Huyu Dereva tax atanivunjia ndoa yangu, nifanyeje?



wewe ni bingwaa
 
Sijaelewa uliposema A new guy HAS A FEAR OF GOD! Which God are you referring my dear? He is fucking somebody's wife and ur here telling us he has fear of GOD! Go for Malaria tablets huenda imepanda kichwani!
 
Huyu Ni Muhongo.Kama (MUHONGO).Hakuna mwanamke Anayeweza kutoka nje ya Ndoa na Akawa hivyo.wanawake wa Namna hii wakijaribu huwa Wanakufaga kimaisha Kabisaaa
 
Mwanamke mwenye akili hasingechepuka kisa mume wake amechepuka, ulitakiwa ukae nae myamalize ( kama kweli anachepuka maana hata uhakika)

Wewe ndio tabia yako kuchepuka mama, maana kama ingekuwa sio tabia yako, pale ulipotembea na dereve tax ukambwaga (tunachukulia ulikuwa umeteleza) ungerud kujenga ndoa yako na kuweka vitu sawa na mumeo, Ila we kiboko ukapata mwingine tena kanisani
 
Nimekuelewa hapo kwenye god fearing kwani hiyo god ulivyoiandika siyo ya yule nayemfahamu mimi.
 
Nimekuelewa hapo kwenye god fearing kwani hiyo god ulivyoiandika siyo ya yule nayemfahamu mimi japo wengi hawajakuelewa.
 
We si ukajiunge na ISIS tu au BOKOHARAMU, maana hao ndo wanachanganya changanya mambo namna hii!
Dini humohumo, maovu humohumo, visingizio humohumo.
 
Kama script ya movie vile!!

Haukuwa hata na uhakika wa 100% kuwa mumeo ana-cheat ila umeenda mbali zaidi na ku-revenge kwa kujitafutia michepuko!

Umelikoroga mwenyewe hilo, linywe tu hata kama ni chungu!

Imeandikwa mwanamke asiye na busara huivunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe!
 
Asilimia kumi ya maisha yetu ni tunayoyafanya,asilimia tisini ni majibu ya tuliyoyafanya... Kumbuka kufanya mambo mazuri yatokanayo na maamuzi sahihi ili majibu yake yawe mema kwako... Umeharibu asilimia kumi zako tegemea asilimia tisini kukuelemea,umejitengenezea maisha magumu na unapaswa kuwa nayo
 
Well nothing gud has ever come out of infedility...sasa chakufanya ni kukiri tuu umempa utamu tax man. Duh....kwanza una moyo guy performance mbovu but ulimpa papuchi mara sita!!
 
sasa mtu kama ww hua unaenda pa kuabudia shetaniii au maana hiyo God fearing nadhan Satan ndo God wako maana kama ni sehem za kuabudia kwel naona nyie ndo hufanya wapagani tuzid kua wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…