Kuna uhusiano gani kati ya kuvamia vituo vya polisi na kuua akina mama na watoto mitaani!?Huko ufaransa walikufa polisi wangapi, oct 29 watu wanavamia vituo vya polisi, kuua polisi na kuiba silaha, ulitaka wafanywe nini?
Israel ameua Wapalestina sio Waisrael, Wamarekani wameua Wairan sio Wamerikani kwa sababu ni Vita baina ya nchi mbili.Hivi huko Gaza na Iran watoto wanavouwawa na majeshi ya Israel na Marekani, hao watoto wana makosa gani? Na wao ni wanajeshi? Kuwa muelewa, kunapotokea machafuko, hata wasiohusika, kwa namna moja au nyingine wanaathirika, kutokana na uwepo wao eneo la tukio kwa bahati mbaya, hakuna askari alieenda nyumbani kwa raia na kuua watoto. Hao walikufa kutokana na uwepo wao mtaani kwenye eneo la machafuko, na huwezi kuzuia jambo hilo
Acha uongo. Wale madogo wameuawa kibanda umiza mji mwema? Yule sheikh ameua yuko nyumbani kwake? Haya mambo yametokea mtaani na wananchi tunajua ukweli. Polisi walihandle yale matukio UNPROFESSIONALLY.Hivi huko Gaza na Iran watoto wanavouwawa na majeshi ya Israel na Marekani, hao watoto wana makosa gani? Na wao ni wanajeshi? Kuwa muelewa, kunapotokea machafuko, hata wasiohusika, kwa namna moja au nyingine wanaathirika, kutokana na uwepo wao eneo la tukio kwa bahati mbaya, hakuna askari alieenda nyumbani kwa raia na kuua watoto. Hao walikufa kutokana na uwepo wao mtaani kwenye eneo la machafuko, na huwezi kuzuia jambo hilo
Kwenye vita vya Iran na Marekani, hakuna wamama na watoto wanaokufa kwa kupigwa mabomu? Wanavyokufa wanakuwa na makosa gani kwa uelewa wako?Kuna uhusiano gani kati ya kuvamia vituo vya polisi na kuua akina mama na watoto mitaani!?
Inaoneaha wazi Uwezo wako wa kutetea yale mauaji ni mdogo sana.
Waliofanya hivyo ni watoto wadogo waliouawa wakiwa manyumbani kwao?Hakukuwa na maandamano, acha kupotosha, bali kulikuwa na watu waliojiandaa kufanya vurugu na machafuko, vituo vya mafuta, stendi za mwendokadi, vituo vya polisi , vituo vya kupigia kura vilichomwa na nani? Unavamia kituo cha polisi na kukichoma moto ulitaka wachekewe tu, ni nchi gani duniani ingekubali hilo?
Hivi unajua Kuna watu waliuliwa wakiwa wapo kwenye nyumba zao?Huko ufaransa walikufa polisi wangapi, oct 29 watu wanavamia vituo vya polisi, kuua polisi na kuiba silaha, ulitaka wafanywe nini?
Waliokata wapiga kura vidole, kuchoma vituo vya polisi, vituo vya kupiga kura,stendi za mwendokasi na vituo vya mafuta walikuwa wahuni kutoka nchi gani? Hao ndio waliuwawa na polisi. Kama sio watanzania walikuwa wahuni kutoka nchi gani?Israel ameua Wapalestina sio Waisrael, Wamarekani wameua Wairan sio Wamerikani kwa sababu ni Vita baina ya nchi mbili.
Sisi tumeua Wananchi Watanzania ilikuwa vita baina ya nani na nani?
Unajua sababu ya wao kuuwawa, kwa sababu walishiriki kwenye uhalifu. Hakuna muhuni alieshiriki kwenye uhaini akaachwa salama, walilipa kutokana na makosa yao, mbona wewe hukufuatwa nyumbani kwako wakakuuaHivi unajua Kuna watu waliuliwa wakiwa wapo kwenye nyumba zao?
Bomu na bunduki ni silaha mbili tofauti na zenye matokeo tofauti pia pale zinapotumika.Kwenye vita vya Iran na Marekani, hakuna wamama na watoto wanaokufa kwa kupigwa mabomu? Wanavyokufa wanakuwa na makosa gani kwa uelewa wako?
Walilipa Kwa sheria ipi?Unajua sababu ya wao kuuwawa, kwa sababu walishiriki kwenye uhalifu. Hakuna muhuni alieshiriki kwenye uhaini akaachwa salama, walilipa kutokana na makosa yao, mbona wewe hukufuatwa nyumbani kwako wakakuua
My thoughts ni kwamba hizo billioni 200 waligawana wajanja wachache na kampeni pamoja na ubabe/uuaji wa Watanganyika during the elections walitumia pesa za umma, ingekuwa pesa zote zimemwagwa uwanjani kulainisha watu na kulainisha mifumo wasingehangaika kuua maelfu ya raia recklessly na kuteka kila wanayemuhisi anakwamisha mipango yao au kila wanayemuhisi kwamba anafumbua watu macho kuhusu ukweli halisi on the ground...kinachonisikitisha mimi ni kwamba uwezo wa kushinda bila mauaji alikuwa nao.
..Mama Abduli alichangiwa BILLION 200 kwa ajili ya kampeni za uchaguzi wa 2025.
..Sasa hebu fikiria njaa walizokuwa nazo wapinzani, na Watanganyika, hilo bulungutu halitoshi kumlainisha kila mtu?
..Kulikuwa na haja gani kutumia nguvu?
..Maria Sarungi na Mange Kimambi walimshinda vipi Mama Abduli kushawishi wananchi?
..Tunaambiwa eti waandamanaji walilipwa? Yeye Mama Abduli kwanini hakupanda dau kwa kutumia BILLION 200 alizochangiwa ili watu wasiandamane?
Polisi walikuwa na namna yao ya kujua waliohusika, kuna waliokamatwa wakawataja wenzao, ndio maana wewe hawakukuuaWalilipa Kwa sheria ipi?
Kupasua watu vichwa ndo kuwalipa?
Polisi walitumia kipimo gani kuuwa.walijua huyu alikuwepo kwenye maaandamano tumuue?
Kuna tofauti kubwa sana kati ya vita na maandamano ya raia yenye vurugu za kiraia wakishinikiza baadhi ya matakwa yao kwa utawala uliopo,hivyo hoja kuhusu vita ya Gaza ni suala jingine kabisa ambapo vita tunajua kunakuwa na amri za kuuwa kukabiliana na adui na matumizi ya silaha nzito,mfano kwenye vita ukirusha bomu/Drones kwenye target halichagui nani ni nani litatoa madhara kwa wote waliopo kwenye hiyo target kulingana na uwezo wake,kitu ambacho ni tofauti na kinachofanyika wakati wa vurugu za kiraia,ambapo huku kwetu tunajua bunduki ndio zilitumika na sote tunajua utumizi wa bunduki unatoa mwanya wa kuona exactly unaye mtarget kwamba ni fulani na unaweza mtambua huyu naye mshoot ni mtoto au mtu mzima,sasa hapo mi ndio nashindwa kuelewa polisi wetu waliwezaje kushoot hadi watoto wadogo. Na kuhusu watu kufuatwa kwenye maeneo yao,nakupa mfano Mtangazaji wa Clouds si alikuwa kwake kibarazani, je wale vijana waliokuwa kwenye kibanda umiza wanaangalia mpira huko Mwanza, hii ni mfano tu ya wengi walokutwa na madhira katika maeneo yao.Kwenye hili la oct 29 tukubali kuna mahali tulikosea na tujisahihishe,tuwajibike na kuchukua hatua stahiki kwa ukweli na uwazi ili jambo hili lisiweze kujirudia kamwe.Hivi huko Gaza na Iran watoto wanavouwawa na majeshi ya Israel na Marekani, hao watoto wana makosa gani? Na wao ni wanajeshi? Kuwa muelewa, kunapotokea machafuko, hata wasiohusika, kwa namna moja au nyingine wanaathirika, kutokana na uwepo wao eneo la tukio kwa bahati mbaya, hakuna askari alieenda nyumbani kwa raia na kuua watoto. Hao walikufa kutokana na uwepo wao mtaani kwenye eneo la machafuko, na huwezi kuzuia jambo hilo
Nashangaa kuna mikutano yao ya ''maridhiano' hutasikia wakijutia kilichotokea! wanata ku ' move on''..Na sisi Watanganyika tuna nakisi ktk ubinadamu.
..Hata raia kwa ujumla wetu hatuonekani kuguswa na mauaji yale.
Kwa hyo kuua ni ruhusa nchi hii.Polisi walikuwa na namna yao ya kujua waliohusika, kuna waliokamatwa wakawataja wenzao, ndio maana wewe hawakukuua
Nikusahihishe tu, Oct 29 hakukuwa na maandamano, bali kulikuwa na kikundi cha watu waliokuwa wanashambulia wapiga kura, kuchoma moto vituo vya kupigia kura, vituo vya mwendokasi na vituo vya mafuta, sheria ya maandamano ya raia inasema unapotaka kuandamana, lazima upate kibali cha polisi, oct 29 kuna kibali chochote cha maandamano kilichotolewa? Na nchi gani maandamano yanafanyika siku ya kupiga kura, oct 29 hakukuwa na maandamano, kulikuwa na magaidi waliotaka kuchoma na kuvuruga nchiKuna tofauti kubwa sana kati ya vita na maandamano ya raia yenye vurugu za kiraia wakishinikiza baadhi ya matakwa yao kwa utawala uliopo,hivyo hoja kuhusu vita ya Gaza ni suala jingine kabisa ambapo vita tunajua kunakuwa na amri za kuuwa kukabiliana na adui na matumizi ya silaha nzito hadawa,mfano kwenye vita ukirusha bomu/Drones kwenye target halichagui nani ni nani litatoa madhara kwa wote waliopo kwenye hiyo target kulingana na uwezo wake,kitu ambacho ni tofauti na kinachofanyika wakati wa vurugu za kiraia,ambapo huku kwetu tunajua bunduki ndio zilitumika na sote tunajua utumizi wa bunduki unatoa mwanya wa kuona exactly unaye mtarget kwamba ni fulani na unaweza mtambua huyu naye mshoot ni mtoto au mtu mzima,sasa hapo mi ndio nashindwa kuelewa polisi wetu waliwezaje kushoot hadi watoto wadogo. Na kuhusu watu kufuatwa kwenye maeneo yao,nakupa mfano Mtangazaji wa Clouds si alikuwa kwake kibarazani, je wale vijana waliokuwa kwenye kibanda umiza wanaangalia mpira huko Mwanza, hii ni mfano tu ya wengi walokutwa na madhira katika maeneo yao.Kwenye hili la oct 29 tukubali kuna mahali tulikosea na tujisahihi,tuwajibike na kuchukua hatua stahiki kwa ukweli na uwazi ili jambo hili lisiweze kujirudia kamwe.
Oct29 kulikuwa na Vita Tanzania kati ya nani na nani!Kwenye vita vya Iran na Marekani, hakuna wamama na watoto wanaokufa kwa kupigwa mabomu? Wanavyokufa wanakuwa na makosa gani kwa uelewa wako?
Hakuna sheria inayosema unapaswa kuwa na kibali cha Polisi. Kuna sheria inayosema kutoa TaarifaNikusahihishe tu, Oct 29 hakukuwa na maandamano, bali kulikuwa na kikundi cha watu waliokuwa wanashambulia wapiga kura, kuchoma moto vituo vya kupigia kura, vituo vya mwendokasi na vituo vya mafuta, sheria ya maandamano ya raia inasema unapotaka kuandamana, lazima upate kibali cha polisi, oct 29 kuna kibali chochote cha maandamano kilichotolewa?
Wale watoto waliokuwa wanatazama EPL walikuawawa kwa kosa gani!Polisi walikuwa na namna yao ya kujua waliohusika, kuna waliokamatwa wakawataja wenzao, ndio maana wewe hawakukuua