fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
kwani unataka yeye acheze.?Habari za jioni wanasimba, naomba niingie moja kwa moja kwenye hoja.
Huyu bi dada zubeda shakuru tangu ameingia simba kuna lolote positive ameleta?? mbona timu inazidi kuzama?.
nafikiri ajiondoe kabla hajatolewa kwa nguvu kwenye hiyo nafasi, amepelea hana uwezo, hajiwezi.
simba inahitaji mapinduzi, uongozi uliopo leo wote usukumwe nje kwa lazima.
genzii wa simba mpo wapi?? njoooni tuokoe timu yetu, kuna watu kabla ya kuwatoa lazima tuwale makofi na mitama juu kwanza.
Ana lips 💋 nzuri ZubeHabari za jioni wanasimba, naomba niingie moja kwa moja kwenye hoja.
Huyu bi dada zubeda shakuru tangu ameingia simba kuna lolote positive ameleta?? mbona timu inazidi kuzama?.
nafikiri ajiondoe kabla hajatolewa kwa nguvu kwenye hiyo nafasi, amepelea hana uwezo, hajiwezi.
simba inahitaji mapinduzi, uongozi uliopo leo wote usukumwe nje kwa lazima.
genzii wa simba mpo wapi?? njoooni tuokoe timu yetu, kuna watu kabla ya kuwatoa lazima tuwale makofi na mitama juu kwanza.
Hahaaau maema maana sio kwq kumpanga kila mechi na hamna kitu qna_offer
Mbona Senzo alikua active?Hicho cheo Cha CEO kipo Kwa sababu ya Sheria za caf na tff lakini kwenye utendaji zubeda hamna kitu Hana sauti Wala mamlaka.unamuonea bure.yeye ana shughulika na mambo ya kiofisi zaidi
Kwenye nini alikuwa active.Mbona Senzo alikua active?
Alifanya sajiri za kina Miqsone, Chama, Bwalya. Kuna namna flani Senzo alifanya kitu SimbaKwenye nini alikuwa active.
Senzo alifanya maamuzi gani kama CEO ya uwanjani?
CEO anafanya nini kwenye timu inayoendeshwa kiloko.Habari za jioni wanasimba, naomba niingie moja kwa moja kwenye hoja.