Huyu Extrovert wa JamiiForums ni mtu asiyejulikana?

Huyu Extrovert wa JamiiForums ni mtu asiyejulikana?

Sasa Mkuu we ulijiunga JF ili kujificha? Mbona wengi tuna ndugu, marafiki, wafanyakazi wenzetu humu na tunafahamiana ila wewe kumuona to yeye akimsifu Extrovert unaona anahenyeka kweli humu ndani tunatofautiana.
Wako watu kiasi chake nafahamiana nao kiukweli wala sio tatizo. Wengine tumefanya na biashara so huyo jamaa nahisi hajui maana ya social networking
 
Eeeeh kujuana sawa lakini nimeuliza mnajuana na huyo binti?.
Hayo ni mambo binafsi mkuu, huenda ikawa kweli ama si kweli ila haifanyi kushindwa ku socialize na ninyi wote ambao nawachukulia kama jamaa zangu humu. Ningekuwa mtu wa hovyo nisingeweza kudumu humu kwa miaka yote hio.
 
Acha shobo, umeulizwa wewe??, acha shobo acha shobo subiri arespond aliyeulizwa
Hii comment imenifanya nijue nabishana na mtu wa namna gani


Ukipitia nyuzi zako nyingi utajua Kwanini unadharaulika na members wengi
 
Nyuzi na maoni ninayotoa huwa yanafuatiliwa kwa karibu na huyu Extrovert sijui lengo lake ni nini isije ikawa ni mzee wa Nissan Nyeupe.
Usalama wa Taifa ni bunch of stupid people.....

They all have no brain at all!

Heri hata JWTZ sometimes wana uzalendo....this bunch,is a shit loosing bunch!
 
Hii comment imenifanya nijue nabishana na mtu wa namna gani


Ukipitia nyuzi zako nyingi utajua Kwanini unadharaulika na members wengi
We tahila nini wanaonidharau hawanijui wala siwajui tena nawaona matahila tu maana wanakereka na kisichoonekana
 
Unamjua?, msipende kujihenekesha, humu wengi hatujuani mpaka tutambuane kwa majina sasa wewe unasema ni mtu mzuri je umewahi kumwona na kukaa nae.
Pole mkuu,una shida pahala.sema nashangaa sana unapokuwa na mihemuko ya wamama kuwa bleeding period
 
Back
Top Bottom