Huyu dada kanitapeli Tsh. 1,500 siku yangu imeharibika kabisa, sina hata raha

Milioni 15 mbona nyingi sana mkuu? Ulimtumia hela yote hiyo ya nini?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] polesana
 
ivi ni hiyo hiyo 1500 tu au kuna kitu umekificha...? harafu wenzako mambo hayo tumefanyiwa sana kwakweli...hiyo initwa kupata na kukosa...
 
Hesa ngumu hakuna kuhonga
Your browser is not able to display this video.
 
Umenikumbusha mbali sana. Wakati tuko sekondari, ilkuwa siku nadra sana. Siku ya nyama na wali. Kuna jamaa alikuwa na wali na nyama zake 2. Basi kwa wema wa kiafrika, akamkaribisha mwanafunzi mwingine kula naye. Basi yule mwanafunzi akacchukuwa kinyama kimoja. Kumbe mkaribishaji hakumaanisha. Ilimsumbua sana ile nyama 1. Zilikuwa zimebaki siku 4 tuanze mtihani wa taifa. Basi hata mtihani alifeli kwa sababu ya ile nyama. Huyo dada kavunja line kwa sababu ya 1,500/= na wewe umepata pressure kwa sababu ya 1,500/=. Najiuliza nani alikupa nauli ya kwenda Zanzibar? Na nani alimpa nauli huyo dada ya kwenda Dubai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…