Huyu dada anayejiuza barabarani nilimwonea huruma sana

Huyu dada anayejiuza barabarani nilimwonea huruma sana

Kwanza nianze kusema kuwa kwenye tasnia ya kununua makahaba nina uzoefu wa miaka 7+ ila nlichokiona kwa huyu dada Juzi kilinipa huzuni rohoni..

Juzi kati nlifika maeneo ya wadada wanaojiuza barabarani, kwenda kusuuza rungu, nkamchukua mdada mmoja tumefika chumbani, tukafanya yetu tukamaliza, nikamlipa, kiukweli huyo mdada alini-treat vizuri tu, baada ya tendo, nilimwangalia machoni ili nisome body language yake, nilimwona ana maumivu makali rohoni Yanayosababishwa na kazi yake ya kujiuza, ambayo anayaficha nisiyajue, kitu ambacho sikuwahi kukiona kwa kahaba yoyote hapo kabla, aisee nilimwonea huruma huyo mdada nikasema hii dunia dah😭😥
Kila unachokifanya kinarudi kwa watoto mkuu. Wasamehe wanao
 
Kuna mdada flan mitaa karibia na home alikua anauza miwa kiafya hakua vzr sana binafsi sikujua shida ni nn wengn wanasema cancer wengn gridi ya taifa nkawa namuonea huruma maana Yale mazingira hayakua rafiki kwake nkamuuliza una shida ya sh ngp ili utulie ukapumzike akanambia 50K nikajitosa nikampa 70K na ile miwa nikanunua yote nikawapa majamaa zangu naochezaga nao mpira & pool table.

Siku ya pili akanunua miwa tena akatafuta location ambayo siwezi muona🤣🤣
Aiseee...!! Kwanza hongera kwa msaada, naamini Mungu atakuwa ameshakurudishia ulipopunguza. Pili, huyo mdada, anautumia muonekano wake kupata misaada. Kikubwa wewe umefanya sehemu yako, mengine muachie yeye mwenyewe.
 
Mi nilidhani baada ya hapo ukamuhoji, ukajua shida ni nini na ukamsaidia kumfanya aachane na kujiuza..!! Kumbe umeishia kumuonea huruma bila kumtatulia shida yake..!!
Kwanza nianze kusema kuwa kwenye tasnia ya kununua makahaba nina uzoefu wa miaka 7+ ila nlichokiona kwa huyu dada Juzi kilinipa huzuni rohoni..

Juzi kati nlifika maeneo ya wadada wanaojiuza barabarani, kwenda kusuuza rungu, nkamchukua mdada mmoja tumefika chumbani, tukafanya yetu tukamaliza, nikamlipa, kiukweli huyo mdada alini-treat vizuri tu, baada ya tendo, nilimwangalia machoni ili nisome body language yake, nilimwona ana maumivu makali rohoni Yanayosababishwa na kazi yake ya kujiuza, ambayo anayaficha nisiyajue, kitu ambacho sikuwahi kukiona kwa kahaba yoyote hapo kabla, aisee nilimwonea huruma huyo mdada nikasema hii dunia dah[emoji24][emoji26]
Ulimlipa bei gani boss?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Indirect ni ile mnakutana na kumaliza shida zenu, unamuachia 50k ya asante.

Binafsi 30k hadi 50k ya kifuta jasho inatosha kabisa kwa huduma ya indirect prostitution(buying/selling).
Wewe unanifaa kabsa emb nitaftutee tuftane jasho tule na tuinjoi life hahahhahaha
 
Hata mm binafsi kwa kweli sipendi tabia yangu ya kununua malaya, ila nifanyaje ungekuwa mwanaume huenda ungenielewa sababu zinazofanya ninunue malaya ni hizi:

1)Wanawake wengi sahivi ni pesa mbele, ukitongoza leo kesho unaombwa hela, yani kwa kifupi kupendewa hela kunauma, na kumiliki girlfriend ni very expensive, na huu uchumi wetu wa kubangaiza, kwanza ukiwa mwanaume mwenye mwonekano wa kawaida Kama sisi, jua kwamba 95% ya wanawake wanakuona kama pochi inayotembea, hawajali lolote kuhusu wewe, hawavutiwi na wewe, wanaangalia watafaidika vipi kipesa toka kwako..

2)Ninavyoona Hamna tofauti kati ya kununua malaya wanaojiuza barabarani, na ku-date mdada anaekupendea hela, coz wote wanachoangalia ni pesa yako tu na hawana hisia na wewe, kuna wanaume hawanunui malaya barabarani ila kwenye mahusiano wanachunwa balaa/wanapendewa hela, wakifilisika na wake zao/wachumba zao wanawakimbia chap..

3) Process ya kumtongoza mwanamke ni headache kwa kweli, wadada wanaleta mind games nyingi, unawekeza muda, hisia, pesa, na attention halafu mwanaume hupati chochote in return, unamwalika mdada kwenye mgahawa mzuri anasema anakuja halafu haji, yani process ya kutongoza kwa mwanaume ni kama kung'oa jino kwa kweli.. Ironbutterfly
Hii profile ni yako unaesema kutongoza kaz mbn utakua haupo seriously
 
Me nkadhani labda kwakuwa ulimuangalia ukamsoma na kujua kuwa ana matatizo ulitafuta namna ya kumsaidia aondoke kwenye hiyo biashara kumbe ulimuacha aendelee mhmhmhm ushauri mrudie tu muulize kama yuko tayari kutulia kuitunza familia UMUOE alafu mpe kila kitu hawa wadada wanakuwaga na kitu nyuma ya hio biashara sio kwa kupenda kwao MUOE TU
 
Wewe unanifaa kabsa emb nitaftutee tuftane jasho tule na tuinjoi life hahahhahaha
Lete ID yako ya siku zote kwanza mkuu🤣🤣🤣
Halafu sema umri wako chap tuone tunaanzaje!!
 
Daah hii ishu ya kununua malaya ni miaka 6 sasa tangu niache..sijui Mungu alikua ananiepusha na matatizo..yaani malaya hata akivua hapo namwangalia tu..!
 
Back
Top Bottom