Mwenye pesa halalami. Ukiona kelele za Nchi inaliwa jua ni maskini hoehae asiye na mbele wala nyuma. Msalimie mama yako muulize kama ule muamala amepata.Usikasirike binti namsaidia baba yako majukumu.huko si mnabaka watu, hukusikia Agather na yule wa Kenya... mkaamua kuwafir@...
wapigaji wa kampeni zenu kina Dkt Kumbuka, Dimpoz, Juma Lokole...
kuhusu pesa... namtom.ba mamako, mkeo, shangazi yako hadi bibi yako na wote nawahonga pesa , pesa si shida zangu...
shog@ wee..
Akina Mange, Polepole, Lissu to mention the few.. kuna hata mmoja hapo unamfikia yeyote kimaisha we shog@ choka mbaya....Mwenye pesa halalami. Ukiona kelele za Nchi inaliwa jua ni maskini hoehae asiye na mbele wala nyuma. Msalimie mama yako muulize kama ule muamala amepata.Usikasirike binti namsaidia baba yako majukumu.
Una chochote unawazidi we mataqo?Nilijua upeo wako wa kufikiri mdogo.Yaani Mange,Polepole unajua hata alipo na Lisu anayeishi kwa donation ndio unawaona role models wako?Hakuna kati hao aliyejitosheleza kimaisha.Waganga njaa tu wote.Lisu alishindwa hata kuchangia milioni 30 za Mkutano Mkuu wa Chadema.Mange ni jobless anayeishi kwa kutegemea handouts za viewers wajinga kama wewe.Eti mwanaharakati! Polepole is asylum seeker hana hata pa kuishi alikuwa anahifadhiwa na mkewe.
Binti mwambie mama yako ile pesa niliyomtumia imemtosha?Au niongeze?
Kuhusu viewers mbona mastaa wakubwa duniani wanaishi kwa kutegemea viewers? wanamuziki, wana habari, wana michezo, wachekeshaji.. na wana maisha na ni matajiri sio kama wewe mganga njaa...?Nilijua upeo wako wa kufikiri mdogo.Yaani Mange,Polepole unajua hata alipo na Lisu anayeishi kwa donation ndio unawaona role models wako?Hakuna kati hao aliyejitosheleza kimaisha.Waganga njaa tu wote.Lisu alishindwa hata kuchangia milioni 30 za Mkutano Mkuu wa Chadema.Mange ni jobless anayeishi kwa kutegemea handouts za viewers wajinga kama wewe.Eti mwanaharakati! Polepole is asylum seeker hana hata pa kuishi alikuwa anahifadhiwa na mkewe.
Binti mwambie mama yako ile pesa niliyomtumia imemtosha?Au niongeze?
PGO inasemaje?Ukimpiga askari ukipigwa usilalamike.
Unataka kusemaje?GP0 kwenye kifungu cha 16 Guiding principles regarding Police action.PGO inasemaje?
Tatizo lako ni kukosa reality check.Hao unaowabudu wana asset gani?Eti G Wagon.G Wagon USA wanaendesha ma nurse mradi waweze kulipa kila mwezi.Tatizo lako hunijui at least umeniita Mzee na ni kweli.Bando linakusumbua?Nimesema Mange, Lissu, Polepole, Sugu hao baadhi tu, nani kati yao hapo unamzidi kipato hadi exposure?
qum@ mmoja tu wewe na bando lako la kuunga unga unakuja kunitusi hunifahamu ...
eti una kampuni nne? kampuni za kuchakata uduvi?
huyo Mange si ndipo ulianza kusema upuuzi wako na utaahira eti unaweza kumuajiri kisa anategemea views, mwenzako ana G Wagon wewe una gari gani? au zile baiskeli za Mama Samia za mgao? 😂 🤣
Mzee hujui unachekesha watu humu, kwamba unaweza kuwaajiri hao? dah ngoja nikuache ....