Huyu Binti naoa wiki hii hii sitaki nimeshindwa vumilia

Na mie naomba namba yake, ligi nzuri ni yenye team za ushindani nyingi
 
Liwalo na liwe eh
Mjinga sana wewe,ndoa sio swala la kujizima dawa au kujitoa ufaham et liwalo na liwe,kisa amekuja kukupikia?

Acha ujinga utakuja uamke asubuh umebak na pumbu tu,watabeba mpaka ndala..
Et ndoa ndoa kwenye daladala
Anafanya majaribio kwenye ndoa hajui wenzake wametangulizwa kibra kabisa
 
Ok
 
unatufokea? sasa nani amekufunga mikono usimuoe? its up to you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…