Huyu hakuwa raia mwema, haiwezekani umpige askari kwa teke na ngumi

Mwanzo tu wa video imeonyesha alielekezwa aondoke Lema alipokuja kaanza ubishi ndo wakaanza kumvuta kumtoa kwa nguvu.
Wale km ni askari kanzu wako kazini, nayeye pia hatujui kaletwa na nani.
Nimekutana na hizo situation mara nyingi tu sasa.
Nimeelewa.
Ukiambiwa, mikono juu, weka juu,nyuma weka nyuma wakufunge pingu.
Kaa chini unakaa.
Mwisho watakuachia tu waseme asante kwa ushirikiano.
Mkianza kubishana hao watakushinda tu,wao watatumia miguvu yao wana back up ya serikali.
Wewe je?
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Huwezi pigwa Kama utafuata utaratibu uliowekwa, kumshambulia askari so positive huko nikutengeneza sababu ya jamii Kuona ni wasela mkuu polisi wataonekana wako sawa kwa akili Kama hizi
Itakuwa hazikutoshi kichwani mwako, kama huo mfano ndio unauchukulia kuwa kielelezo cha kuwatetea polisi.
Tueleze wewe, wale viongozi wa CHADEMA waliochukuliwa pale Kisutu na kupelekwa porini kuvunjwa viungo vyao; hao ndio polisi unaowasemea hapa?
 
Ila jamaa anajua kurusha konde amechelewa kuchanganya pamoja na mateke
Angalia huyo askari hapo nyuma anavyoogopa harakati za mpambanaji
Mwambie huyo jamaa afanye mazoezi arudie tena
 
Mkianza kubishana hao watakushinda tu,wao watatumia miguvu yao wana back up ya serikali.
Wewe je?
Unasema, "wana back up ya serikali..."; halafu unauliza... "weweje"?

Ni wazi kabisa wewe ni mjinga; hata hujui sheria na taratibu zinawekwa kwa sababu zipi?

Polisi akija mtaani kwenu na kukuamru ukae pembeni ambake mke wako; bado utasema "... ana back up ya serikali..."!

Ni mara ngapi polisi wanakiuka hata taratibu zinazoelekeza wajibu wao ni nini. Wewe hujui hilo?

Nyakati hizi ndani ya nchi hii hatuna polisi tena. Imebaki tu raia na wao watafute njia zao za kujikinga na majambazi haya.
 
Itakuwa hazikutoshi kichwani mwako, kama huo mfano ndio unauchukulia kuwa kielelezo cha kuwatetea polisi.
Tueleze wewe, wale viongozi wa CHADEMA waliochukuliwa pale Kisutu na kupelekwa porini kuvunjwa viungo vyao; hao ndio polisi unaowasemea hapa?
Ile ilikuwa maigizo.Hakuna mtu aliyechukuliwa Kisutu.Hiyo ilikuwa ni maigizo sawa na ya yule mama wa Bawacha aliyefumaniwa Rufiji akadai ametekwa.Ulisikia muendelezo baada ya kubainika uongo wake?
 
Unasema, "wana back up ya serikali..."; halafu unauliza... "weweje"?

Ni wazi kabisa wewe ni mjinga; hata hujui sheria na taratibu zinawekwa kwa sababu zipi?

Polisi akija mtaani kwenu na kukuamru ukae pembeni ambake mke wako; bado utasema "... ana back up ya serikali..."!

Ni mara ngapi polisi wanakiuka hata taratibu zinazoelekeza wajibu wao ni nini. Wewe hujui hilo?

Nyakati hizi ndani ya nchi hii hatuna polisi tena. Imebaki tu raia na wao watafute njia zao za kujikinga na majambazi haya.
We ni mpumbavu kabisa, na ushukuru hata nimekujibu.
Nenda mahakamani , endelea kubishana na polisi wakuvunje kiuno huko mkeo tutamlea bwege wewe.
Hujui hata km uko 3word country.
Sheria gani inafuatwa?
Zwazwa kwelikweli.
Melo mwenyewe kakunjwa
na Jf wapo humu.
Sipendi kuongea na mijitu mijinga mijinga foh.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Ile ilikuwa maigizo.Hakuna mtu aliyechukuliwa Kisutu.Hiyo ilikuwa ni maigizo sawa na ya yule mama wa Bawacha aliyefumaniwa Rufiji akadai ametekwa.Ulisikia muendelezo baada ya kubainika uongo wake?
Nenda nawe kafanye maigizo ya namna hiyo halafu uje hapa kutueleza ulivyo fanikiwa katika uigizaji wako.
Mtu na akili timamu huwezi kuandika upumbavu kama huu.
 
We ni mpumbavu kabisa, na ushukuru hata nimekujibu.
Nenda mahakamani , endelea kubishana na polisi wakuvunje kiuno huko mkeo tutamlea bwege wewe.
Hujui hata km uko 3word country.
Sheria gani inafuatwa?
Zwazwa kwelikweli.
Melo mwenyewe kakunjwa
na Jf wapo humu.
Sipendi kuongea na mijitu mijinga mijinga foh.
Nimekwisha kueleza wewe ni mpumbavu, sasa utaniitaje mimi tena kuwa mpumbavu.
Soma uelewe nilicho eleza hapo upumbavu wako upungue.
 
Huwa sipendi kusutana na wamama humu.
Linda hayo matako km we wa kiume.
 
Nenda nawe kafanye maigizo ya namna hiyo halafu uje hapa kutueleza ulivyo fanikiwa katika uigizaji wako.
Mtu na akili timamu huwezi kuandika upumbavu kama huu.
Yaani wewe ndio zwazwa kweli.Rudia Interview ya Padri Slaa akikiri kwamba Chadema wana kikundi cha watekaji na watesi na kuna muda akiwa Katibu Mkuu alikuwa akikiongoza.Upo brainwashed ndio maana hata maigizo ya wazi huyaoni.Dundee United.
 
We ni mpumbavu kabisa, na ushukuru hata nimekujibu.
Nenda mahakamani , endelea kubishana na polisi wakuvunje kiuno huko mkeo tutamlea bwege wewe.
Hujui hata km uko 3word country.
Sheria gani inafuatwa?
Zwazwa kwelikweli.
Melo mwenyewe kakunjwa
na Jf wapo humu.
Sipendi kuongea na mijitu mijinga mijinga foh.
Wewe ni mjinga...
Jamaa kakuuliza swali, wakija Polisi kwako wakataka kumbaka mkeo, tena nisiseme kumbaka wakitaka kumto.mba kwa kutumia nguvu, kama mwanaume utakubali kwa sababu wana back up ya serikali?

Wewe huna akili, zero brain, shwain...
Huu upuuzi wa ku obey orders za kis3ng3 ndio umeifikisha hii nchi hapa, alichokuwa anakifanya huyo kamanda hapo ku resist ni hatua nzuri sana... na wananchi wataendelea kjisimamia hadi mwisho..
 
Huwa sipendi kusutana na wamama humu.
Linda hayo matako km we wa kiume.
Tayari nimekwisha kumaliza wewe, uchizi tu ndio uliotamalaki, nami huwa sina wakati na machizi, kabla sijavaa mawani ya uchizi tuongee lugha moja.
Sasa nakuona 'Babukijana' unanikaribisha sana huko kwenye uchizi.
Nitakupa fursa hiyo wakati mwafaka.
 
Huwezi pigwa Kama utafuata utaratibu uliowekwa, kumshambulia askari so positive huko nikutengeneza sababu ya jamii Kuona ni wasela mkuu polisi wataonekana wako sawa kwa akili Kama hizi
Askari wenyewe wanafata utaratibu uliowekwa?
 
Yaani wewe ndio zwazwa kweli.Rudia Interview ya Padri Slaa akikiri kwamba Chadema wana kikundi cha watekaji na watesi na kuna muda akiwa Katibu Mkuu alikuwa akikiongoza.Upo brainwashed ndio maana hata maigizo ya wazi huyaoni.Dundee United.
Wewe hata kukusoma huwa sijihangaishi. Sijui leo nimeanzaje kukujibu mtu duni kama wewe!
Kama huamini, rudi nyuma, tokea uingie humu JF, tokea 2018; halafu unieleze lolote la maana ulilo changia ndani ya jukwaa hili.

Hii kazi wanayowapa kuja humu kuvuruga mijadala; naona hata hiyo hamuiwezi.
 
Wewe ni mjinga...
Jamaa kakuuliza swali, wakija Polisi kwako wakataka kumbaka mkeo, tena nisiseme kumbaka wakitaka kumto.mba kwa kutumia nguvu, kama mwanaume utakubali kwa sababu wana back up ya serikali?

Wewe huna akili, zero brain, shwain...
Huu upuuzi wa ku obey orders za kis3ng3 ndio umeifikisha hii nchi hapa, alichokuwa anakifanya huyo kamanda hapo ku resist ni hatua nzuri sana... na wananchi wataendelea kjisimamia hadi mwisho..
We punga nae umetokea wapi?
Kesi si inaendelea kesho nenda kule ukadai haki zako.
Utawakuta hao hao na magwanda yao,
Tena we utaolewa mitala kabisa huko uache kimbelembele.
 
Kaka hiyo ni kazi inayo fanya familia yake ile na wasijekuombaomba mtaani heshimuni basi
Haya; hata aibu ya kuandika upuuzi kama huu huna!
Kwa hiyo unataka na sisi tuheshimu kazi hii unayofanya humu kwa sababu zilezile, au siyo?
 
Yaani wewe ndio zwazwa kweli.Rudia Interview ya Padri Slaa akikiri kwamba Chadema wana kikundi cha watekaji na watesi na kuna muda akiwa Katibu Mkuu alikuwa akikiongoza.Upo brainwashed ndio maana hata maigizo ya wazi huyaoni.Dundee United.
Acheni us3nge na unafiki wauaji nyie, mmeua wangapi mkiwavamia usiku?, mnatoboa macho watu na kuwaingilia kinyume na maumbile... mnateka watu na kuwapoteza... wakitaka kuleta vyombo huru vya kufanya uchunguzi mnaanza vikwazo...

Kama CHADEMA ndi wanafanya hayo waruhusu vyombo huru vya uchunguzi vije kutoka nje, ili tuone hio CDM ikiabika , badala yake mnaogopa...

Msijitie mnajua na kufuata taratibu za kisheria na ustaarabu pale tu wapinzani na wananchi wanapoamua kujitetea katika namna yao...

Nani kajitokeza hata mmoja kupinga kashfa za ufisadi zinazoendelea kuzungumziwa huko mitandaoni?
Wote mmekua kama masho.ga tu mchana kutwa kukenua mimeno midume na kengele zenu zilizoning'inia....

Mkisikia mikutano ya wapinzani kuvamia, ila kashfa za ufisadi zikitolewa mnajitia hamsikii...
 
Back
Top Bottom