magombe junior
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 2,018
- 1,042
Ama kweli uzinzi umehalalishwa,"God fearing"!!
Mpe taarifa huyo tax driver mwambie uliteleza tu kwa kufanya naye mapenzi na unampenda sana mumeo, pia mweleze kuwa message yake imeonwa na mumeo, na anapanga kumfumania ili naye ageuzwe mke na mabaunsa. So aachane kabisa na wewe. Natumai atakuelewa na mpango wa mumeo utashindikana. Kama dereva ataendelea kuwa king'ang'anizi, mwache aolewe, kiranga huwa haliliwi.
Huoni hata aibu kumuita mtu God fearing wakati ndio mshirika wako kwenye uasherati! Shame on you!
Na mimi hapo pameniacha hoi kabisa