Huyu Daktari wa meno anastahili Pongezi

Huyu Daktari wa meno anastahili Pongezi

Mimi kwa huku nilipo nilimpeleka dogo akawekewa hizo braces pamoja na hudumua za kua anabadilishwa hizo braces kila baada ya muda,ilichukua 3 years meno kukaa sawa na gharama ni kama 6m zakibongo.
Da! Aisee kumbe gharama hivo?sasa huku kwetu sijui tufanyeje
 
Mimi kwa huku nilipo nilimpeleka dogo akawekewa hizo braces pamoja na hudumua za kua anabadilishwa hizo braces kila baada ya muda,ilichukua 3 years meno kukaa sawa na gharama ni kama 6m zakibongo.
Sasa kama mtoto imechukua miaka mitatu je jitu zima lenye meno yote itachukua muda gani?
 
Ni mtu mmoja,Urefu wa kidefu unaathiriwa na taya,na taya pia inaathiriwa na mpangilio wa meno
Sio taya tu, hata upana wa sura labda kama unataka utuaminishe surgery ili husisha sura yote
 
Mkuu,Ilikugharimu shilingi ngapi na je kwa sasa matokeo ni mazuri?
Pole mkuu,Kesi kama hizi zinaathiri sana kisaikolojia iwe kwa mtoto au mtu mzima,kwahio huduma kama hizi ni muhimu sana na kama mtu ana mtoto ana shida ya meno ni vizuri kumrekebishia mapema kama uwezo upo.
 
Demu ata akiwa na meno kama ngiri awe na chura ya kutosha, baasi
 
Gharama zake zipoje
Nililipa dola 500 mwanzoni ( consultation + braces). Then nikawa nalipa kidogo kidogo kila ninapoenda for adjustments kila baada ya miezi 2. Mwisho unalipia retainers. Hiyo ilikuwa mwaka 2009 mpaka 2011. Niliwekewa pia crowns meno ya mbele maana yalivunjika zamani, so wakafanya root canal na crowns. Jumla kama milion 4 ila sikulipa kwa mara moja yote. Results nzuri sana maana meno yamekaa kwa mpangilio sana. Mimi nilifanya private hospital. Muhimbili/ Mnazi mmoja nasikia nao wanatoa hizi huduma siku hizi (sina uhakika lakini) kama ni lweli gharama zake nadhani ziakuwa sio kubwa kama private. Unaweza kwenda kuulizia
 
Lazima utakua demu
 
Ni mtu mmoja,Urefu wa kidefu unaathiriwa na taya,na taya pia inaathiriwa na mpangilio wa meno
Unaoa binti mrembo halafu unashangaa watoto wanafanana na mtu usiyemfahamu, meno shaghalabaghala. Nao inabidi uwapeleke kwa daktari kurekebisha dental formulae?

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Sio taya tu, hata upana wa sura labda kama unataka utuaminishe surgery ili husisha sura yote
Inawezekana picha ya kwanza ilikuwa awakati ana umri mdogo hiyo nyingine ni baada ya miaka kadhaa
 
Back
Top Bottom