Huyu dada anayejiuza barabarani nilimwonea huruma sana

Kila unachokifanya kinarudi kwa watoto mkuu. Wasamehe wanao
 
Aiseee...!! Kwanza hongera kwa msaada, naamini Mungu atakuwa ameshakurudishia ulipopunguza. Pili, huyo mdada, anautumia muonekano wake kupata misaada. Kikubwa wewe umefanya sehemu yako, mengine muachie yeye mwenyewe.
 
Mi nilidhani baada ya hapo ukamuhoji, ukajua shida ni nini na ukamsaidia kumfanya aachane na kujiuza..!! Kumbe umeishia kumuonea huruma bila kumtatulia shida yake..!!
Ulimlipa bei gani boss?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Indirect ni ile mnakutana na kumaliza shida zenu, unamuachia 50k ya asante.

Binafsi 30k hadi 50k ya kifuta jasho inatosha kabisa kwa huduma ya indirect prostitution(buying/selling).
Wewe unanifaa kabsa emb nitaftutee tuftane jasho tule na tuinjoi life hahahhahaha
 
Hii profile ni yako unaesema kutongoza kaz mbn utakua haupo seriously
 
Me nkadhani labda kwakuwa ulimuangalia ukamsoma na kujua kuwa ana matatizo ulitafuta namna ya kumsaidia aondoke kwenye hiyo biashara kumbe ulimuacha aendelee mhmhmhm ushauri mrudie tu muulize kama yuko tayari kutulia kuitunza familia UMUOE alafu mpe kila kitu hawa wadada wanakuwaga na kitu nyuma ya hio biashara sio kwa kupenda kwao MUOE TU
 
Wewe unanifaa kabsa emb nitaftutee tuftane jasho tule na tuinjoi life hahahhahaha
Lete ID yako ya siku zote kwanza mkuu🤣🤣🤣
Halafu sema umri wako chap tuone tunaanzaje!!
 
Daah hii ishu ya kununua malaya ni miaka 6 sasa tangu niache..sijui Mungu alikua ananiepusha na matatizo..yaani malaya hata akivua hapo namwangalia tu..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…