PoleIPO hivi Kuna Binti nkutana nae kwenye gari muda natoka job sasa the way alivo alinivutia sana mwamba sikusita nikaomba namba nikampanga freshi.
Kilicho nishangaza hakuonesha dalili za kutaka kukataa labda kama nilivozoea Yani tayari tumeshazoeana mpaka sasa anakuja mpaka getto kupika.
Mimi huyu naoa liwalo na liwe najua hatujazoeana sana lakini tutazoeana ndani humo humo
Urembo sio tiketi ya kuolewa,Muda wote kwa nini hakuolewa kama ni mrembo sana.
Kila la kheri.IPO hivi Kuna Binti nkutana nae kwenye gari muda natoka job sasa the way alivo alinivutia sana mwamba sikusita nikaomba namba nikampanga freshi.
Kilicho nishangaza hakuonesha dalili za kutaka kukataa labda kama nilivozoea Yani tayari tumeshazoeana mpaka sasa anakuja mpaka getto kupika.
Mimi huyu naoa liwalo na liwe najua hatujazoeana sana lakini tutazoeana ndani humo humo
Kilicho nishangaza hakuonesha dalili za kutaka kukataa labda kama nilivozoea Yani tayari tumeshazoeana mpaka sasa anakuja mpaka getto kupika.
Urembo sio tiketi ya kuolewa,
Kwani warembo wote wameolewa?
Na wasio warembo wote hawajaolewa?
Maisha hayapo hivyo.
Liwalo na liwe eh
Mjinga sana wewe,ndoa sio swala la kujizima dawa au kujitoa ufaham et liwalo na liwe,kisa amekuja kukupikia?
Acha ujinga utakuja uamke asubuh umebak na pumbu tu,watabeba mpaka ndala..
Et ndoa ndoa kwenye daladala
Aaaah! naona unanipanga tu sio?Unakuaga na akili za ki-platinum ujue π
Maelezo machache yaliyonyooka
majuto ni mjukuuIPO hivi Kuna Binti nkutana nae kwenye gari muda natoka job sasa the way alivo alinivutia sana mwamba sikusita nikaomba namba nikampanga freshi.
Kilicho nishangaza hakuonesha dalili za kutaka kukataa labda kama nilivozoea Yani tayari tumeshazoeana mpaka sasa anakuja mpaka getto kupika.
Mimi huyu naoa liwalo na liwe najua hatujazoeana sana lakini tutazoeana ndani humo humo
Aaaah! naona unanipanga tu sio?
Mbona mimi najijua mwenyewe kua ni kichaa kichaa fulani tu?
ShesRise_1
JF mimi hua nampokea mtu kama atakavyo kuja,hua sina diplomatic language hasa kwa hawa wanaokejeli Imani za wenzao,siwezi kuruhusu dharau ya aina yeyote ile dhidi yangu au dhidi ya imani yangu,Ukichaa ni kweli unao bila ubishi,ambao obvious ndo umekutawala π€£
Hapa labda hua naiga akili zako tu mkuu.Lakini kuna muda u-uplatinum unakuja kuja kama hivi π
JF mimi hua nampokea mtu kama atakavyo kuja,huna sina diplomatic language hasa kwa hawa wanaokejeli Imani za wenzao,siwezi kuruhusu dharau ya aina yeyote ile dhidi yangu au dhidi ya imani yangu,
Hapa labda hua naiga akili zako tu mkuu.