Huyu dada kanitapeli Tsh. 1,500 siku yangu imeharibika kabisa, sina hata raha

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Huyu dada nilionana naye Hotel Flani Arusha tukawa marafiki. Ana issues nyingi sana sana za kusafiri kwenda Dubai n.k ni lidada hasa la ukweli aisee, toka kanda ya Ziwa huko. tukawa karibu na kadhalika.

Leo asubuhi kaniambia ameishiwa vocha nimtumie some amount nikamwambia nipo ofisini sina kitu kwenye simu. Akaomba hata kiasi chochote nikaangalia nikajikuta nina tsh 1,500 nikamrushia ili ajiunge maana kuna kitu alisema anataka aunge data then anitumie.

Toka saa tatu nimemtumia mpaka sasa hapatikani kwa simu nadhani ametupa na line kabisa maana nimewapigia kwenye mtandao jamaa zangu waniangalizie atakuwa wapi wanasema haiwezekani ku mtrace maana line imeharibiwa kabisa.

Mara ya mwisho alikuwa Zanzibar amabako nilimwacha jana nikaja Dar. Najiuliza huyu dada amewaza nini mpaka kunitapeli. Nimeumia miaka yote sijawahi tapeliwa why now? Je, nimeanza kuwa weak? Au ni nini hiki kitu, siku nzima ya leo sina amani kabisa, nikawaza je ningemtumia tsh elfu 5? maana hapo nimemtumia tsh elfu moja na mia tano. Wallah atakuja ilipa tu, jasho la mtu haliendi bure.
 
1500?
huyu dada nilionana naye Hotel Flani Arusha.... tukawa marafiki. ana issues nyingi sana sana za kusafiri kwenda Dubai n.k ni lidada hasa la ukweli aisee..... toka kanda ya Ziwa huko. tukawa karibu na kadhalika.....

leo asubuhi kaniambia ameishiwa vocha nimtumie some amount... nikamwambia nipo ofisini sina kitu kwenye simu. akaomba hata kiasi chochote nikaangalia nikajikuta nina tsh 1,500 nikamrushia ili ajiunge maana kuna kitu alisema anataka aunge data then anitumie. toka saa tatu nimemtumia mpaka sasa hapatikani kwa simu nadhani ametupa na line kabisa maana nimewapigia kwenye mtandao jamaa zangu waniangalizie atakuwa wapi wanasema haiwezekani ku mtrace maana line imeharibiwa kabisa. mara ya mwisho alikuwa Zanzibar amabako nilimwacha jana nikaja Dar. najiuliza huyu dada amewaza nini mpaka kunitapeli. nimeumia miaka yote sijawahi tapeliwa why now?je nimeanza kuwa weak? au ni nini hiki kitu.... siku nzima ya leo sina amani kabisa....nikawaza je ningemtumia tsh elfu 5? maana hapo nimemtumia tsh elfu moja na mia tano. wallah.. atakuja ilipa tu... jasho la mtu haliendi bure.
 
Huyu dada nilionana naye Hotel Flani Arusha tukawa marafiki. Ana issues nyingi sana sana za kusafiri kwenda Dubai n.k ni lidada hasa la ukweli aisee, toka kanda ya Ziwa huko. tukawa karibu na kadhalika.

Leo asubuhi kaniambia ameishiwa vocha nimtumie some amount nikamwambia nipo ofisini sina kitu kwenye simu. Akaomba hata kiasi chochote nikaangalia nikajikuta nina tsh 1,500 nikamrushia ili ajiunge maana kuna kitu alisema anataka aunge data then anitumie.

Toka saa tatu nimemtumia mpaka sasa hapatikani kwa simu nadhani ametupa na line kabisa maana nimewapigia kwenye mtandao jamaa zangu waniangalizie atakuwa wapi wanasema haiwezekani ku mtrace maana line imeharibiwa kabisa.

Mara ya mwisho alikuwa Zanzibar amabako nilimwacha jana nikaja Dar. Najiuliza huyu dada amewaza nini mpaka kunitapeli. Nimeumia miaka yote sijawahi tapeliwa why now? Je, nimeanza kuwa weak? Au ni nini hiki kitu, siku nzima ya leo sina amani kabisa, nikawaza je ningemtumia tsh elfu 5? maana hapo nimemtumia tsh elfu moja na mia tano. Wallah atakuja ilipa tu, jasho la mtu haliendi bure.
Lete namba yako nikutumie 10,000/= ukale ili akili zirudi.

Hii ni mental cade.
 
Hv ulishawahi kuonga mwanamke kweli ww!!?
 
Nitumie hela tumroge
 
Back
Top Bottom