Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,495
- 185,562
Mapema sana achukue muda wafamihiane vizuri!
Mapema sana achukue muda wafamihiane vizuri!
Na mie naomba namba yake, ligi nzuri ni yenye team za ushindani nyingiIPO hivi Kuna Binti nkutana nae kwenye gari muda natoka job sasa the way alivo alinivutia sana mwamba sikusita nikaomba namba nikampanga freshi.
Kilicho nishangaza hakuonesha dalili za kutaka kukataa labda kama nilivozoea Yani tayari tumeshazoeana mpaka sasa anakuja mpaka getto kupika.
Mimi huyu naoa liwalo na liwe najua hatujazoeana sana lakini tutazoeana ndani humo humo
Anafanya majaribio kwenye ndoa hajui wenzake wametangulizwa kibra kabisaLiwalo na liwe eh
Mjinga sana wewe,ndoa sio swala la kujizima dawa au kujitoa ufaham et liwalo na liwe,kisa amekuja kukupikia?
Acha ujinga utakuja uamke asubuh umebak na pumbu tu,watabeba mpaka ndala..
Et ndoa ndoa kwenye daladala
OkIPO hivi Kuna Binti nkutana nae kwenye gari muda natoka job sasa the way alivo alinivutia sana mwamba sikusita nikaomba namba nikampanga freshi.
Kilicho nishangaza hakuonesha dalili za kutaka kukataa labda kama nilivozoea Yani tayari tumeshazoeana mpaka sasa anakuja mpaka getto kupika.
Mimi huyu naoa liwalo na liwe najua hatujazoeana sana lakini tutazoeana ndani humo humo
unatufokea? sasa nani amekufunga mikono usimuoe? its up to youIPO hivi Kuna Binti nkutana nae kwenye gari muda natoka job sasa the way alivo alinivutia sana mwamba sikusita nikaomba namba nikampanga freshi.