Acheni us3nge na unafiki wauaji nyie, mmeua wangapi mkiwavamia usiku?, mnatoboa macho watu na kuwaingilia kinyume na maumbile... mnateka watu na kuwapoteza... wakitaka kuleta vyombo huru vya kufanya uchunguzi mnaanza vikwazo...
Kama CHADEMA ndi wanafanya hayo waruhusu vyombo huru vya uchunguzi vije kutoka nje, ili tuone hio CDM ikiabika , badala yake mnaogopa...
Msijitie mnajua na kufuata taratibu za kisheria na ustaarabu pale tu wapinzani na wananchi wanapoamua kujitetea katika namna yao...
Nani kajitokeza hata mmoja kupinga kashfa za ufisadi zinazoendelea kuzungumziwa huko mitandaoni?
Wote mmekua kama masho.ga tu mchana kutwa kukenua mimeno midume na kengele zenu zilizoning'inia....
Mkisikia mikutano ya wapinzani kuvamia, ila kashfa za ufisadi zikitolewa mnajitia hamsikii...