Nimevumilia Usaliti wa Mke wangu kwa Miaka, Simu yake imenifungua Macho

Nimevumilia Usaliti wa Mke wangu kwa Miaka, Simu yake imenifungua Macho

Aya mambo ya Kijinga huwa kila siku tunayakataa humu,Yaani wewe uowe mwanamke Malaya wa Kijita halafu uje hapa Jukwaani kuwaambia wanawake wote wa Kijita hawafai?

Mnapokuwa mnaoa malaya wenzenu mnapokwazana muwe mnapambana kimya kimya na siyo kuleta na kutia huruma hapa ya kwamba wanawake wa Kabila fulani hawafai!

Hoja yako ningeiunga mkono endapo ungesema hao wanawake wote wa kijita hapo Musoma Umetembea nao na wakawa na tabia moja ya umalaya!
NYIE Wajita ni Malaya tunawajua vizuri
 
Ndugu yangu, kwa umri wako wa miaka 54, jambo muhimu zaidi kwa sasa ni amani ya moyo, afya na utulivu wa maisha yako. Kutokana na maelezo yako, inaonekana umekuwa ukivumilia kwa muda mrefu huku ukikumbana na matukio mengi yanayokuvunja moyo na kuharibu imani ndani ya ndoa yenu.

Kama umefikia hatua ambayo huwezi tena kumuamini mke wako na umejiridhisha kuwa ndoa hiyo haiwezi kurekebishika, usifanye maamuzi kwa hasira. Epuka ugomvi, matusi, vitisho au vitendo vya kulipiza kisasi. Chukua hatua za kuachana kwa utulivu na kwa kufuata taratibu zinazokubalika katika familia na jamii yenu.

Kuhusu watoto, usihofu kwamba maisha yao yataharibika moja kwa moja kwa sababu ya kutengana. Mara nyingi watoto huathirika zaidi wanapoishi kwenye mazingira yenye migogoro, ugomvi na huzuni za kila siku. Muhimu ni kuendelea kuwajibika kama baba kwa malezi, elimu, afya na mahitaji yao yote muhimu.

Pia nakushauri usiwahukumu wanawake wote wa kabila la Kijita au kabila lolote kutokana na uzoefu ulioupata. Tabia njema au mbaya ni za mtu binafsi, si za kabila zima. Kuna watu wema na wabaya katika kila jamii.

Jilinde dhidi ya msongo wa mawazo, presha na magonjwa yanayoweza kusababishwa na mawazo mengi. Kama umeona hakuna tena msingi wa kuendelea na ndoa hiyo, achana nayo kwa heshima na elekeza nguvu zako katika kulea watoto na kujenga maisha yenye amani.

Mwishowe, usikubali hasira zikufanye ufanye jambo ambalo utalijutia baadaye. Amani yako, afya yako na mustakabali wa watoto wako ndiyo viwe vipaumbele vyako vikuu.
 
Kwa wanajamii wote wa hii platform, binafsi nimekuwa nikiingia na kusoma threads mbalimbali zinazofikishwa kwenye hili jukwaa. Kwa kifupi sikuwa active member mpaka nilipoamua kujiunga rasmi kwa siku hii ya leo.

Binafsi ni mtu wa makamo, almost 54 years and above, ni mwenyeji wa kusini ila kutokana na changamoto za hapa na pale nikajikuta nimehamishia makazi maeneo ya Musoma. Hiyo sasa ni tangu 2006.

Mnamo mwaka 2007 nikawa nimeingia mahusiano na binti mmoja wa Kijita ambapo baada ya kukamilisha taratibu nyingine tukaridhia kuishi pamoja kama mke na mme.

Tabia za kifuska za mke wangu:

Tukio la kwanza lilikuwa ni siku moja nimemuaga kwamba nafikia Mwigobero kwa ajili ya issue za dagaa (huwa nafanya biashara mchanganyiko, nafaka na samaki kutegemea upepo). Sasa wakati nipo njiani nikakumbuka kuna kitu nimemsahau ndani. Wakati narudi nikasikia sauti kwa ndani anaongea na simu, "Mi nipo off labda wewe." Alistuka sana maana wakati anaongea naye alikuwa anatoka ndani kunichungulia mlangoni kama nimefika mbali. Sasa hakutegemea kuniona nimerudia ghafla! Nikamuuliza akawa anajibu kwa majibu mepesi mepesi. Nikawa nimempotezea.

Maisha yakaendelea. Kuna siku akaniomba ruhusa akamsalimie dada ake mmoja anayeishi Bunda, sehemu moja inaitwa Kibara. Huyo dada alikuwa mgonjwa nikawa nimemruhusu. Tatizo likawa kila nikipiga simu nyakati za usiku imezimwa, nikimpigia kupitia simu ya dada yake, dada yake anajibu, keshalala. Baadaye nilikuja kupata taarifa huwa kuna dogo mmoja alikuwa anafika pale wanaondoka wote, yule dogo alikuwa anaagizwa na jamaa mmoja. (Nisisitize hapa mwanamke wa Kijita akikuomba ruhusa mara kwa mara za kusafiri stuka haraka, zuia au muwekee mtego!)

Kuna siku moja asubuhi kawahi kumuamsha mtoto awahi gari la shule (English medium). Sasa wakati anaondoka kasahau simu na bahati mbaya zaidi alikuwa hajaweka password. Nikazama FB Messenger, niliyoyashuhudia ni mengi sana! Kashatembea na vijana watatu lakini pia alikuwa kwenye harakati za kutembea na jamaa mmoja ambaye mimi aliwahi kunitambulisha ni binamu yake! Tena wamepanga kukutania lodge za kule Makutano, kwa wale wenyeji mnaoifahamu barabara ya kutoka Bunda-Musoma then Tarime! Nikawa nimepotezea. Hapa niweke wazi kuhusu kupotezea, kiukweli watoto walikuwa wananipa mawazo sana kuhusu malezi yao, na kuna nyakati tulikuwa tukikwazana anaonyesha sura ya huzuni siku nzima mpaka watoto wanakosa amani.

Kuna siku akakwazana na dada mmoja ambaye alikuwa jirani yetu, yule dada akaanza kuropoka, "Shemeji nisamehe kushiriki uovu. Mkeo ana jamaa fulani anatembea naye hapo Bunda na siku aliyokuaga anaenda harusini, alianzia kwa huyo jamaa ndiyo akaenda." Kumuuliza mwanamke anajiliza liza kwamba anasingiziwa! Ila yule dada alitoa shuhuda nyingi nikabaki kuumia tu moyoni.

Majuzi kaanza tabia ya kujifanya anaangalia vipindi vya TV usiku, pembeni anakuwepo mtoto anamuwekea vipindi vya katuni. Kilichonishangaza ni kuwa anazima TV saa tano, kitu ambacho kwa uchunguzi wangu alikuwa anatumia hilo gap kuchat na wanaume zake. Sasa usiku wa kuamkia leo kwenye mida ya saa nne na nusu nikatoka chumbani fasta na kumyakua simu, kwa kuwa lilikuwa tukio la kustukiza alipigwa na butwaa!

Katika chats za jana mke wangu kapata jamaa mmoja mfanyakazi wa Nyamongo Gold Mining ambaye kulingana na chats zao hawajakutana. Wametumiana picha na jamaa kamuuliza mke wangu kama anavaa shanga, naye kajibu, "Navaa ila awamu hii naomba uninunulie zako." Jamaa kauliza rangi, kajibiwa, "Nyeupe." Walikuwa wamepanga kukutana Jumatano, siku ambayo sitakuwepo! Mpaka sasa tuna mgogoro mzito sana.

Nipo njia panda sana, kumuacha siyo tatizo, nawafikiria watoto wangu tu!

Ushauri:
  • Usioe mwanamke anayetoka familia ambayo mama ndiye msemaji mkuu.
  • Wajita siyo wife materials kabisa, try for your own risk.
  • Mwanamke wa Kijita hushirikiana na mama yake kutafutiwa wanaume na ni wachache sana wasiofanya hivi.

NB:Nimefupisha story kumhusu huyu mwanamke ila yapo mengi hatari zaidi ya kifuska,likiwemo la kutembea na mme wa mtoto wa shangazi yake ambaye ni mwanajeshi.Na alipobanwa kuhusu hili alikataa kata kata ila baadae alikiri na kusema wakati wanakunywa juice alijikuta wapo chumbani lodge washafanya mapenzi,pengine shemeji yake alimuwekea dawa za usingizi! Hapa nimetingwa tu ila nikitulia nitaongezea huu Uzi.Pia Kuna watu mnadai mtu mmoja anahalalishaje wote waonekane wabaya?Ndugu zangu nina mifano mia kidogo kuhusu wanawake wa kabila la kijita,ninawafahamu vizuri nimeishi huku zaidi ya miaka 20.Wanawake wa kijita ni hatari nikipata muda nitawaandalia Uzi wenye mifano mingi
Huku kwetu kuna wanawake wa Singida na Mbulu, siyo poa kabisaa.

All in All Brother huyo siyo mke, hilo ni takataka. Achana nalo mapema tu, usiwaze sana kuhusu watoto, itapatikana njia ya malezi yao.
 
Aya mambo ya Kijinga huwa kila siku tunayakataa humu,Yaani wewe uowe mwanamke Malaya wa Kijita halafu uje hapa Jukwaani kuwaambia wanawake wote wa Kijita hawafai?

Mnapokuwa mnaoa malaya wenzenu mnapokwazana muwe mnapambana kimya kimya na siyo kuleta na kutia huruma hapa ya kwamba wanawake wa Kabila fulani hawafai!

Hoja yako ningeiunga mkono endapo ungesema hao wanawake wote wa kijita hapo Musoma Umetembea nao na wakawa na tabia moja ya umalaya!
Wanawake wa Kijita wengi wao ni MALAYA halafu pia wanaume wa kijita wengine wao WANAFIKI, WAMBEYA na WACHONGANISHI tunao huku Makazini ni hovyo sana!
 
Wanyamwezi je?
Mkuu ninachokwambia nina uhakika nacho asilimia mia... hao Warangi na Wambulu ndo ma-giant wa umalaya Tanzanian. Lakini kwa tafiti yangu nimegundua Wambulu wamezidi kidogo.

Kwanza haya makabila mawili ni wazuri sana/warembo... Kutokana na urembo wao so automatically inawapa advanced kubobea kwenye umalaya.. Kwa sababu wanaume wanataka kula babies kali..

Pia makabila haya mawili ni watu wasioenda shule so reasoning yao inakua ndogo sana so full kuliwa ovyo.

Na tena wanaongoza kufanya biashara ya ukahaba, kwenye majiji makubwa jama Arusha, Dar nk wamejaa Wambulu na Warangi.. Nenda chaka za wanawake wanaojiuza dar.. Ambiance, Buguruni etc kafanye research utakuja kugundua ni Wambulu na Warangi wapo kazini..

Warangi na Wambulu ni mabaamedi maarufu sana, sanasana Wambulu... Ukienda kwenye hizi bar ukiona mwanamke ni mzuri na ni mweupe tayari ni Mbulu huyo..
 
Mtoa mada kama unayoyasema ni kweli umemdekeza Sana mkeo na watamkaza kisawasawa hao watu.

Ni hivi ikitokea leo amekata moto huyo mwanamke watoto hawatakua. Acha sababu za kitoto eti unawahurimia watoto.
 
Hapa kataa ndoa tumepewa penalty dakika za nyongeza kwenye fainali kombe la dunia...Penalty tumekosa LAKINI refarii kaita kati na kamaliza mpira hapo hapo... Kombe tunatamba nalo maana tumelisotea sana.
Hawa watu wanaoa Malaya halafu ndoa zinaonekana mbaya kumbe uchaguzi wao ndio mbaya,matokeo yake mnapata ushindi wa chee kabisa
 
Mwanamke akifikisha miaka 30+ anahitaji kupigwa mboro muda wote, wakati Mwanaume akifikisha miaka 40+ focus yake inahamia kwenye kutafuta pesa na utajiri. Kwa umri wa jamaa wa miaka 50+ kazi anayo huko kanda ya ziwa kwenye samaki ambao wanachochea nyege za kutosha.
Aisee namhurumia sana huyo Mzee wa watu, atakufa na pressure
 
Mkuu ninachokwambia nina uhakika nacho asilimia mia... hao Warangi na Wambulu ndo ma-giant wa umalaya Tanzanian. Lakini kwa tafiti yangu nimegundua Wambulu wamezidi kidogo.

Kwanza haya makabila mawili ni wazuri sana/warembo... Kutokana na urembo wao so automatically inawapa advanced kubobea kwenye umalaya.. Kwa sababu wanaume wanataka kula babies kali..

Pia makabila haya mawili ni watu wasioenda shule so reasoning yao inakua ndogo sana so full kuliwa ovyo.

Na tena wanaongoza kufanya biashara ya ukahaba, kwenye majiji makubwa jama Arusha, Dar nk wamejaa Wambulu na Warangi.. Nenda chaka za wanawake wanaojiuza dar.. Ambiance, Buguruni etc kafanye research utakuja kugundua ni Wambulu na Warangi wapo kazini..

Warangi na Wambulu ni mabaamedi maarufu sana, sanasana Wambulu... Ukienda kwenye hizi bar ukiona mwanamke ni mzuri na ni mweupe tayari ni Mbulu huyo..
Hakuna kabila linaitwa wambulu. Hawa ni mmoja mmoja sana kukuta katulia.

Ni vicheche ila havijui kutiana
 
Wana
Huku kwetu kuna wanawake wa Singida na Mbulu, siyo poa kabisaa.

All in All Brother huyo siyo mke, hilo ni takataka. Achana nalo mapema tu, usiwaze sana kuhusu watoto, itapatikana njia ya malezi yao.
Wanawake wa singida na mbulu wakoje?
 
Kwanini wanyaturu, wambulu wairaqi wanasifika kwa ukicheche lakini maeneo yao hayapo kwenye top ten ya sehemu zenye maambukiz makubwa ya ukimwi?
Hakuna kabila linaitwa wambulu. Hawa ni mmoja mmoja sana kukuta katulia.

Ni vicheche ila havijui kutiana
Sa
 
Back
Top Bottom