MWAKITEGA ALIKO
Member
- Jan 6, 2014
- 34
- 44
Big failure! inabidi aende akamnunue tena then amhoji kisa na mkasa, baada ya hapo elete mrejesho.Mi nilidhani baada ya hapo ukamuhoji, ukajua shida ni nini na ukamsaidia kumfanya aachane na kujiuza..!! Kumbe umeishia kumuonea huruma bila kumtatulia shida yake..!!
Ungemtafutia japo kibarua mkuu ili ajikwamua aachane na kujiuza, sema mimi bado naamini mtu anaejiuza anapenda sio kwamba analazimika kufanya hivo kwa sababu ya hali ya kimaisha, imagine mwanamke anashindwa kuamka mapema kupika chapati au vitumbua au hata kusaga juisi auze ila anaweza kukesha usiku kuuza uchi, hii ni kujitakia tusitafute visingizio.Kwanza nianze kusema kuwa kwenye tasnia ya kununua makahaba nina uzoefu wa miaka 7+ ila nlichokiona kwa huyu dada Juzi kilinipa huzuni rohoni..
Juzi kati nlifika maeneo ya wadada wanaojiuza barabarani, kwenda kusuuza rungu, nkamchukua mdada mmoja tumefika chumbani, tukafanya yetu tukamaliza, nikamlipa, kiukweli huyo mdada alini-treat vizuri tu, baada ya tendo, nilimwangalia machoni ili nisome body language yake, nilimwona ana maumivu makali rohoni Yanayosababishwa na kazi yake ya kujiuza, ambayo anayaficha nisiyajue, kitu ambacho sikuwahi kukiona kwa kahaba yoyote hapo kabla, aisee nilimwonea huruma huyo mdada nikasema hii dunia dah😭😥
Ajabu sanaKuna wale wanakwambia
Sikua nampenda ila kwa changamoto za maisha yangu ikabidi niwe natembea nae ila kwa kinga
Nabaki hiiiiiih
Mzee hebu tulia kwanza, vijana wasikusikieUliona huruma baada ya kumaliza shida za mwili.
Hata hivyo vijana mnaweza, kununua malaya directly ni ngumu sana, sijui mnawezaje. Hii ya kununua indirect ambayo wengi tunafanya ina afadhali.
KUnguru hafugiki, unaweza mtafutia kibarua lakini ikifika usiku unamkuta eneo la tukio anauza, hawa huwa wanapenda hizo kazi sio kwamba wanafanya kwa sababu ya shidaMi nilidhani baada ya hapo ukamuhoji, ukajua shida ni nini na ukamsaidia kumfanya aachane na kujiuza..!! Kumbe umeishia kumuonea huruma bila kumtatulia shida yake..!!
Hata wew ni mmoja kati ya watu ambao hawatauwona ufalme wa mungu1 Wakorintho 6:
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
Wahuni wote peponi1 Wakorintho 6:
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
Alikupa mbususuMimi nilimlipe kwa sababu gani?
Umechanganya madesa..!! Siyo mimi niliyepewa mbusus kisha nikaona huruma. Ni muanzisha uzi
NkweliNa wapo makini mno.. mie naona wapo salama kuliko hawa omba omba wa mtaani.
Tunaonunua direct kazi yetu ni kubadilisha machimbo tu 😅Uliona huruma baada ya kumaliza shida za mwili.
Hata hivyo vijana mnaweza, kununua malaya directly ni ngumu sana, sijui mnawezaje. Hii ya kununua indirect ambayo wengi tunafanya ina afadhali.
Sijui hata mnawezaje!🤣Tunaonunua direct kazi yetu ni kubadilisha machimbo tu 😅
Mkianzisha uzii mjifikirie Mara mbiliKwanza nianze kusema kuwa kwenye tasnia ya kununua makahaba nina uzoefu wa miaka 7+ ila nlichokiona kwa huyu dada Juzi kilinipa huzuni rohoni..
Juzi kati nlifika maeneo ya wadada wanaojiuza barabarani, kwenda kusuuza rungu, nkamchukua mdada mmoja tumefika chumbani, tukafanya yetu tukamaliza, nikamlipa, kiukweli huyo mdada alini-treat vizuri tu, baada ya tendo, nilimwangalia machoni ili nisome body language yake, nilimwona ana maumivu makali rohoni Yanayosababishwa na kazi yake ya kujiuza, ambayo anayaficha nisiyajue, kitu ambacho sikuwahi kukiona kwa kahaba yoyote hapo kabla, aisee nilimwonea huruma huyo mdada nikasema hii dunia dah😭😥
Raha sana ukifika sokoni unafanya kuangalia yupi amekuvutia unakuwa na option nyingi 🤣Sijui hata mnawezaje!🤣
Akiacha hyo biashara jamaa atapata wp tena bizaa[emoji1787]Mi nilidhani baada ya hapo ukamuhoji, ukajua shida ni nini na ukamsaidia kumfanya aachane na kujiuza..!! Kumbe umeishia kumuonea huruma bila kumtatulia shida yake..!!