Nimesema Mange, Lissu, Polepole, Sugu hao baadhi tu, nani kati yao hapo unamzidi kipato hadi exposure?
qum@ mmoja tu wewe na bando lako la kuunga unga unakuja kunitusi hunifahamu ...
eti una kampuni nne? kampuni za kuchakata uduvi?
huyo Mange si ndipo ulianza kusema upuuzi wako na utaahira eti unaweza kumuajiri kisa anategemea views, mwenzako ana G Wagon wewe una gari gani? au zile baiskeli za Mama Samia za mgao? 😂 🤣
Mzee hujui unachekesha watu humu, kwamba unaweza kuwaajiri hao? dah ngoja nikuache ....