Afcon kinanuka
JF-Expert Member
- Apr 5, 2026
- 1,623
- 4,213
Kama siyo hadithi basi huyo mwanamke mpige makofi ya kutosha na baadae umfukuze.
Ila wajita, wakerewe, wakala na wale wenyeji wa musoma mjini wanaitwa wakwaya.Mtamaliza makabila yote sasa,mi nadhani Kama mtu hutaki kuoa tulia tu uache ujuaji,na Kama kimekuramba kwa ndoa usisambaze sumu
Chief kama hujaoa ruksa kunitupia mawe.Ila kama umeoa Muombe sana Mungu,tofauti na hapo weka akiba ya maneno.wewe ni zuzu, kama vipi hao wanaume wakukule na wewe
At least wanyakyusa tumeonekana tuna uhafadhali mweeIla wajita, wakerewe, wakala na wale wenyeji wa musoma mjini wanaitwa wakwaya.
Kaa mbqli nao, bora Mnyakyusa zitapigwa ngumi na akikubali atakuita baba Kila sehemu
Uzuri umri ni namba tu mkuu.....usiogope kutoa ushauri, watu uzeeka na ujinga waoKwa umri wake alioutaja na uhakika ni eidha huyu ana umri wa mama yako au baba yako.
Hizi mada kaa nazo mbali binamu
Natafuta ajira hizi nyuzi za namna hii anazipenda sana.. Akiuona huu uzi atakamia utafikiri Cristiano Ronaldo anapiga penalty.
Oya huyu ni mimi nitakupa ABC zingineKuna jamaa mmoja alinichekesha sana, kuna uzi mmoja mwaka juzi hapa jukwaani Wana Jf walikua wana-share visa vya mapenzi walivyowahi kukumbana navyo kwenye maisha yao... Jamaa alifunguka...
"Nilioa Mwanamke, mwanzoni tulipendana sana. Baada ya miaka kama mitatu akaanza visa. Mara aanzishe ugomvi bila sababu, mara anitukane from no where. Ilifika kipindi mara hataki kupika, mara nyingine alikua anaondoka nyumbani anaenda kulala nje bila sababu yoyote... Kuna kipindi alikua ananitolea maneno machafu ananiambia tuachane, nilimvumilia sana ikafika kipindi nilichoka... "
"Siku moja niliamka asubuhi najiandaa kwenda kazini, ghafla mtu amenuna ananiambia tuachane anataka arudi kwao... Aisee nilishikwa na hasira.. Sikumjibu, niliingia ndani kwa hasira nikakusanya nguo zake zote nikaweka kwenye begi lake,, nikabeba begi nikamfuata nikamshikisha nauli mkononi kwa nguvu... Nikabeba begi mkononi, nikamshika mkono kwa nguvu nikamtoa nje na nikamsindikiza stand bila kumsemesha chochote.. Nikamshika mkono mpaka akaenda kwenye basi akakaa kwenye seat.. Nikaondoka bila kusemesha chochote... Ni miaka kumi imepita sijawahi kuwasiliana nae na sitaki hata kumsikia.."
Wambulu ni malaya by professional.. halafu ni wazuri kinoma... Hao wajita kuja kufika level ya wambulu wana vitu vingi sana vya kujifunza... Bar nyingi kwenye miji mikubwa kama Arusha, Dar asilimia kubwa ni Wambulu... Nenda kwenye viwanja vya malaya sijui Buguruni, Sinza, Kwa Mrina ni Wambulu mwanzo mwisho... Ukiona mwanamke Mzuri sana pia mweupe anauza bar/anauza mwili huyo asilimia 98 ni Mbulu au Mrangi..Kumbe Wambulu sio kabisa😅😅
Ukiishi Arusha utawajua vizuri Wairaq, wanyaturu, warangi... Malaya balaa, na ndo makabila yanayoongoza kwa uzuri Tanzania... ni wazuri sana na ni weupe, kwa hivyo vigezo inafanya wafanye umalaya smoothlyBahati mbaya wanyaturu na wairaq nawaona hapa Dsm, sijawahi kufika mikoa yao ya asili.
Kufanya umalaya smoothly ndio kupoje kama mkubwa?Ukiishi Arusha utawajua vizuri Wairaq, wanyaturu, warangi... Malaya balaa, na ndo makabila yanayoongoza kwa uzuri Tanzania... ni wazuri sana na ni weupe, kwa hivyo vigezo inafanya wafanye umalaya smoothly
Namaanisha mwanamke akiwa mrembo atakua successful kwenye umalaya compered akiwa na sura mbovu..Kufanya umalaya smoothly ndio kupoje kama mkubwa?
Nilishawahi ku date mnyaturu, akaishia kugawa utamu kwa wengine, tukaachana. Baada ya miaka kadhaa baadae akaanza tena kunitafuta wakati akiwa wa mtu
Mkuu kwa namna gani kumuacha haitasaidia?Pole,
Kwanza kwa Umri huo wa 54 years na mke 41 years ni mzuri na umesaidia sana kwa uhusiano wenue kudumu vinginevyo....
Pili sijajua sana kuhusa Mahusiano yenu na Mkeo ila ninachofahamu tu ni kwamba Wanawake ni viumbe wa ajabu sana.Kumuacha haitasaidia,kumuolea mwingine nayo haitasaidia ila inabidi uutazame usalama wako maana mnakoelekea ni kwa moto.
Sawa sawaNamaanisha mwanamke akiwa mrembo atakua successful kwenye umalaya compered akiwa na sura mbovu..
Kwa Mrina ni wapi Mkuu?Wambulu ni malaya by professional.. halafu ni wazuri kinoma... Hao wajita kuja kufika level ya wambulu wana vitu vingi sana vya kujifunza... Bar nyingi kwenye miji mikubwa kama Arusha, Dar asilimia kubwa ni Wambulu... Nenda kwenye viwanja vya malaya sijui Buguruni, Sinza, Kwa Mrina ni Wambulu mwanzo mwisho... Ukiona mwanamke Mzuri sana pia mweupe anauza bar/anauza mwili huyo asilimia 98 ni Mbulu au Mrangi..