Shukrani mkuu.Huku arusha wanafanya 2.5m
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani mkuu.Huku arusha wanafanya 2.5m
Da! Aisee kumbe gharama hivo?sasa huku kwetu sijui tufanyejeMimi kwa huku nilipo nilimpeleka dogo akawekewa hizo braces pamoja na hudumua za kua anabadilishwa hizo braces kila baada ya muda,ilichukua 3 years meno kukaa sawa na gharama ni kama 6m zakibongo.
Sasa kama mtoto imechukua miaka mitatu je jitu zima lenye meno yote itachukua muda gani?Mimi kwa huku nilipo nilimpeleka dogo akawekewa hizo braces pamoja na hudumua za kua anabadilishwa hizo braces kila baada ya muda,ilichukua 3 years meno kukaa sawa na gharama ni kama 6m zakibongo.
Sijui kwanini huwa ni expensive hivyo[emoji2297]Matibabu ya meno ni very expensive,sijui gharama katumia ngapi hapo,
Amependeza.
Hata kwenye health insurance nyingi unakuta issue ya meno imekua excluded,wanakwepa gharama.Sijui kwanini huwa ni expensive hivyo[emoji2297]
Sio taya tu, hata upana wa sura labda kama unataka utuaminishe surgery ili husisha sura yoteNi mtu mmoja,Urefu wa kidefu unaathiriwa na taya,na taya pia inaathiriwa na mpangilio wa meno
Hata kidevu kinabadilishwa, inawezekana kabisaWatu wawili tofauti angalia urefu na ufupi wa kidevu
Mkuu,Ilikugharimu shilingi ngapi na je kwa sasa matokeo ni mazuri?
Pole mkuu,Kesi kama hizi zinaathiri sana kisaikolojia iwe kwa mtoto au mtu mzima,kwahio huduma kama hizi ni muhimu sana na kama mtu ana mtoto ana shida ya meno ni vizuri kumrekebishia mapema kama uwezo upo.
Nililipa dola 500 mwanzoni ( consultation + braces). Then nikawa nalipa kidogo kidogo kila ninapoenda for adjustments kila baada ya miezi 2. Mwisho unalipia retainers. Hiyo ilikuwa mwaka 2009 mpaka 2011. Niliwekewa pia crowns meno ya mbele maana yalivunjika zamani, so wakafanya root canal na crowns. Jumla kama milion 4 ila sikulipa kwa mara moja yote. Results nzuri sana maana meno yamekaa kwa mpangilio sana. Mimi nilifanya private hospital. Muhimbili/ Mnazi mmoja nasikia nao wanatoa hizi huduma siku hizi (sina uhakika lakini) kama ni lweli gharama zake nadhani ziakuwa sio kubwa kama private. Unaweza kwenda kuuliziaGharama zake zipoje
Lazima utakua demuNililipa dola 500 mwanzoni ( consultation + braces). Then nikawa nalipa kidogo kidogo kila ninapoenda for adjustments kila baada ya miezi 2. Mwisho unalipia retainers. Hiyo ilikuwa mwaka 2009 mpaka 2011. Niliwekewa pia crowns meno ya mbele maana yalivunjika zamani, so wakafanya root canal na crowns. Jumla kama milion 4 ila sikulipa kwa mara moja yote. Results nzuri sana maana meno yamekaa kwa mpangilio sana. Mimi nilifanya private hospital. Muhimbili/ Mnazi mmoja nasikia nao wanatoa hizi huduma siku hizi (sina uhakika lakini) kama ni lweli gharama zake nadhani ziakuwa sio kubwa kama private. Unaweza kwenda kuulizia
Unaoa binti mrembo halafu unashangaa watoto wanafanana na mtu usiyemfahamu, meno shaghalabaghala. Nao inabidi uwapeleke kwa daktari kurekebisha dental formulae?Ni mtu mmoja,Urefu wa kidefu unaathiriwa na taya,na taya pia inaathiriwa na mpangilio wa meno
[emoji3]Inabidi uwapeleke tu maana ni wakoUnaoa binti mrembo halafu unashangaa watoto wanafanana na mtu usiyemfahamu, meno shaghalabaghala. Nao inabidi uwapeleke kwa daktari kurekebisha dental formulae?
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app