Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu dada nilionana naye Hotel Flani Arusha tukawa marafiki. Ana issues nyingi sana sana za kusafiri kwenda Dubai n.k ni lidada hasa la ukweli aisee, toka kanda ya Ziwa huko. tukawa karibu na kadhalika.
Leo asubuhi kaniambia ameishiwa vocha nimtumie some amount nikamwambia nipo ofisini sina kitu kwenye simu. Akaomba hata kiasi chochote nikaangalia nikajikuta nina tsh 1,500 nikamrushia ili ajiunge maana kuna kitu alisema anataka aunge data then anitumie.
Toka saa tatu nimemtumia mpaka sasa hapatikani kwa simu nadhani ametupa na line kabisa maana nimewapigia kwenye mtandao jamaa zangu waniangalizie atakuwa wapi wanasema haiwezekani ku mtrace maana line imeharibiwa kabisa.
Mara ya mwisho alikuwa Zanzibar amabako nilimwacha jana nikaja Dar. Najiuliza huyu dada amewaza nini mpaka kunitapeli. Nimeumia miaka yote sijawahi tapeliwa why now? Je, nimeanza kuwa weak? Au ni nini hiki kitu, siku nzima ya leo sina amani kabisa, nikawaza je ningemtumia tsh elfu 5? maana hapo nimemtumia tsh elfu moja na mia tano. Wallah atakuja ilipa tu, jasho la mtu haliendi bure.
Tuwasiliane private please. Utume na kutolea maana usije ukatuma nikatoa ikapungua. Nashukuru sanaNitumie namba yako nikutumie 1500 kwa niaba ya huyo dada..huruma
Nakesha usiku kuandika projects kadhaa nipate pesa. Naumiza kichwa. Ni bora nijue tu nampa mtu lakini siyo kunitapeli. Sikuwahi tapeliwa before. Inaniumiza why anitapeli?Wewe jamaa kavu sana,unalia lia sababu ya 1500!
Kabisa ndugu yangu ...Utapeli wa vitu vidogo ni mwanzo wa utapeli wa vikubwa.
Hela nyingi sana Mimi nililiwa 500 nikalazwa hospitali wiki mojaHuyu dada nilionana naye Hotel Flani Arusha tukawa marafiki. Ana issues nyingi sana sana za kusafiri kwenda Dubai n.k ni lidada hasa la ukweli aisee, toka kanda ya Ziwa huko. tukawa karibu na kadhalika.
Leo asubuhi kaniambia ameishiwa vocha nimtumie some amount nikamwambia nipo ofisini sina kitu kwenye simu. Akaomba hata kiasi chochote nikaangalia nikajikuta nina tsh 1,500 nikamrushia ili ajiunge maana kuna kitu alisema anataka aunge data then anitumie.
Toka saa tatu nimemtumia mpaka sasa hapatikani kwa simu nadhani ametupa na line kabisa maana nimewapigia kwenye mtandao jamaa zangu waniangalizie atakuwa wapi wanasema haiwezekani ku mtrace maana line imeharibiwa kabisa.
Mara ya mwisho alikuwa Zanzibar amabako nilimwacha jana nikaja Dar. Najiuliza huyu dada amewaza nini mpaka kunitapeli. Nimeumia miaka yote sijawahi tapeliwa why now? Je, nimeanza kuwa weak? Au ni nini hiki kitu, siku nzima ya leo sina amani kabisa, nikawaza je ningemtumia tsh elfu 5? maana hapo nimemtumia tsh elfu moja na mia tano. Wallah atakuja ilipa tu, jasho la mtu haliendi bure.
Itakuwa rubles1500 Tsh au $
... Utoto Raha Sana! 1500/ unaanzishia Uzi? Zimeluuma Sana?Huyu dada nilionana naye Hotel Flani Arusha tukawa marafiki. Ana issues nyingi sana sana za kusafiri kwenda Dubai n.k ni lidada hasa la ukweli aisee, toka kanda ya Ziwa huko. tukawa karibu na kadhalika.
Leo asubuhi kaniambia ameishiwa vocha nimtumie some amount nikamwambia nipo ofisini sina kitu kwenye simu. Akaomba hata kiasi chochote nikaangalia nikajikuta nina tsh 1,500 nikamrushia ili ajiunge maana kuna kitu alisema anataka aunge data then anitumie.
Toka saa tatu nimemtumia mpaka sasa hapatikani kwa simu nadhani ametupa na line kabisa maana nimewapigia kwenye mtandao jamaa zangu waniangalizie atakuwa wapi wanasema haiwezekani ku mtrace maana line imeharibiwa kabisa.
Mara ya mwisho alikuwa Zanzibar amabako nilimwacha jana nikaja Dar. Najiuliza huyu dada amewaza nini mpaka kunitapeli. Nimeumia miaka yote sijawahi tapeliwa why now? Je, nimeanza kuwa weak? Au ni nini hiki kitu, siku nzima ya leo sina amani kabisa, nikawaza je ningemtumia tsh elfu 5? maana hapo nimemtumia tsh elfu moja na mia tano. Wallah atakuja ilipa tu, jasho la mtu haliendi bure.
...Wewe ni Bahili!...Nakesha usiku kuandika projects kadhaa nipate pesa. Naumiza kichwa. Ni bora nijue tu nampa mtu lakini siyo kunitapeli. Sikuwahi tapeliwa before. Inaniumiza why anitapeli?