Huyu CEO wa simba hana uwezo wowote, naomba ajiondoe mapema before too late

Huyu CEO wa simba hana uwezo wowote, naomba ajiondoe mapema before too late

nkuwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2013
Posts
4,988
Reaction score
5,653
Habari za jioni wanasimba, naomba niingie moja kwa moja kwenye hoja.
Huyu bi dada zubeda shakuru tangu ameingia simba kuna lolote positive ameleta?? mbona timu inazidi kuzama?.

nafikiri ajiondoe kabla hajatolewa kwa nguvu kwenye hiyo nafasi, amepelea hana uwezo, hajiwezi.

simba inahitaji mapinduzi, uongozi uliopo leo wote usukumwe nje kwa lazima.

genzii wa simba mpo wapi?? njoooni tuokoe timu yetu, kuna watu kabla ya kuwatoa lazima tuwale makofi na mitama juu kwanza.
 
Hicho cheo Cha CEO kipo Kwa sababu ya Sheria za caf na tff lakini kwenye utendaji zubeda hamna kitu Hana sauti Wala mamlaka.unamuonea bure.yeye ana shughulika na mambo ya kiofisi zaidi
sasa mwambie ajitoe mapema kabla hatujaja kumtomber kwa nguvu hapo clubuni, hatuna uvumilivu tena, walikuwepo akina babra, senzo, hata yule banker alikuwa anaitwa nani sijui nimesahau jina lake, walifanya vizuri sana, huyu hana uwezo kabsa
 
Wewe una lako jambo.
Labda tuseme aondoke Mo.nitakuunga mkono
 
Mabosi kibao ndio tatizo la kolo, hata hamjui mumtumpie zigo la nnya nani.

Mara Mo, Mangungu, Try Again, Matola, semaji la caf gawa utamu, saivi wewe unaruka na CEO tena.
 
Ivi unategemea ZUBEDA aingie uwanjani acheze? una wachezaji kama Mutale,sowah,nk unategemea timu ipate matokeo mazuri? wewe mleta mada ni m.a.t.r.a.k.o yako.
 
Back
Top Bottom