Kipondo Cha ugoko
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 1,411
- 2,700
Shida ya wajitta ni wamalaya na madharau.Hao Wajita wanaigiza umalaya, Warangi na Wambulu ndo mabingwa wa hizi ligi... Wanachuana sana Kama Messi na Ronaldo.

Hapo mkuu upo sahihi kabisa level ya umalaya kwa wanawake wa kijita ni waikizu.Wakurya ndio wife materials tofauti na hapo kwa mara Bado sana.Siyo sehemu salama ya kwenda kuoaSisi nyumbani tulishapigwa marufuku hakuna kuoa mwanamke wa kijita na wekizu. Sasa bora hao wajita usiombe ukutane na mwikizu wa hapo Nyamuswa utajuta.
Kiufupi mkoa wa Mara ni mkoa wangu lkn kuhusu wife material changamoto sana aisee!...! Labda wakurya lkn na wenyewe ili akuheshimu lzm kipigo kisipungue akizingua. Lkn kama unataka kufanikiwa oa mkurya ni wachapa kazi haswa.
Ushauri kwako mtoa mada: huyo mwanamke alichobakiza kwako ni kukuua na atakuua ukijifanya king'ang'anizi, huyo sio mke tena ni Malaya. Kama watoto washakuwa wakubwa piga chini fasta kaa na watoto wako.
Nb: wanawake wa musoma tuachieni sisi wenyewe nyie wa kuja hamuwawezi hata kidogo, sasa mwanamme Gani wewe mwanamke anakufanyia ushenzi wote huo na wala hujampiga hata kikofi?? Hovyo kabisa!!! Mwanamke anaheshimiwa akijiheshimu tofauti na hapo ni kipigo Cha kukandwa.
Kuwa mwerevu kama nyokaKwa wanajamii wote wa hii platform, binafsi nimekuwa nikiingia na kusoma threads mbalimbali zinazofikishwa kwenye hili jukwaa. Kwa kifupi sikuwa active member mpaka nilipoamua kujiunga rasmi kwa siku hii ya leo.
Binafsi ni mtu wa makamo, almost 54 years and above, ni mwenyeji wa kusini ila kutokana na changamoto za hapa na pale nikajikuta nimehamishia makazi maeneo ya Musoma. Hiyo sasa ni tangu 2006.
Mnamo mwaka 2007 nikawa nimeingia mahusiano na binti mmoja wa Kijita ambapo baada ya kukamilisha taratibu nyingine tukaridhia kuishi pamoja kama mke na mme.
Tabia za kifuska za mke wangu:
Tukio la kwanza lilikuwa ni siku moja nimemuaga kwamba nafikia Mwigobero kwa ajili ya issue za dagaa (huwa nafanya biashara mchanganyiko, nafaka na samaki kutegemea upepo). Sasa wakati nipo njiani nikakumbuka kuna kitu nimemsahau ndani. Wakati narudi nikasikia sauti kwa ndani anaongea na simu, "Mi nipo off labda wewe." Alistuka sana maana wakati anaongea naye alikuwa anatoka ndani kunichungulia mlangoni kama nimefika mbali. Sasa hakutegemea kuniona nimerudia ghafla! Nikamuuliza akawa anajibu kwa majibu mepesi mepesi. Nikawa nimempotezea.
Maisha yakaendelea. Kuna siku akaniomba ruhusa akamsalimie dada ake mmoja anayeishi Bunda, sehemu moja inaitwa Kibara. Huyo dada alikuwa mgonjwa nikawa nimemruhusu. Tatizo likawa kila nikipiga simu nyakati za usiku imezimwa, nikimpigia kupitia simu ya dada yake, dada yake anajibu, keshalala. Baadaye nilikuja kupata taarifa huwa kuna dogo mmoja alikuwa anafika pale wanaondoka wote, yule dogo alikuwa anaagizwa na jamaa mmoja. (Nisisitize hapa mwanamke wa Kijita akikuomba ruhusa mara kwa mara za kusafiri stuka haraka, zuia au muwekee mtego!)
Kuna siku moja asubuhi kawahi kumuamsha mtoto awahi gari la shule (English medium). Sasa wakati anaondoka kasahau simu na bahati mbaya zaidi alikuwa hajaweka password. Nikazama FB Messenger, niliyoyashuhudia ni mengi sana! Kashatembea na vijana watatu lakini pia alikuwa kwenye harakati za kutembea na jamaa mmoja ambaye mimi aliwahi kunitambulisha ni binamu yake! Tena wamepanga kukutania lodge za kule Makutano, kwa wale wenyeji mnaoifahamu barabara ya kutoka Bunda-Musoma then Tarime! Nikawa nimepotezea. Hapa niweke wazi kuhusu kupotezea, kiukweli watoto walikuwa wananipa mawazo sana kuhusu malezi yao, na kuna nyakati tulikuwa tukikwazana anaonyesha sura ya huzuni siku nzima mpaka watoto wanakosa amani.
Kuna siku akakwazana na dada mmoja ambaye alikuwa jirani yetu, yule dada akaanza kuropoka, "Shemeji nisamehe kushiriki uovu. Mkeo ana jamaa fulani anatembea naye hapo Bunda na siku aliyokuaga anaenda harusini, alianzia kwa huyo jamaa ndiyo akaenda." Kumuuliza mwanamke anajiliza liza kwamba anasingiziwa! Ila yule dada alitoa shuhuda nyingi nikabaki kuumia tu moyoni.
Majuzi kaanza tabia ya kujifanya anaangalia vipindi vya TV usiku, pembeni anakuwepo mtoto anamuwekea vipindi vya katuni. Kilichonishangaza ni kuwa anazima TV saa tano, kitu ambacho kwa uchunguzi wangu alikuwa anatumia hilo gap kuchat na wanaume zake. Sasa usiku wa kuamkia leo kwenye mida ya saa nne na nusu nikatoka chumbani fasta na kumyakua simu, kwa kuwa lilikuwa tukio la kustukiza alipigwa na butwaa!
Katika chats za jana mke wangu kapata jamaa mmoja mfanyakazi wa Nyamongo Gold Mining ambaye kulingana na chats zao hawajakutana. Wametumiana picha na jamaa kamuuliza mke wangu kama anavaa shanga, naye kajibu, "Navaa ila awamu hii naomba uninunulie zako." Jamaa kauliza rangi, kajibiwa, "Nyeupe." Walikuwa wamepanga kukutana Jumatano, siku ambayo sitakuwepo! Mpaka sasa tuna mgogoro mzito sana.
Nipo njia panda sana, kumuacha siyo tatizo, nawafikiria watoto wangu tu!
Ushauri:
- Usioe mwanamke anayetoka familia ambayo mama ndiye msemaji mkuu.
- Wajita siyo wife materials kabisa, try for your own risk.
- Mwanamke wa Kijita hushirikiana na mama yake kutafutiwa wanaume na ni wachache sana wasiofanya hivi.
NB:Nimefupisha story kumhusu huyu mwanamke ila yapo mengi hatari zaidi ya kifuska,likiwemo la kutembea na mme wa mtoto wa shangazi yake ambaye ni mwanajeshi.Na alipobanwa kuhusu hili alikataa kata kata ila baadae alikiri na kusema wakati wanakunywa juice alijikuta wapo chumbani lodge washafanya mapenzi,pengine shemeji yake alimuwekea dawa za usingizi! Hapa nimetingwa tu ila nikitulia nitaongezea huu Uzi.Pia Kuna watu mnadai mtu mmoja anahalalishaje wote waonekane wabaya?Ndugu zangu nina mifano mia kidogo kuhusu wanawake wa kabila la kijita,ninawafahamu vizuri nimeishi huku zaidi ya miaka 20.Wanawake wa kijita ni hatari nikipata muda nitawaandalia Uzi wenye mifano mingi
🤣🤣🤣 kwanza wana pepeta mdomo balaa pia suala kutokutulia kwenye mahusiano na mtu mmoja. Na pia ni kama jamii zao zinaona ni jambo la kawaidaWalikufanya nini?
Hivi kwa nini wanawake walio wengi wakifanya mambo ya hovyo,wanayahalalisha kwa kuwasingizia wanaume kutotimiza majuku yao-huu ni ujinga na ujuha.Ni kweli kabisa lakini Kuna shida mahali bro.
Kama mume anatimiza wajibu wake wote Kila sekta sidhani kama linaweza kutokea hili.
Tusikimbilie kuhukumu.
Mwanamke kama mwanaume wake akicheat naye atataka kucheat. Cha kushangaza mwanaume wake akinunua gari yeye hawezi pia kununua gari, ila kwenye kucheat tu😂😂😂Hivi kwa nini wanawake walio wengi wakifanya mambo ya hovyo,wanayahalalisha kwa kuwasingizia wanaume kutotimiza majuku yao-huu ni ujinga na ujuha.
Huwezi kufanya maovu na kusingizia ulifanya kutokana na A au B.
Mwanamke na responsibilities ni mbalimbali. Kila issue inayomkuta Mwanamke lazima atasema imesababishwa na mwanaume. Kitu pekee ambacho mwanaume halahumiwi ni period zao tu.🤣🤣Hivi kwa nini wanawake walio wengi wakifanya mambo ya hovyo,wanayahalalisha kwa kuwasingizia wanaume kutotimiza majuku yao-huu ni ujinga na ujuha.
Huwezi kufanya maovu na kusingizia ulifanya kutokana na A au B.
Hamna lolote ulilotofatisha, mwanamke akishavua chupi na kuishika na kuiingiza hakuna ufala wala ujanja mkuukupigiwa ni kutombewa hii haijalishi umepigiwaje? kuna akili imetumika au haijatumika hapo kwenye kupigiwa.
kupigiwa kifala ni kwamba unapigiwa ila sasa mkewako na huyo jamaa anaekupigia wote hawa move smart na still wewe unaepigiwa unakiwa haujui chochote yaani unakuwa zumbukuku mkewako anagawa uroda kijinga tu mafala wanajipigia, hapa kama uko smart utajua kabla au baada ya kupigiwa, ukiwa smart zaidi unajua hata kabla hujapigiwa
Mtamaliza makabila yote sasa,mi nadhani Kama mtu hutaki kuoa tulia tu uache ujuaji,na Kama kimekuramba kwa ndoa usisambaze sumu na hako kanguchiro kaliko kung’ata
Siyo mwanamke wa kijita,hii ipo kwa wanawake wote (Tanzania) ,mtoto wa kike na mama yake huwa wanahadithiana mambo mbalimbali na kufichiana siri za mambo mbalimbali!!!!!Mwanamke wa Kijita hushirikiana na mama yake kutafutiwa wanaume na ni wachache sana wasiofanya hivi.
Mkuu pole sana.Kwa wanajamii wote wa hii platform, binafsi nimekuwa nikiingia na kusoma threads mbalimbali zinazofikishwa kwenye hili jukwaa. Kwa kifupi sikuwa active member mpaka nilipoamua kujiunga rasmi kwa siku hii ya leo.
Binafsi ni mtu wa makamo, almost 54 years and above, ni mwenyeji wa kusini ila kutokana na changamoto za hapa na pale nikajikuta nimehamishia makazi maeneo ya Musoma. Hiyo sasa ni tangu 2006.
Mnamo mwaka 2007 nikawa nimeingia mahusiano na binti mmoja wa Kijita ambapo baada ya kukamilisha taratibu nyingine tukaridhia kuishi pamoja kama mke na mme.
Tabia za kifuska za mke wangu:
Tukio la kwanza lilikuwa ni siku moja nimemuaga kwamba nafikia Mwigobero kwa ajili ya issue za dagaa (huwa nafanya biashara mchanganyiko, nafaka na samaki kutegemea upepo). Sasa wakati nipo njiani nikakumbuka kuna kitu nimemsahau ndani. Wakati narudi nikasikia sauti kwa ndani anaongea na simu, "Mi nipo off labda wewe." Alistuka sana maana wakati anaongea naye alikuwa anatoka ndani kunichungulia mlangoni kama nimefika mbali. Sasa hakutegemea kuniona nimerudia ghafla! Nikamuuliza akawa anajibu kwa majibu mepesi mepesi. Nikawa nimempotezea.
Maisha yakaendelea. Kuna siku akaniomba ruhusa akamsalimie dada ake mmoja anayeishi Bunda, sehemu moja inaitwa Kibara. Huyo dada alikuwa mgonjwa nikawa nimemruhusu. Tatizo likawa kila nikipiga simu nyakati za usiku imezimwa, nikimpigia kupitia simu ya dada yake, dada yake anajibu, keshalala. Baadaye nilikuja kupata taarifa huwa kuna dogo mmoja alikuwa anafika pale wanaondoka wote, yule dogo alikuwa anaagizwa na jamaa mmoja. (Nisisitize hapa mwanamke wa Kijita akikuomba ruhusa mara kwa mara za kusafiri stuka haraka, zuia au muwekee mtego!)
Kuna siku moja asubuhi kawahi kumuamsha mtoto awahi gari la shule (English medium). Sasa wakati anaondoka kasahau simu na bahati mbaya zaidi alikuwa hajaweka password. Nikazama FB Messenger, niliyoyashuhudia ni mengi sana! Kashatembea na vijana watatu lakini pia alikuwa kwenye harakati za kutembea na jamaa mmoja ambaye mimi aliwahi kunitambulisha ni binamu yake! Tena wamepanga kukutania lodge za kule Makutano, kwa wale wenyeji mnaoifahamu barabara ya kutoka Bunda-Musoma then Tarime! Nikawa nimepotezea. Hapa niweke wazi kuhusu kupotezea, kiukweli watoto walikuwa wananipa mawazo sana kuhusu malezi yao, na kuna nyakati tulikuwa tukikwazana anaonyesha sura ya huzuni siku nzima mpaka watoto wanakosa amani.
Kuna siku akakwazana na dada mmoja ambaye alikuwa jirani yetu, yule dada akaanza kuropoka, "Shemeji nisamehe kushiriki uovu. Mkeo ana jamaa fulani anatembea naye hapo Bunda na siku aliyokuaga anaenda harusini, alianzia kwa huyo jamaa ndiyo akaenda." Kumuuliza mwanamke anajiliza liza kwamba anasingiziwa! Ila yule dada alitoa shuhuda nyingi nikabaki kuumia tu moyoni.
Majuzi kaanza tabia ya kujifanya anaangalia vipindi vya TV usiku, pembeni anakuwepo mtoto anamuwekea vipindi vya katuni. Kilichonishangaza ni kuwa anazima TV saa tano, kitu ambacho kwa uchunguzi wangu alikuwa anatumia hilo gap kuchat na wanaume zake. Sasa usiku wa kuamkia leo kwenye mida ya saa nne na nusu nikatoka chumbani fasta na kumyakua simu, kwa kuwa lilikuwa tukio la kustukiza alipigwa na butwaa!
Katika chats za jana mke wangu kapata jamaa mmoja mfanyakazi wa Nyamongo Gold Mining ambaye kulingana na chats zao hawajakutana. Wametumiana picha na jamaa kamuuliza mke wangu kama anavaa shanga, naye kajibu, "Navaa ila awamu hii naomba uninunulie zako." Jamaa kauliza rangi, kajibiwa, "Nyeupe." Walikuwa wamepanga kukutana Jumatano, siku ambayo sitakuwepo! Mpaka sasa tuna mgogoro mzito sana.
Nipo njia panda sana, kumuacha siyo tatizo, nawafikiria watoto wangu tu!
Ushauri:
- Usioe mwanamke anayetoka familia ambayo mama ndiye msemaji mkuu.
- Wajita siyo wife materials kabisa, try for your own risk.
- Mwanamke wa Kijita hushirikiana na mama yake kutafutiwa wanaume na ni wachache sana wasiofanya hivi.
NB:Nimefupisha story kumhusu huyu mwanamke ila yapo mengi hatari zaidi ya kifuska,likiwemo la kutembea na mme wa mtoto wa shangazi yake ambaye ni mwanajeshi.Na alipobanwa kuhusu hili alikataa kata kata ila baadae alikiri na kusema wakati wanakunywa juice alijikuta wapo chumbani lodge washafanya mapenzi,pengine shemeji yake alimuwekea dawa za usingizi! Hapa nimetingwa tu ila nikitulia nitaongezea huu Uzi.Pia Kuna watu mnadai mtu mmoja anahalalishaje wote waonekane wabaya?Ndugu zangu nina mifano mia kidogo kuhusu wanawake wa kabila la kijita,ninawafahamu vizuri nimeishi huku zaidi ya miaka 20.Wanawake wa kijita ni hatari nikipata muda nitawaandalia Uzi wenye mifano mingi
Kwasababu mwanamke mara nyingi hucheat kwasababu, na sababu kuu huwa mume.Hivi kwa nini wanawake walio wengi wakifanya mambo ya hovyo,wanayahalalisha kwa kuwasingizia wanaume kutotimiza majuku yao-huu ni ujinga na ujuha.
Huwezi kufanya maovu na kusingizia ulifanya kutokana na A au B.
Samahani mtoa mada, kupitia maandishi plus hali unayopitia kwa sasa plus umri wako kuna ukakasi kidogo kuhusu hii hoja yako.Binafsi ni mtu wa makamo, almost 54 years and above
ni mwenyeji wa kusini
Kama umefanikiwa kutembelea mikoa ya kusini, kuna mkoa huo unaambiwa kabisa wanaume wa huko wanasifika kwa.............................. Je, tunaweza kusema kuwa wanaume wa huko plus dada zao hawafai kuoa wala kuolewa??Tabia za kifuska za mke wangu:
Hapa ndiyo nikapata wasiwasi kuhusu umri wako, coz kwa umri wako utakuwa unafahamu kabisa kuwa hapa Tanzania bado kuna jamii ambazo mwanamke anakuwa na sauti, miongoni mwa hizo jamii zipo mikoa ya Kusini.Ushauri: