Huyu hakuwa raia mwema, haiwezekani umpige askari kwa teke na ngumi

Huyu hakuwa raia mwema, haiwezekani umpige askari kwa teke na ngumi

Hakukua na ulazima wa kumshambulia, hata askari watatu tu walitosha kumtia pingu mikono na miguu.
Unaongelea ulipoangukia sio ulipojikwaa.Umpige askari utegemee uachwe?Hata Marekani mshambulie askari uone utafanywa nini.
 
Yaani uanze kumshambulia askari utegemee kupigiwa makofi?.Commonsense is not common nowdays.
Uliangalia hiyo video tangu mwanzo au na wewe umeneba kipande cha video alichokuja nacho Muliro kuhadaa watu akiwa ametumbua macho.

Kwa kukusaidia tu ni kuwa kuna tofauti ya police service na police force , ukizijua hizo utajua polisi wa Tanzania wapo kundi gani.
 
Kwahiyo askari ndio raia wema kwa kushambulia vile ?
- Hii mada ni ngumu kuchangia. Hasa ukiwa mtu wa kuangalia Pande zote mbili, kwa kuzingatia Haki na Wajibu.
<--My take-->
Bado naendelea kusoma comment.
 
- Hii mada ni ngumu kuchangia. Hasa ukiwa mtu wa kuangalia Pande zote mbili, kwa kuzingatia Haki na Wajibu.
<--My take-->
Bado naendelea kusoma comment.
Bahati nzuri ipo video original ikionyesha tangu mwanzo wa tukio ila ajabu Muliro kachukua kipande kidogo tu na kusema askari kashambuliwa ila hawasemi wao ndio walianza kushambulia raia wasiokuwa na silaha.

Katika video ambazo Muliro hakuonyesha mojawapo ni ya yule kijana anaitwa Mahinyila huyu ni wakili na alikuwepo mahakamani ila video yake inaonyesha polisi watatu wasio na sare wamemvamia na wanataka kumkamata anapowahoji wao ni akina nani na wanamkamata kwanini hawajitambulishi bali wanazidisha kutumia nguvu je ni sawa mbona mleta mada analeta double standard?

Iangalie video original hapo angalia hapo polisi walichoanza kukifanya je hapo polisi wanaweza kutueleza huyo jamaa kosa lake ni nini hadi aanze kupigwa ?


View: https://youtu.be/dJG62_0i7Pc?si=WayC7NM0B0jVeBB1

Video ya pili hii hapa ni advocate Mahinyila na polisi wasio na sare mbona hii Muliro haitolei ufafanuzi?

Kosa la huyu wakili kukamatwa ilikuwa ni nini?


View: https://youtu.be/OoFs1hkQT0w?si=ORsNS1oPQLdo7DAI
 
Bahati nzuri ipo video original ikionyesha tangu mwanzo wa tukio ila ajabu Muliro kachukua kipande kidogo tu na kusema askari kashambuliwa ila hawasemi wao ndio walianza kushambulia raia wasiokuwa na silaha.

Katika video ambazo Muliro hakuonyesha mojawapo ni ya yule kijana anaitwa Mahinyila huyu ni wakili na alikuwepo mahakamani ila video yake inaonyesha polisi watatu wasio na sare wamemvamia na wanataka kumkamata anapowahoji wao ni akina nani na wanamkamata kwanini hawajitambulishi bali wanazidisha kutumia nguvu je ni sawa mbona mleta mada analeta double standard?
Mahilinya alikuwa ana resist kuwa arrested. Hakuna double standard.Mahilinya aliwatusi askari na waliojaribu kumweka chini ya ulinzi akawa ana resist. Lema alijaribu kumuombea kwamba aachwe kwa hiyo ina maana Lema alikuwa anajua ni askari waliovaa kiraia. Alipoona jamaa hataki kuwa arrested akajiondokea zake. Mwisho akasarenda na kupelekwa Polisi.
 
Back
Top Bottom