Huyu dada anayejiuza barabarani nilimwonea huruma sana

Siku moja nimekwenda lounge moja usiku napata bia mbili tatu akaja mrembo mmoja hasa ,nkamnunulia vinywaji akasema pia hakajula nkaona isiwe kesi nkamnunulia na supu moja ya kuku then baada ya muda akaniambia inakuwaje akanitajia viwango vya showtime na kulala..nkamwambia sitaweza Leo labda siku nyingine ikabidi nimtoe pesa kidogo ya nauli etc nkaondoka.
Next time nkakutana naye akaniomba bia alikuwa amekaa meza nyingine nkamnunulia akaja na siku Ile akaanza kunipa sifa kuwa Mimi ni mtu wa tofauti blabla kibao....ikabidi afunguke maisha yake aiseee..nilimwonea huruma Sana .toka siku hiyo nkaacha kuhukumu watu..maana alinieleza historia yake ya kuanzia alivozalishwa mtoto ,maisha magumu, manyayaso alipokuwa anafaya kazi .etc na hii kazi ya kuja hapo kutafuta wanaume amechoka Sana na Kuna wakati huwa anakaa analia Mungu amtoe hapo alipo..etc.....unaweza ukaona wanalewa, Wana matusi,matapeli, wanatreate watu vibaya lakini ndani Yao Wana maumivi makali sana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ulichokifanya siyo wema. Ungekuwa ni wema usingeenda naye ghetto. Alikukomesha. Safi kwake bibie. Mwanaume unakuwaje fala fala bhana!.
 
Kama ulikuwa hujui, hakuna watu wenye stori za uongo uongo kama malaya.
 
Ila badae ulipiga baada ya story zote hizo.
 
Ulichukua na namba yake au ulimsaidi kivipi baada ya kujutia ulichokifanya?
 
Me kuna mmoja aliishia kuniambia Jamani Kaka mzuri tena ile ya masikitiko kana kwamba kuna kitu anakijua kinachoendelea mbeleni
 
Pengine kungekua na another aption
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…