Huyu CEO wa simba hana uwezo wowote, naomba ajiondoe mapema before too late

Habari za jioni wanasimba, naomba niingie moja kwa moja kwenye hoja.
Huyu bi dada zubeda shakuru tangu ameingia simba kuna lolote positive ameleta?? mbona timu inazidi kuzama?.

nafikiri ajiondoe kabla hajatolewa kwa nguvu kwenye hiyo nafasi, amepelea hana uwezo, hajiwezi.

simba inahitaji mapinduzi, uongozi uliopo leo wote usukumwe nje kwa lazima.

genzii wa simba mpo wapi?? njoooni tuokoe timu yetu, kuna watu kabla ya kuwatoa lazima tuwale makofi na mitama juu kwanza.
kwani unataka yeye acheze.?
 
Ana lips 💋 nzuri Zube
 
Mangungu huyo dada mnayemuita CEO bado hajatoka hapo kwq ofisi?? hebu tuondolee hiyo takataka kabla hatujaja hapo msimbazi
 
Hicho cheo Cha CEO kipo Kwa sababu ya Sheria za caf na tff lakini kwenye utendaji zubeda hamna kitu Hana sauti Wala mamlaka.unamuonea bure.yeye ana shughulika na mambo ya kiofisi zaidi
Mbona Senzo alikua active?
 
Tena mimi nilimpa kazi ya Kuhakikisha simba Inampata Morice chuku hadi leo ameshindwa.

Na timu inayumba sana
 
Habari za jioni wanasimba, naomba niingie moja kwa moja kwenye hoja.
Huyu bi dada zubeda shakuru tangu ameingia simba kuna lolote positive ameleta?? mbona timu inazidi kuzama?.

nafikiri ajiondoe kabla hajatolewa kwa nguvu kwenye hiyo nafasi, amepelea hana uwezo, hajiwezi.

simba inahitaji mapinduzi, uongozi uliopo leo wote usukumwe nje kwa lazima.

genzii wa simba mpo wapi?? njoooni tuokoe timu yetu, kuna watu kabla ya kuwatoa lazima tuwale makofi na mitama juu kwanza.
CEO anafanya nini kwenye timu inayoendeshwa kiloko.
 
Back
Top Bottom