Nimevumilia Usaliti wa Mke wangu kwa Miaka, Simu yake imenifungua Macho

Nimevumilia Usaliti wa Mke wangu kwa Miaka, Simu yake imenifungua Macho

Kuna mwamba mmoja miaka ya nyuma alikuwa kazi nzuri,basi akakutana na church girl akajua hapa amepata mke,kumbe long time bint ana ngoma

Basi jamaa akaoa mwisho wa siku ndio hivyo tena,na kipindi kile hakuna dawa za kifubaza ule ugonjwa
Kama haya makanisa ya kilokole siku hizi hatari sana. Matapeli wote wamekimbilia huko. Kina dada walioshindika wanaenda huko kuji-camouflage wapate waume. Kunahitaji umakini sana.
 
KUna aina tatu za wanawake:-

1.Mke Mkeo
2.Mke Jina
3.Mke wetu.

Hapo nadhani umeoa MKE WETU - Mlezi wa wana.

Kama story yako ni ya kweli POLE SANA ingawa inatokea sana hiyo kwa watu wengi waliooa sema wengine hawastukii.
 
Kupigiwa na kupigiwa kifala kukoje?
kupigiwa hii haijalishi umepigiwaje? kuna akili imetumika au haijatumika hapo kwenye kupigiwa.

kupigiwa kifala ni kwamba unapigiwa ila sasa mkewako na huyo jamaa anaekupigia wote hawa move smart na still wewe unaepigiwa unakiwa haujui chochote yaani unakuwa zumbukuku mkewako anagawa uroda kijinga tu mafala wanajipigia, hapa kama uko smart utajua kabla au baada ya kupigiwa, ukiwa smart zaidi unajua hata kabla hujapigiwa
 
Nadhani huumpi muda wa kutosha Mke wako,kumdekeza kumsikiliza na kutoka nae mara chache bali uko busy tu na biashara. Futeni yaliyopita. Anzeni upya mna familia.
Kwa hyo mke anafaa kufanya anayofanya ?, women wako so stupid mnajustify ujinga , if issue alitaka mda c angeomba talaka aende kuwa na hao wenye mda
 
Kwa wanajamii wote wa hii platform, binafsi nimekuwa nikiingia na kusoma threads mbalimbali zinazofikishwa kwenye hili jukwaa. Kwa kifupi sikuwa active member mpaka nilipoamua kujiunga rasmi kwa siku hii ya leo.

Binafsi ni mtu wa makamo, almost 54 years and above, ni mwenyeji wa kusini ila kutokana na changamoto za hapa na pale nikajikuta nimehamishia makazi maeneo ya Musoma. Hiyo sasa ni tangu 2006.

Mnamo mwaka 2007 nikawa nimeingia mahusiano na binti mmoja wa Kijita ambapo baada ya kukamilisha taratibu nyingine tukaridhia kuishi pamoja kama mke na mme.

Tabia za kifuska za mke wangu:

Tukio la kwanza lilikuwa ni siku moja nimemuaga kwamba nafikia Mwigobero kwa ajili ya issue za dagaa (huwa nafanya biashara mchanganyiko, nafaka na samaki kutegemea upepo). Sasa wakati nipo njiani nikakumbuka kuna kitu nimemsahau ndani. Wakati narudi nikasikia sauti kwa ndani anaongea na simu, "Mi nipo off labda wewe." Alistuka sana maana wakati anaongea naye alikuwa anatoka ndani kunichungulia mlangoni kama nimefika mbali. Sasa hakutegemea kuniona nimerudia ghafla! Nikamuuliza akawa anajibu kwa majibu mepesi mepesi. Nikawa nimempotezea.

Maisha yakaendelea. Kuna siku akaniomba ruhusa akamsalimie dada ake mmoja anayeishi Bunda, sehemu moja inaitwa Kibara. Huyo dada alikuwa mgonjwa nikawa nimemruhusu. Tatizo likawa kila nikipiga simu nyakati za usiku imezimwa, nikimpigia kupitia simu ya dada yake, dada yake anajibu, keshalala. Baadaye nilikuja kupata taarifa huwa kuna dogo mmoja alikuwa anafika pale wanaondoka wote, yule dogo alikuwa anaagizwa na jamaa mmoja. (Nisisitize hapa mwanamke wa Kijita akikuomba ruhusa mara kwa mara za kusafiri stuka haraka, zuia au muwekee mtego!)

Kuna siku moja asubuhi kawahi kumuamsha mtoto awahi gari la shule (English medium). Sasa wakati anaondoka kasahau simu na bahati mbaya zaidi alikuwa hajaweka password. Nikazama FB Messenger, niliyoyashuhudia ni mengi sana! Kashatembea na vijana watatu lakini pia alikuwa kwenye harakati za kutembea na jamaa mmoja ambaye mimi aliwahi kunitambulisha ni binamu yake! Tena wamepanga kukutania lodge za kule Makutano, kwa wale wenyeji mnaoifahamu barabara ya kutoka Bunda-Musoma then Tarime! Nikawa nimepotezea. Hapa niweke wazi kuhusu kupotezea, kiukweli watoto walikuwa wananipa mawazo sana kuhusu malezi yao, na kuna nyakati tulikuwa tukikwazana anaonyesha sura ya huzuni siku nzima mpaka watoto wanakosa amani.

Kuna siku akakwazana na dada mmoja ambaye alikuwa jirani yetu, yule dada akaanza kuropoka, "Shemeji nisamehe kushiriki uovu. Mkeo ana jamaa fulani anatembea naye hapo Bunda na siku aliyokuaga anaenda harusini, alianzia kwa huyo jamaa ndiyo akaenda." Kumuuliza mwanamke anajiliza liza kwamba anasingiziwa! Ila yule dada alitoa shuhuda nyingi nikabaki kuumia tu moyoni.

Majuzi kaanza tabia ya kujifanya anaangalia vipindi vya TV usiku, pembeni anakuwepo mtoto anamuwekea vipindi vya katuni. Kilichonishangaza ni kuwa anazima TV saa tano, kitu ambacho kwa uchunguzi wangu alikuwa anatumia hilo gap kuchat na wanaume zake. Sasa usiku wa kuamkia leo kwenye mida ya saa nne na nusu nikatoka chumbani fasta na kumyakua simu, kwa kuwa lilikuwa tukio la kustukiza alipigwa na butwaa!

Katika chats za jana mke wangu kapata jamaa mmoja mfanyakazi wa Nyamongo Gold Mining ambaye kulingana na chats zao hawajakutana. Wametumiana picha na jamaa kamuuliza mke wangu kama anavaa shanga, naye kajibu, "Navaa ila awamu hii naomba uninunulie zako." Jamaa kauliza rangi, kajibiwa, "Nyeupe." Walikuwa wamepanga kukutana Jumatano, siku ambayo sitakuwepo! Mpaka sasa tuna mgogoro mzito sana.

Nipo njia panda sana, kumuacha siyo tatizo, nawafikiria watoto wangu tu!

Ushauri:
  • Usioe mwanamke anayetoka familia ambayo mama ndiye msemaji mkuu.
  • Wajita siyo wife materials kabisa, try for your own risk.
  • Mwanamke wa Kijita hushirikiana na mama yake kutafutiwa wanaume na ni wachache sana wasiofanya hivi.

NB:Nimefupisha story kumhusu huyu mwanamke ila yapo mengi hatari zaidi ya kifuska,likiwemo la kutembea na mme wa mtoto wa shangazi yake ambaye ni mwanajeshi.Na alipobanwa kuhusu hili alikataa kata kata ila baadae alikiri na kusema wakati wanakunywa juice alijikuta wapo chumbani lodge washafanya mapenzi,pengine shemeji yake alimuwekea dawa za usingizi! Hapa nimetingwa tu ila nikitulia nitaongezea huu Uzi.Pia Kuna watu mnadai mtu mmoja anahalalishaje wote waonekane wabaya?Ndugu zangu nina mifano mia kidogo kuhusu wanawake wa kabila la kijita,ninawafahamu vizuri nimeishi huku zaidi ya miaka 20.Wanawake wa kijita ni hatari nikipata muda nitawaandalia Uzi wenye mifano mingi
Sisi nyumbani tulishapigwa marufuku hakuna kuoa mwanamke wa kijita na wekizu. Sasa bora hao wajita usiombe ukutane na mwikizu wa hapo Nyamuswa utajuta.
Kiufupi mkoa wa Mara ni mkoa wangu lkn kuhusu wife material changamoto sana aisee!...! Labda wakurya lkn na wenyewe ili akuheshimu lzm kipigo kisipungue akizingua. Lkn kama unataka kufanikiwa oa mkurya ni wachapa kazi haswa.

Ushauri kwako mtoa mada: huyo mwanamke alichobakiza kwako ni kukuua na atakuua ukijifanya king'ang'anizi, huyo sio mke tena ni Malaya. Kama watoto washakuwa wakubwa piga chini fasta kaa na watoto wako.

Nb: wanawake wa musoma tuachieni sisi wenyewe nyie wa kuja hamuwawezi hata kidogo, sasa mwanamme Gani wewe mwanamke anakufanyia ushenzi wote huo na wala hujampiga hata kikofi?? Hovyo kabisa!!! Mwanamke anaheshimiwa akijiheshimu tofauti na hapo ni kipigo Cha kukandwa.
 
Sie tuliozaliwa Musoma,toka tulipokuwa vijana wazazi walitiambia wazi kama utaoa hapa Mkoani kwetu Mara oa binti kabila lolote lakini asiwe mjita,mkwaya au mkelewe.

95% ya wajita ni wasabatho na malaya konki.Utakuwa mpumbavu wa mwisho kufa kwa presha kwa kisingizio cha watoto.
Huo umri ulionao ni wa dakia moja presha.
 
Watu wanaweza kumuita mtoa mada kwamba ni mkabila ila kaongea facts.

Wanawake wa kijita ni bomu.

Alafu wanafatiwa na wenzao wanaoishi pembezoni na visiwani victoria, wakerewe.

Mdomo sana, wafuska, visa, wanapenda kuingilia ndoa za watu, ushirikina kwa kila hatua, tabu za dugu zake, etc

UTAJUTA.
Ukioa mwanamke wa kijita ili uende nae sawa lzm ujifanye kama kichaa, akuogope mke wako mpaka ukweni🤣 hapo mtaishi kwa Amani.
 
Huyo mwanamke amekuwa mbaya na ataendelea kuwa mbaya kutokana na upumbavu wako wewe mwanaume.

Kaa chini, shirikisha watu wakubwa ujue namna ya malezi ya watoto wako na sio kuendelea kumshikilia huyo mwanamke kisa malezi ya watoto tena mwanamke unayethibjtisha kabisa upuuzi wake. Anaufanya anajua wewe ni bwege huwezi kumtema.

Mke wa mtu akichepuka ujue hisia zake zipo huko nje, hapo anatamani hata upotee au ufe ili awe huru zaidi na maisha yake mengine mapya, hakwambii tu ila kiukweli anatamani akae mbali na wewe kimahusiano. Ungekuwa karibu yangu Mkuu hata kibao mimi ningekuchapa jinsi ilivyo mpuuzi.

Endelea kucheka na kukosa imani, ukija kufa ni wazazi na ndugu zako na wanao ndio wataumia, yeye anaanza maisha yake mapya na wenzie. Tafuta watu wazima hasa wazazi na ndugu zako ili utoke hapo ujue hatma ya malezi ya watoto wako. Mpe space huyo mwanamke aendelee kufanya umalaya, wakishamchoka atarudi tena kwako na hapo akili itakuwa imemkaa sawa ila kwa sasa ataendelea kukusumbua na wewe ndio utaumia na ATAKUUA KWA UPUUZI UNAOUENDEKEZA.
 
Sie tuliozaliwa Musoma,toka tulipokuwa vijana wazazi walitiambia wazi kama utaoa hapa Mkoani kwetu Mara oa binti kabila lolote lakini asiwe mjita,mkwaya au mkelewe.

95% ya wajita ni wasabatho na malaya konki.Utakuwa mpumbavu wa mwisho kufa kwa presha kwa kisingizio cha watoto.
Huo umri ulionao ni wa dakia moja presha.
Jamaa ni mpuuzi sana tena saaana. Huu udhaifu wake ndio utafanya hata mtoto wake wa kiume naye mbeleni awe dhaifu kama baba yake alivyo mjinga.
 
Back
Top Bottom