Nimevumilia Usaliti wa Mke wangu kwa Miaka, Simu yake imenifungua Macho

Nimevumilia Usaliti wa Mke wangu kwa Miaka, Simu yake imenifungua Macho

Aya mambo ya Kijinga huwa kila siku tunayakataa humu,Yaani wewe uowe mwanamke Malaya wa Kijita halafu uje hapa Jukwaani kuwaambia wanawake wote wa Kijita hawafai?

Mnapokuwa mnaoa malaya wenzenu mnapokwazana muwe mnapambana kimya kimya na siyo kuleta na kutia huruma hapa ya kwamba wanawake wa Kabila fulani hawafai!

Hoja yako ningeiunga mkono endapo ungesema hao wanawake wote wa kijita hapo Musoma Umetembea nao na wakawa na tabia moja ya umalaya!
 
Pole sana mkuu, naomba nikuulize swali moja tu kabla ya kukupa ushauri.

Kabla haujaoa huyo mkeo uliongea na wakubwa wakakupa hizo ABC zake na hapo unapoenda kuoa au uliambiwa na wakubwa baada ya kuwauliza kisha ukasema nitajua mbele ya safari nitambadirisha ila sasa umeshindwa kumbadirisha maana habadirishiki?
Mzee wa ABC katika 1&2 upo
Chief kiukweli sikupewa ABC kilichonipatia matumaini kwanza ni mtu wa church sana,muimba kwaya,nk hilo lilikuwa kosa kubwa sana kwangu
 
Nlishakuwa na mwanamke wa kijita ndani ya 2yrs nikazaa naye, kwa mimba unplanned ya mapacha, nikawa mpole sasa iwe ndoa aisee hakuna rangi sikuiona, mwisho wa siku akaja na syphilis uzuri akaniambia kabla sijagusa tena uchi lake, nilifanya maamuzi magumu siku hiyohiyo na kupanga watoto waende wapi, nikasonga mbele na watoto ni watu wazima sasa hivi, hawajaonana na huyo mama kwa zaidi ya miaka 18 uso kwa macho. Mdau nakuunga mkono japo kabila sio issue tatizo ni culture ya hao watu!
 
Nlishakuwa na mwanamke wa kijita ndani ya 2yrs nikazaa naye, kwa mimba unplanned ya mapacha, nikawa mpole sasa iwe ndoa aisee hakuna rangi sikuiona, mwisho wa siku akaja na syphilis uzuri akaniambia kabla sijagusa tena uchi lake, nilifanya maamuzi magumu siku hiyohiyo na kupanga watoto waende wapi, nikasonga mbele na watoto ni watu wazima sasa hivi, hawajaonana na huyo mama kwa zaidi ya miaka 18 uso kwa macho. Mdau nakuunga mkono japo kabila sio issue tatizo ni culture ya hao watu!
Apostle Tuendelee Na Shuda Zetu Hapa Hapa Mpaka Mwisho
 
Watu wanaweza kumuita mtoa mada kwamba ni mkabila ila kaongea facts.

Wanawake wa kijita ni bomu.

Alafu wanafatiwa na wenzao wanaoishi pembezoni na visiwani victoria, wakerewe.

Mdomo sana, wafuska, visa, wanapenda kuingilia ndoa za watu, ushirikina kwa kila hatua, tabu za dugu zake, etc

UTAJUTA.
Bora wakerewe mkuu MJITA huwezi kumuweka Group moja na mkerewe!
 
Mzee wa ABC katika 1&2 upo
Asee lazima upewe ABC zake kabla mimi ilinisaidia sana hio ndio maana nawasisitiza unajua wanawake wapo very tricky pale mwanzoni akiwa anataka ujae kwenye mfumo

kuna data hupewi utakuja kuzijua ushamuoa mpo ndani na hapo muda ushasogea sasa ukizijua mapema kabla yaan kukiwa na mvujishaji akakupa full data akili kichwani mwako huangukiwi na jumba bovu kizembe unaishi kimasta ila sasa usipozijua ABC zake vizuri ukamfahamu vizuri kabla ndio hivi sasa unakuja kuzijua ABC zake tayari ushamuoa upo nae ndani kawapanga James, John, Ally, Juma, Jimmy, etc wote hao kwa wakati wake anaenda kuwatembelea wewe unakua km msindikizaji tu na kupewa kwa masharti kwa mwezi mara 1 na hio mara 1 kwa mbinde huku kuna wadau kazi yao kumvua mkeo kila wanapotaka wao, kwa hio ni vizuri ukimsoma ABC zake vizuri kabla hujamuoa

mfano hapo anasema rafiki yake wa kike kavujisha data kwamba mkewe ana mwanaume Bunda na anaendaga kuliwa huko kila wakati akitaka, sasa huyo rafiki yake wa kike (ndio hao mimi ninawaita wakubwa) angempata kabla akavujisha hizo data jamaa hata kuoa angeghairisha au angefikiria vinginevyo baada ya kufanya utafiti wa kutosha ila sasa kashajaa kwenye mfumo watoto wamekaa km kitanzi unaanza kufikiria sasa nikimuacha huyu na hawa watoto wataishije bila mama?
 
Nlishakuwa na mwanamke wa kijita ndani ya 2yrs nikazaa naye, kwa mimba unplanned ya mapacha, nikawa mpole sasa iwe ndoa aisee hakuna rangi sikuiona, mwisho wa siku akaja na syphilis uzuri akaniambia kabla sijagusa tena uchi lake, nilifanya maamuzi magumu siku hiyohiyo na kupanga watoto waende wapi, nikasonga mbele na watoto ni watu wazima sasa hivi, hawajaonana na huyo mama kwa zaidi ya miaka 18 uso kwa macho. Mdau nakuunga mkono japo kabila sio issue tatizo ni culture ya hao watu!
Wanaoniandama hawajawahi kuishi na watu wa jamii hii!
 
Watu wanaweza kumuita mtoa mada kwamba ni mkabila ila kaongea facts.

Wanawake wa kijita ni bomu.

Alafu wanafatiwa na wenzao wanaoishi pembezoni na visiwani victoria, wakerewe.

Mdomo sana, wafuska, visa, wanapenda kuingilia ndoa za watu, ushirikina kwa kila hatua, tabu za dugu zake, etc

UTAJUTA.
Mie uwa sijui tofauti ya wajita na wakerewe, naona kama ni wamoja tu. Tabia zao zinafanana sana hawa watu. Wakati kabla sijaondoka bongo niliwahi kua nachakata mwanamke wa kikerewe alikua bomba sana na alikua mke wa waziri fulani enzi hizo. Hizo zote ni kweli tabia zao, hawajatulia kabisa.
 
Kwa wanajamii wote wa hii platform, binafsi nimekuwa nikiingia na kusoma threads mbalimbali zinazofikishwa kwenye hili jukwaa. Kwa kifupi sikuwa active member mpaka nilipoamua kujiunga rasmi kwa siku hii ya leo.

Binafsi ni mtu wa makamo, almost 54 years and above, ni mwenyeji wa kusini ila kutokana na changamoto za hapa na pale nikajikuta nimehamishia makazi maeneo ya Musoma. Hiyo sasa ni tangu 2006.

Mnamo mwaka 2007 nikawa nimeingia mahusiano na binti mmoja wa Kijita ambapo baada ya kukamilisha taratibu nyingine tukaridhia kuishi pamoja kama mke na mme.

Tabia za kifuska za mke wangu:

Tukio la kwanza lilikuwa ni siku moja nimemuaga kwamba nafikia Mwigobero kwa ajili ya issue za dagaa (huwa nafanya biashara mchanganyiko, nafaka na samaki kutegemea upepo). Sasa wakati nipo njiani nikakumbuka kuna kitu nimemsahau ndani. Wakati narudi nikasikia sauti kwa ndani anaongea na simu, "Mi nipo off labda wewe." Alistuka sana maana wakati anaongea naye alikuwa anatoka ndani kunichungulia mlangoni kama nimefika mbali. Sasa hakutegemea kuniona nimerudia ghafla! Nikamuuliza akawa anajibu kwa majibu mepesi mepesi. Nikawa nimempotezea.

Maisha yakaendelea. Kuna siku akaniomba ruhusa akamsalimie dada ake mmoja anayeishi Bunda, sehemu moja inaitwa Kibara. Huyo dada alikuwa mgonjwa nikawa nimemruhusu. Tatizo likawa kila nikipiga simu nyakati za usiku imezimwa, nikimpigia kupitia simu ya dada yake, dada yake anajibu, keshalala. Baadaye nilikuja kupata taarifa huwa kuna dogo mmoja alikuwa anafika pale wanaondoka wote, yule dogo alikuwa anaagizwa na jamaa mmoja. (Nisisitize hapa mwanamke wa Kijita akikuomba ruhusa mara kwa mara za kusafiri stuka haraka, zuia au muwekee mtego!)

Kuna siku moja asubuhi kawahi kumuamsha mtoto awahi gari la shule (English medium). Sasa wakati anaondoka kasahau simu na bahati mbaya zaidi alikuwa hajaweka password. Nikazama FB Messenger, niliyoyashuhudia ni mengi sana! Kashatembea na vijana watatu lakini pia alikuwa kwenye harakati za kutembea na jamaa mmoja ambaye mimi aliwahi kunitambulisha ni binamu yake! Tena wamepanga kukutania lodge za kule Makutano, kwa wale wenyeji mnaoifahamu barabara ya kutoka Bunda-Musoma then Tarime! Nikawa nimepotezea. Hapa niweke wazi kuhusu kupotezea, kiukweli watoto walikuwa wananipa mawazo sana kuhusu malezi yao, na kuna nyakati tulikuwa tukikwazana anaonyesha sura ya huzuni siku nzima mpaka watoto wanakosa amani.

Kuna siku akakwazana na dada mmoja ambaye alikuwa jirani yetu, yule dada akaanza kuropoka, "Shemeji nisamehe kushiriki uovu. Mkeo ana jamaa fulani anatembea naye hapo Bunda na siku aliyokuaga anaenda harusini, alianzia kwa huyo jamaa ndiyo akaenda." Kumuuliza mwanamke anajiliza liza kwamba anasingiziwa! Ila yule dada alitoa shuhuda nyingi nikabaki kuumia tu moyoni.

Majuzi kaanza tabia ya kujifanya anaangalia vipindi vya TV usiku, pembeni anakuwepo mtoto anamuwekea vipindi vya katuni. Kilichonishangaza ni kuwa anazima TV saa tano, kitu ambacho kwa uchunguzi wangu alikuwa anatumia hilo gap kuchat na wanaume zake. Sasa usiku wa kuamkia leo kwenye mida ya saa nne na nusu nikatoka chumbani fasta na kumyakua simu, kwa kuwa lilikuwa tukio la kustukiza alipigwa na butwaa!

Katika chats za jana mke wangu kapata jamaa mmoja mfanyakazi wa Nyamongo Gold Mining ambaye kulingana na chats zao hawajakutana. Wametumiana picha na jamaa kamuuliza mke wangu kama anavaa shanga, naye kajibu, "Navaa ila awamu hii naomba uninunulie zako." Jamaa kauliza rangi, kajibiwa, "Nyeupe." Walikuwa wamepanga kukutana Jumatano, siku ambayo sitakuwepo! Mpaka sasa tuna mgogoro mzito sana.

Nipo njia panda sana, kumuacha siyo tatizo, nawafikiria watoto wangu tu!

Ushauri:
  • Usioe mwanamke anayetoka familia ambayo mama ndiye msemaji mkuu.
  • Wajita siyo wife materials kabisa, try for your own risk.
  • Mwanamke wa Kijita hushirikiana na mama yake kutafutiwa wanaume na ni wachache sana wasiofanya hivi.

NB:Nimefupisha story kumhusu huyu mwanamke ila yapo mengi hatari zaidi ya kifuska,likiwemo la kutembea na mme wa mtoto wa shangazi yake ambaye ni mwanajeshi.Na alipobanwa kuhusu hili alikataa kata kata ila baadae alikiri na kusema wakati wanakunywa juice alijikuta wapo chumbani lodge washafanya mapenzi,pengine shemeji yake alimuwekea dawa za usingizi! Hapa nimetingwa tu ila nikitulia nitaongezea huu Uzi.Pia Kuna watu mnadai mtu mmoja anahalalishaje wote waonekane wabaya?Ndugu zangu nina mifano mia kidogo kuhusu wanawake wa kabila la kijita,ninawafahamu vizuri nimeishi huku zaidi ya miaka 20.Wanawake wa kijita ni hatari nikipata muda nitawaandalia Uzi wenye mifano mingi
Mkuu mjita sio mwanamke wa kuoa.. shujuru Mungu bado hajakuoa nammi nipp hap la Makoko musomaa.. nimeshaaxhana na wife wabkijita kwa scenario kama zako watoto wapo kwa bi mkubwa wangu moro
 
Back
Top Bottom