Nimevumilia Usaliti wa Mke wangu kwa Miaka, Simu yake imenifungua Macho

Nimevumilia Usaliti wa Mke wangu kwa Miaka, Simu yake imenifungua Macho

Huu uzi niliuona mapema sana ile kufungua nkaitiwa nyago sehem nkaachana nao.
Ndugu yangu mlalamikaji kwanza pole sana. Na pili nikwambie tu ukweli wewe ni mtu mzima ovyo tena sana. Kabila lako silijui ila kukaa na mtu mda huo wote hadi mna watoto na leo unakuja ati mjita ukimuoa unafeli hapo hata wewe nikwambie wewe ndio mke na huyo ndio mme. Afanye yote hayo unamwangalia tu kweli ndugu yangu hata kumpa punishment ukashindwa ati ni kuongea mnaongea tu. Huyo mtu mmoja amefanya umechukia wajita wote na unataka na wengne wafate mkondo wako, why dont u be a malaya mwene pasu, au labda hatosheki kwa kuwa mda mwing upo kibiashara unarud umechoka na yeye anata mjulus wako kaamua afanye linalomfaa. Sikushauri uachane na huyo mwanamke wako bali fanya cku moja mpo home watoto wapo shule mkulane kuanzia asubuh hadi jioni na umkule haswa yaan hata ikiwezekana mkutwe mmezimia wote. After kufufuka maliza tena cku3 toka nae out mkulane had mjione vichaa. Achana na hayo madagaa yako mara moja moja umridhishe mke wako..>
 
Kuja atembee na wanaume hadi huko ulikosema ni kwamba humridhish kazi madagaa yako na manafaka yako hayo ndo chanzo cha matatizo yote. Hauna mda nae bt unampenda tena sana sema hata wewe umeridhka na hiyo biashara yako na ndio maana hata yeye kajua huna time nae kaamua kutafta njia mbadala cjui mbagala.
Bro kwa style hiyo naona ukiwa senior bachelor for good. Tumia ile njia ulotumia mkapata watoto. Wewe unamshbisha na dagaa unadhan hayo mafuta kiunoni atayapunguzaje ndugu yangu. Kula huyo mtu acha ujinga. Kula yeye hadi mdomo umkauke ashndwe kuongea bro ukutane na machozi na kukuomba msamaha bro acha story za dagaa na na simu za barrick ndugu yangu.
Tuliza akili fahamu zirudi upunguze stress ukule huyo mtu hadi ashndwe kuvaa pichu bro. Wewe kaa hapo na kuomba misaada jf na wewe mwenyewe ndo chanzo cha yote na ndo suluhisho la yote. Kama unaenda kanisani hadi umefundishwa kunyenyekea kihivyo achana na kanisa kwanza usije kuwa kuni ya kuchoma wengne. Mtu anakwambia uachane nae wewe hujawai toka nje?....>
 
Tatizo la kuolombewa mke umelisababisha wewe coz umekuwa busy hadi jukumu la muhimu umelisahau. Huyo mtu mtafune kila style hata ile inayoitwa kulusamiarai au mguutaxat, achana kujiamisha na kuamisha watu ati wajita ni malaya, hao wanapenda uwakune sawasawa hadi wakwambie yote. Sasa wewe bung'aa hapo kama hujalimbwatax au uawawe watu wakutunzie badala upunguze mambo mengne uwe nae karibu hata mda mwingne nenda nae kufata mzigo mlale huko umkule. Bro kula huyo mtu ndo dawa pekee. Mpe mda wako atajishaur na kujirudi.
 
Kuna jamaa angu baada ya kugundua umalaya wa mkewe na watoto bado walikua wanahitaji malezi ya Mama, alichamua alitafuta chumba binafsi mbali kidogo na maeneo anayoishi akanunu kitanda na godoro akitoka kwenye mihangaiko muda mwingi akawa anaenda kupumzika huko
Wanaume tunapitia mengi sana.
Ukiwa na roho ndogo una commit suicide au unafanya murder.
 
Nadhani huumpi muda wa kutosha Mke wako,kumdekeza kumsikiliza na kutoka nae mara chache bali uko busy tu na biashara. Futeni yaliyopita. Anzeni upya mna familia.
Kama kisa hiki ni kweli, then mwnamke huyo ni wa hovyo. Wewe usipopata muda na mwenza wako unahalalisha kutembea uchi kama huyo mwananke?
 
Duuh hatari....

Sasa mkuu watoto ndo kitu cha kuwazia apo, wakati wewe ndo baba (king maker) unatoa matumizi.

Wanawake wapo wengi sanaa mkuu..... Hyo ni Malaya iliyokubuhu.
Kwa umri wake alioutaja na uhakika ni eidha huyu ana umri wa mama yako au baba yako.

Hizi mada kaa nazo mbali binamu
 
Kwa wanajamii wote wa hii platform, binafsi nimekuwa nikiingia na kusoma threads mbalimbali zinazofikishwa kwenye hili jukwaa. Kwa kifupi sikuwa active member mpaka nilipoamua kujiunga rasmi kwa siku hii ya leo.

Binafsi ni mtu wa makamo, almost 54 years and above, ni mwenyeji wa kusini ila kutokana na changamoto za hapa na pale nikajikuta nimehamishia makazi maeneo ya Musoma. Hiyo sasa ni tangu 2006.

Mnamo mwaka 2007 nikawa nimeingia mahusiano na binti mmoja wa Kijita ambapo baada ya kukamilisha taratibu nyingine tukaridhia kuishi pamoja kama mke na mme.

Tabia za kifuska za mke wangu:

Tukio la kwanza lilikuwa ni siku moja nimemuaga kwamba nafikia Mwigobero kwa ajili ya issue za dagaa (huwa nafanya biashara mchanganyiko, nafaka na samaki kutegemea upepo). Sasa wakati nipo njiani nikakumbuka kuna kitu nimemsahau ndani. Wakati narudi nikasikia sauti kwa ndani anaongea na simu, "Mi nipo off labda wewe." Alistuka sana maana wakati anaongea naye alikuwa anatoka ndani kunichungulia mlangoni kama nimefika mbali. Sasa hakutegemea kuniona nimerudia ghafla! Nikamuuliza akawa anajibu kwa majibu mepesi mepesi. Nikawa nimempotezea.

Maisha yakaendelea. Kuna siku akaniomba ruhusa akamsalimie dada ake mmoja anayeishi Bunda, sehemu moja inaitwa Kibara. Huyo dada alikuwa mgonjwa nikawa nimemruhusu. Tatizo likawa kila nikipiga simu nyakati za usiku imezimwa, nikimpigia kupitia simu ya dada yake, dada yake anajibu, keshalala. Baadaye nilikuja kupata taarifa huwa kuna dogo mmoja alikuwa anafika pale wanaondoka wote, yule dogo alikuwa anaagizwa na jamaa mmoja. (Nisisitize hapa mwanamke wa Kijita akikuomba ruhusa mara kwa mara za kusafiri stuka haraka, zuia au muwekee mtego!)

Kuna siku moja asubuhi kawahi kumuamsha mtoto awahi gari la shule (English medium). Sasa wakati anaondoka kasahau simu na bahati mbaya zaidi alikuwa hajaweka password. Nikazama FB Messenger, niliyoyashuhudia ni mengi sana! Kashatembea na vijana watatu lakini pia alikuwa kwenye harakati za kutembea na jamaa mmoja ambaye mimi aliwahi kunitambulisha ni binamu yake! Tena wamepanga kukutania lodge za kule Makutano, kwa wale wenyeji mnaoifahamu barabara ya kutoka Bunda-Musoma then Tarime! Nikawa nimepotezea. Hapa niweke wazi kuhusu kupotezea, kiukweli watoto walikuwa wananipa mawazo sana kuhusu malezi yao, na kuna nyakati tulikuwa tukikwazana anaonyesha sura ya huzuni siku nzima mpaka watoto wanakosa amani.

Kuna siku akakwazana na dada mmoja ambaye alikuwa jirani yetu, yule dada akaanza kuropoka, "Shemeji nisamehe kushiriki uovu. Mkeo ana jamaa fulani anatembea naye hapo Bunda na siku aliyokuaga anaenda harusini, alianzia kwa huyo jamaa ndiyo akaenda." Kumuuliza mwanamke anajiliza liza kwamba anasingiziwa! Ila yule dada alitoa shuhuda nyingi nikabaki kuumia tu moyoni.

Majuzi kaanza tabia ya kujifanya anaangalia vipindi vya TV usiku, pembeni anakuwepo mtoto anamuwekea vipindi vya katuni. Kilichonishangaza ni kuwa anazima TV saa tano, kitu ambacho kwa uchunguzi wangu alikuwa anatumia hilo gap kuchat na wanaume zake. Sasa usiku wa kuamkia leo kwenye mida ya saa nne na nusu nikatoka chumbani fasta na kumyakua simu, kwa kuwa lilikuwa tukio la kustukiza alipigwa na butwaa!

Katika chats za jana mke wangu kapata jamaa mmoja mfanyakazi wa Nyamongo Gold Mining ambaye kulingana na chats zao hawajakutana. Wametumiana picha na jamaa kamuuliza mke wangu kama anavaa shanga, naye kajibu, "Navaa ila awamu hii naomba uninunulie zako." Jamaa kauliza rangi, kajibiwa, "Nyeupe." Walikuwa wamepanga kukutana Jumatano, siku ambayo sitakuwepo! Mpaka sasa tuna mgogoro mzito sana.

Nipo njia panda sana, kumuacha siyo tatizo, nawafikiria watoto wangu tu!

Ushauri:
  • Usioe mwanamke anayetoka familia ambayo mama ndiye msemaji mkuu.
  • Wajita siyo wife materials kabisa, try for your own risk.
  • Mwanamke wa Kijita hushirikiana na mama yake kutafutiwa wanaume na ni wachache sana wasiofanya hivi.

NB:Nimefupisha story kumhusu huyu mwanamke ila yapo mengi hatari zaidi ya kifuska,likiwemo la kutembea na mme wa mtoto wa shangazi yake ambaye ni mwanajeshi.Na alipobanwa kuhusu hili alikataa kata kata ila baadae alikiri na kusema wakati wanakunywa juice alijikuta wapo chumbani lodge washafanya mapenzi,pengine shemeji yake alimuwekea dawa za usingizi! Hapa nimetingwa tu ila nikitulia nitaongezea huu Uzi.Pia Kuna watu mnadai mtu mmoja anahalalishaje wote waonekane wabaya?Ndugu zangu nina mifano mia kidogo kuhusu wanawake wa kabila la kijita,ninawafahamu vizuri nimeishi huku zaidi ya miaka 20.Wanawake wa kijita ni hatari nikipata muda nitawaandalia Uzi wenye mifano mingi
Pole sana
 
Kitu kingine nilichokigundua,japo mtoa mada hujasema inaonekana Kuna gape kubwa sana la umri kati yako na huyo mkeo, kama ni ndivyo basi hilo nalo ni tatizo kubwa. Wewe unawaza maisha mwenzio bado minyege kibao na kwa umri wako huwezi kumkuna kisawa sawa...!! Na wanawake wa kijita wanapenda kukunwa haswa! In short ukioa mwanamke wa kijita ni kama umeoa machine ya kusuguana.
Mwanamke akifikisha miaka 30+ anahitaji kupigwa mboro muda wote, wakati Mwanaume akifikisha miaka 40+ focus yake inahamia kwenye kutafuta pesa na utajiri. Kwa umri wa jamaa wa miaka 50+ kazi anayo huko kanda ya ziwa kwenye samaki ambao wanachochea nyege za kutosha.
 
Kwa umri huo huko ni kusumbuana ... Umri wa kuwaza ya msingi unajikuta unawaza jitu ambalo simu password nyingi kuliko Uchi wake ambao ukiswipe left imo.
 
Wewe jamaa una uvumilivu sana, mimi nilimfatilia wife nikakuta tu anachati sana fala mmoja, nikawaacha ili nijue kilakitu, yaani ni kwamba baada ya kuona mambo kama yamebadilika simu ya wife nilidukua kilakitu anachofanya naona, nilifanya hivi baada ya kuona kama kuna mabadiliko.

nikagundua kuna jamaa halijakataliwa, na halijakubaliwa ila linapewa ushirikiano, Aisee hili kosa dogo nilikuwa naachana na huyu mkewangu tuna miaka saba na watoto wawili, mimi wala sijali kuhusu watoto sababu ntawachukua.

kunasiku yule fala alimtumia wife sms anakuja dukani amuone, mimi nipo home napitia tu vile wanachati, wife yupo dukani huwa anafunga saa tatu akamwambia yule fala aje tu.
Mimi nilikuwa home muda huo naangalia tu vile wanachati, gafla nikapata wivu nikamuambia wife afunge duka immediately nataka aje nyumbani, sikumueleza sababu nikasema "narudia FUNGA DUKA UJE NYUMBANI SAIVI"

wife akamuaga yule fala aliekuwa anaenda dukani akamuambia anafunga anaenda nyumbani "asimtafute na asitume sms mpaka atakapomtafuta" halafu akafunga akaja, mimi sikumuambia chochote, nikafikiria nisiingilie niache jamaa apige halafu nimuache wife yaani tuachane, au nimuache tu hata kabla hule fala hajapiga nikaona hii sio Fair nikaona njia bora nimtumie tu sms yule jamaa nimuambie aachane na wake za watu nimeshajua kilakitu nafatilia moves zake zote. hii sms nilituma muda huohuo nilomuambia wife aje home ili huyu fala ajue mimi najua yaani aunganishe dot, yaana wife kamuambia aende dukani yupo, gafla anaenda nyumbani halafu na sms kutoka kwangu aachane na wake za watu.

nikatuma hiyo sms, kumbuka hapo wife sijamuambia chochote tunaishi tu fresh kama hakijatokea kitu, kilichonishangaza lile jamaa halikumuambia wife chochote kwamba nimelitumia sms najua kilakitu, mimi nilitaka lile fala limuambie wife halafu wife ndo ajue kuwa najua kilakitu aijichekeche halafu ataacha mwenyewe na hilo swala hatuta kaa kulijadili labda, yeye mwenyewe ajishtukie aombe msamaha ili nimuulize nikusamehe nini?

nilivyoona lile fala halimwambiii wife, na halisemi sababu lingetia kitumbua mchanga, nikaona ngoja niokoe hii ndoa kwa mara ya mwisho, nikakalisha wife kikao kizito, kwanza nikamuambia leo tunakikao kizito kidogo, nimeona tukae leo maana tungeachana bila kikao nikatumia mbinu moja ya mahojiano inaitwa controlled reveal hapa unaelezea scenario ambayo haiwezi kupingwa nikaelezea ile simu nilomuambia afunge gafla nilikuwa najua kuhusu yule mteja aliekuwa anakuja,

hii mbinu inaitwa "shock and bluff", yaani unaelezea kitu unachokijuana hakiwezi kugingwa halafu unauliza ambacho hujui, kisaikolojia yeye atakuwa anajua mimi najua kila kitu hivyo hawezi kudanganya maana akidanganyananaharibu kumbe mimi nimemdukua wiki mbili tu sijui vilivyotokea kabla ya kudukua, hapa nikamuambia sitaki kuelezea vitu ulivyofanya wewe, nataka useme wewe mwenyewe kwa mdomo wako na useme kilakitu hata vile unavyoona sio vya muhimu mimi nimevizingatia.

kabla hajanza nikamuambia, huyo fala nilimtumia sms wiki siku tatu zimepita, nikamuonyesha sms "achana ma wake za watu, nimeshajua moves zako zote" wife akachoka, nikamuambia eleza kila kitu nataka nione kama utamlinda huyu fala wakati yeye hakutaka kukulinda, angekuambia tu kuwa najua kilakitu tusingekuwa na hiki kikao, yeye hakujali kuhusu wewe, yeye anajali atombe basi.

kabla hujaelezea kilakitu, lete simu akaleta, utajielezea ukiwa umeshaachana na huyo fala ila hautamuambia muachane, nikapiga ile namba ya huyo fala nikampa wife karatasi amuulize yule fala swali niloliandika kwenye karatasi na nikamuambia wife ukishauliza hili swali unaweza ukakata simu maana jibu lake ninalo ntakupa ishara ya kukata simu, simu ikaita anapokea nikampa kikaratasi "Mume wangu alikutumia sms uachane na wake za watu, ameshajua kila kitu na anafuatilia moves zako zote, sasa kwa nini hukuniambia mimi ambae nilikiwa sijui chochote, ulikuwa unanitakia nini? au ulikiwa unaitakia nini ndoa yangu?" yule fala alikata tu simu.

Haya eleza kilakitu na usiruke jambo.. hilo swali lilikuwa sio kwaajili ya kujibiwa lilikuwa ni kwaajili ya kukufanya uwe na akili, zamu yako kuanza kuongea eleza kila kitu... wife hakuwa na namna kila kitu alieleza hakujua kama nilikuwa namfanyia controlled reveal,
niliamua kuendelea kuishi na mke wangu sababu tu yule jamaaa alikuwa hajapiga, ila sijamsamehe labda muda miaka ikipita ntamsamehe

Sasa nashangaa nyie mnaopigiwa mnawezaje kuvumilia, mimi ningeandika uzi sema tu ni mvivu kuandika, mpaka leo wife anajua naweza nikafuatilia zaidi ya CIA na nikijua tu amechepuka tunaachana,

Sio kwamba siwezi kupigiwa, naweza kupigiwa vizuri tu ila sipigiwi kifala, mimi kupigiwa ni mpaka wife atumie falsafa moja ya kigaidi ambayo magaidi wakubwa wote waliitumia inasema "If you live in past the future will never find you" yaani mimi kupigiwa labda wife aishi zama za mawe asitumie kabisa tech,

pia mjifunze intelligence, mwanaume ukioa inatakiwa kwanza uive kama jasusi la KGB kipindi cha vita baridi.
Kwa miongo kadhaa ya uzoefu nilionao kwenye ulimwengu wa mahusiano na kupendana...hadi kufikia hapo tayari moyo wako ushautia dosari.....mashaka yako juu ya huyo mwanamke hayatakwisha mpaka unaingia kaburini
 
Natanguliza kuomba radhi kwa wote ambao mtakwazika na haya nitakayoyaandika!!

1)Warangi
2)Wanyaturu
3) Wanyiramba
4)Wakerewe
5)Wangoni
6)Wambulu
7)Wa Iraq
8)Wapare
9)Wahaya
Chimbuko la umalaya kwa haya makabila maarufu kwa mambo ya umalaya linaanzia kwenye ngazi ya familia na jamii zao nzima kwa ujumla wake!!!

Kwa bahati nzuri nimewahi kuishi na jamii hizo katika vipindi tofauti tofauti na nikajaribu kuangalia kwanini jamii hizo zinasifika kwa umalaya au ngono.....

Nikaja nikagundua kuwa kwanza jamii zao halioni kuwa hilo ni tatizo yaani wanalichukulia jambo la kawaida na stori za mke wa mtu kufanya umalaya au mtu kulala au kuzaa na shemeji yake au hata mwanaye wa kumzaa zinazungumzwa sio kama breaking news zinazungumzwa kama story za Simba na Yanga tu!!!

Yaani kwenye jamii hizo nimeshuhudia au unaweza kushuhudia mtu kalala na mke wa mwenzie alafu wapo kijiweni wanacheza draft huku wameshafumaniana........

Kwenye jamii hizo mtu kulala na shemeji yake sio story ya kuwekeana vikao ni jambo la kawaida ambalo watu husameheana juu kwa juu tu!!!!

Pia hawana adabu baina ya wao kwa wao yaani sio ajabu kukuta Kaka na dada wakitaniana kwa kutekenyana au kushikana maziwa au sehemu nyeti.....sio ajabu kukuta babu anamtania mjukuu wake wa kike kwa kumshika maziwa au makalio na mjukuu anacheka tu....ni mambo ya kushangaza sana......

Sasa unaweza ukaona mtu aliotokea kwenye jamii hiyo akija kuishi kwenye jamii ya watu waliolelewa kwenye mitazamo tofauti tofauti na wao.....

Kule kwa Wanyaturu, Wanyiramba, Warangi na wangoni kesi za mtu kuzaa na kutembea na shemeji yake au hata mtoto wake ni nyingi sana kiasi kwamba ni za kawaida!!!

Sio kwamba jamii zingine ni safi juu ya uchafu huo la hasha bali nilichogundua ni kwamba jamii zingine zina haya juu ya jambo hilo....mtu hata kama anateleza kibinadamu lakini bado uso wake una haya na anajitahidi kuweka pazia......

Na inaweza kutokea lakini unaweza usijue kabisa kwa kuwa jamii bado zina adabu juu ya jambo hilo....

NB
Ukitaka kuoa jaribu kwanza kuchunguza jamii unayotaka kuoa..... mnaweza kuwa mnatofautiana mitazamo.....
 
Kwa umri wako wa 54 yrs unahitaji sana amani kuliko kitu kingine chochote. Hao watoto watakuwa tu, assume wewe ukifa leo kwa pressure na kisukari au ukipandwa na hasira ukajikuta umemdhuru huyo mwanamke maana utaenda gerezani. Je hao watoto wataishi vipi. Ukiwa na amani na afya ya akili timamu watoto wako wataendelea kuwa salama na wewe ukiwahudumia vizuri tu. Piga chini hiyo malaya ya kijita.
Nyumbani ni Mara, ila siwezi oa mwanamke wa Mara labda awe ni mkurya kutoka Tarime.
Asante umekuwa muwazi sana... Wengine wanaongozwa na hasira.... Kila ukanda kuna kabila lina hizi mambo. Ni vema kuuliza na kutafiti kabla hujafanya maamuzi ya mtu wa kuishi nae hii ni kwa jinsia zote....
 
Kwa wanajamii wote wa hii platform, binafsi nimekuwa nikiingia na kusoma threads mbalimbali zinazofikishwa kwenye hili jukwaa. Kwa kifupi sikuwa active member mpaka nilipoamua kujiunga rasmi kwa siku hii ya leo.

Binafsi ni mtu wa makamo, almost 54 years and above, ni mwenyeji wa kusini ila kutokana na changamoto za hapa na pale nikajikuta nimehamishia makazi maeneo ya Musoma. Hiyo sasa ni tangu 2006.

Mnamo mwaka 2007 nikawa nimeingia mahusiano na binti mmoja wa Kijita ambapo baada ya kukamilisha taratibu nyingine tukaridhia kuishi pamoja kama mke na mme.

Tabia za kifuska za mke wangu:

Tukio la kwanza lilikuwa ni siku moja nimemuaga kwamba nafikia Mwigobero kwa ajili ya issue za dagaa (huwa nafanya biashara mchanganyiko, nafaka na samaki kutegemea upepo). Sasa wakati nipo njiani nikakumbuka kuna kitu nimemsahau ndani. Wakati narudi nikasikia sauti kwa ndani anaongea na simu, "Mi nipo off labda wewe." Alistuka sana maana wakati anaongea naye alikuwa anatoka ndani kunichungulia mlangoni kama nimefika mbali. Sasa hakutegemea kuniona nimerudia ghafla! Nikamuuliza akawa anajibu kwa majibu mepesi mepesi. Nikawa nimempotezea.

Maisha yakaendelea. Kuna siku akaniomba ruhusa akamsalimie dada ake mmoja anayeishi Bunda, sehemu moja inaitwa Kibara. Huyo dada alikuwa mgonjwa nikawa nimemruhusu. Tatizo likawa kila nikipiga simu nyakati za usiku imezimwa, nikimpigia kupitia simu ya dada yake, dada yake anajibu, keshalala. Baadaye nilikuja kupata taarifa huwa kuna dogo mmoja alikuwa anafika pale wanaondoka wote, yule dogo alikuwa anaagizwa na jamaa mmoja. (Nisisitize hapa mwanamke wa Kijita akikuomba ruhusa mara kwa mara za kusafiri stuka haraka, zuia au muwekee mtego!)

Kuna siku moja asubuhi kawahi kumuamsha mtoto awahi gari la shule (English medium). Sasa wakati anaondoka kasahau simu na bahati mbaya zaidi alikuwa hajaweka password. Nikazama FB Messenger, niliyoyashuhudia ni mengi sana! Kashatembea na vijana watatu lakini pia alikuwa kwenye harakati za kutembea na jamaa mmoja ambaye mimi aliwahi kunitambulisha ni binamu yake! Tena wamepanga kukutania lodge za kule Makutano, kwa wale wenyeji mnaoifahamu barabara ya kutoka Bunda-Musoma then Tarime! Nikawa nimepotezea. Hapa niweke wazi kuhusu kupotezea, kiukweli watoto walikuwa wananipa mawazo sana kuhusu malezi yao, na kuna nyakati tulikuwa tukikwazana anaonyesha sura ya huzuni siku nzima mpaka watoto wanakosa amani.

Kuna siku akakwazana na dada mmoja ambaye alikuwa jirani yetu, yule dada akaanza kuropoka, "Shemeji nisamehe kushiriki uovu. Mkeo ana jamaa fulani anatembea naye hapo Bunda na siku aliyokuaga anaenda harusini, alianzia kwa huyo jamaa ndiyo akaenda." Kumuuliza mwanamke anajiliza liza kwamba anasingiziwa! Ila yule dada alitoa shuhuda nyingi nikabaki kuumia tu moyoni.

Majuzi kaanza tabia ya kujifanya anaangalia vipindi vya TV usiku, pembeni anakuwepo mtoto anamuwekea vipindi vya katuni. Kilichonishangaza ni kuwa anazima TV saa tano, kitu ambacho kwa uchunguzi wangu alikuwa anatumia hilo gap kuchat na wanaume zake. Sasa usiku wa kuamkia leo kwenye mida ya saa nne na nusu nikatoka chumbani fasta na kumyakua simu, kwa kuwa lilikuwa tukio la kustukiza alipigwa na butwaa!

Katika chats za jana mke wangu kapata jamaa mmoja mfanyakazi wa Nyamongo Gold Mining ambaye kulingana na chats zao hawajakutana. Wametumiana picha na jamaa kamuuliza mke wangu kama anavaa shanga, naye kajibu, "Navaa ila awamu hii naomba uninunulie zako." Jamaa kauliza rangi, kajibiwa, "Nyeupe." Walikuwa wamepanga kukutana Jumatano, siku ambayo sitakuwepo! Mpaka sasa tuna mgogoro mzito sana.

Nipo njia panda sana, kumuacha siyo tatizo, nawafikiria watoto wangu tu!

Ushauri:
  • Usioe mwanamke anayetoka familia ambayo mama ndiye msemaji mkuu.
  • Wajita siyo wife materials kabisa, try for your own risk.
  • Mwanamke wa Kijita hushirikiana na mama yake kutafutiwa wanaume na ni wachache sana wasiofanya hivi.

NB:Nimefupisha story kumhusu huyu mwanamke ila yapo mengi hatari zaidi ya kifuska,likiwemo la kutembea na mme wa mtoto wa shangazi yake ambaye ni mwanajeshi.Na alipobanwa kuhusu hili alikataa kata kata ila baadae alikiri na kusema wakati wanakunywa juice alijikuta wapo chumbani lodge washafanya mapenzi,pengine shemeji yake alimuwekea dawa za usingizi! Hapa nimetingwa tu ila nikitulia nitaongezea huu Uzi.Pia Kuna watu mnadai mtu mmoja anahalalishaje wote waonekane wabaya?Ndugu zangu nina mifano mia kidogo kuhusu wanawake wa kabila la kijita,ninawafahamu vizuri nimeishi huku zaidi ya miaka 20.Wanawake wa kijita ni hatari nikipata muda nitawaandalia Uzi wenye mifano mingi
Kuna Jamaa yangu alioa mtoto kijita Sasa ivi kaachiwa watoto mwanamke kaliwa mpaka kaamua kukimbia arabuni kusuguliwa kinyeo
 
Back
Top Bottom