeziset nikiwa natumia rational judgement, hisia nimeweka pembeni yaani kila jambo likitokea reaction yangu protocali zangu zinasemaje, hii ni sababu ya kuchanganya intelligence na software engineering yaani kwenye kwenye backend architecture linapokuja suala la error handling unatakiwa u handle all errors ambazo ni expected pia una handle na zile errors ambazo sio expected ili system isi crash iendelee ku run smoothly.

kwenye ndoa pia mambo kibao yanatokea, watu wanabaki kulialia hawajui cha kufanya, mimi nashukuru kujua hivi vitu viwili vinanisaidia sana, kwenye ndoa cha kwanza ni intelligence, naweza kujua mkewangu what she thinks before she does, cha pili ni my backend skills hapa nimetumia kuset protocols on haw to handle everything before it happens, kikitokea kitu kinachohusu ndoa mimi sianzi kufikoria nifanyeje au kuanza kuomba ushauri wakati protocols zipo ni kama vile system inajua cha kufanya.

jaribuni kufikiria na kuamua mambo ya ndoa ukiwa huna hasira, kabla jambo halijatokea, hisia zote umeweka pembeni, unatumia akiri pekeyake,
 
Mwanamke haikai na Mwanaume poyoyo anayejiliza Liza na kutia huzuni, Hakuna Mwanamke wa namna hiyo
poyoyo kivipi, wakati inaonyesha ana emotional intelligence kuwa na ana hekima sana, si rahisi kwa wengi wetu ku handle the situation like he did, na vile tu tuna comment hapa na halijakutokea acha kumbeza jamaa kiukweli wanawake walio wengi wa kijita wana shida na tamaa za kipumbavu.
 
Huyo Masabato anataka kujifanya nabii Hosea, hakuna Mwanamke duniani mwenye huruma na Mwanaume anayejiliza Liza, ukishapoteza sifa ya kiume Mwanamke anakosa mvuto kutoka kwako anaanza kutafuta Wanaume wanaoeleweka nje
 
Kitu kingine nilichokigundua,japo mtoa mada hujasema inaonekana Kuna gape kubwa sana la umri kati yako na huyo mkeo, kama ni ndivyo basi hilo nalo ni tatizo kubwa. Wewe unawaza maisha mwenzio bado minyege kibao na kwa umri wako huwezi kumkuna kisawa sawa...!! Na wanawake wa kijita wanapenda kukunwa haswa! In short ukioa mwanamke wa kijita ni kama umeoa machine ya kusuguana.
54 kwa 41
 
Stats hazichukui wafia nyumbani.

Uwepo wa huduma bora za afya husaidia ukusanyaji wa takwimu.

Uelewa wa watu juu ya huduma za afya na urahisi wa kuzipata huchangia ukusanyaji takwimu sahihi.

Now angalia hayo maeneo juu ya swala la huduma za afya wako vipi.
Bahati mbaya wanyaturu na wairaq nawaona hapa Dsm, sijawahi kufika mikoa yao ya asili.
 
Back
Top Bottom