PostGE2025 Huyu hapa anadai eti Mama Abduli alisikitishwa, na alilia, kutokana na mauaji ya OCT 29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kukataa ukweli na kujidanganya kwamba hakukuwa na maandamano hakutatusaidia kitu zaidi zaidi tunatengeneza kitu ambacho matokea yake mbeleni yanaweza kutushangaza wote,ukweli ni kwamba kulikuwa maandamano ya kiraia yaliyoambatana na vurugu ambayo raia walikuwa na madai yao.Hivyo yatupasa kushughulika na madai ya raia ambayo ndio chanzo cha hayo maandamano yenye vurugu.Kukataa ukweli na kutegemea utamaliza tatizo ni kujidanganya.
 
Oct29 kulikuwa na Vita Tanzania kati ya nani na nani!
Kulikuwa na vita kati ya magaidi waliokuwa wanakata wapiga kura vidole, kuchoma vituo vya mafuta,stendi za mwendokasi na polisi. Polisi wakafanikiwa kuwaangamiza hao magaidi
 
Wale watoto waliokuwa wanatazama EPL walikuawawa kwa kosa gani!
Kama kuna watoto waliuwawa ilikuwa ni bahati mbaya tu kama vile Israel inavyowauwa watoto huko gaza kwa bahati mbaya.Na wapiga kura waliokatwa vidole, walikatwa kwa sababu gani?
 
We kabla ya oct 29 ulikuwa na taarifa ya uwepo wa maandamano, kwa mfano dar yalikuwa yanaanzia wapi na kuishia wapi?
 
Kuna kulia kwa uchungu na kububujikwa machozi ya furaha.Huyo mwarabu koko sijui muhindi anayejiita "zungu" alishindwa kutofautisha?
 
We kabla ya oct 29 ulikuwa na taarifa ya uwepo wa maandamano, kwa mfano dar yalikuwa yanaanzia wapi na kuishia wapi?
Sikuwa na taarifa ya maandamano zaidi ya kuona mitandaoni watu wakidai kwamba wataandamana na pia polisi wakitoa taarifa za kukutaza maandamano hayo.Sikujua maandamano yameanzia wapi na yameishia wapi, napo pia niliona kupitia mitandao watu wakiandamana maeneo ya Ubungo kabla mitandao haijazimwa.Na kwa kuongezea tu uvunjifu wa sheria kwa waandamanaji hauhalalishi Polisi nao kuvunja sheria wakati wanakabiliana nao mpaka kupelekea mauaji ya watu wengi vile.
 

..ile hotuba ya " who are you...?"

..au ile aliyowalaumu wazazi?
 
Huko ufaransa walikufa polisi wangapi, oct 29 watu wanavamia vituo vya polisi, kuua polisi na kuiba silaha, ulitaka wafanywe nini?
Hakuna raia aliyekuwa na silaha,raia wakishika silaha itakuwa hatari sana,kama ikitokea tena,raia wameshajifunza hawatatoka kindezi ili wauawe,kwa hiyo ni somo kwa Serikali na jeshi letu,waneonesha mfano mbaya na watu wameshapata akili.
 

..Mama Abduli angewahonga waliopanga kukata watu vidole, na kuchoma vituo vya mafuta, sehemu ya zile BILLION 200, isingeokoa mali, na maisha?

..Kiongozi una BILLION 200 unashindwa vipi kuzitumia kutuliza watu badala yake unatumia RISASI?

..Hivi unanielewa lakini?
 
Uwahonge magaidi wanaokata watu vidole na kuchoma vituo vya mafuta,stendi za mwendokasi? Una akili timamu wewe, yaani serikali ihonge majambazi yanayopora na kuharibu mali za umma? Wewe ni mzima wa akili au mwendawazimu? Hao majambazi yako yaliyoleta vurugu yalitakiwa kuchomwa moto hadharani, hata kupigwa hizo risasi walionewa huruma sana
 
..ile hotuba ya " who are you...?"

..au ile aliyowalaumu wazazi?
Wahuni wote walioleta vurugu na kutaka kuchoma nchi walistahili kufa, haiwezekani nchi ya watu milioni 70 iharibiwe na wapumbavu wachache, walistahili risasi
 
Hakuna raia aliyekuwa na silaha,raia wakishika silaha itakuwa hatari sana,kama ikitokea tena,raia wameshajifunza hawatatoka kindezi ili wauawe,kwa hiyo ni somo kwa Serikali na jeshi letu,waneonesha mfano mbaya na watu wameshapata akili.
Na wale waliokuwa wanachoma moto vituo vya polisi, stendi za mwendokasi na kukata watu vidole walikuwa raia?
 
Upo sahihi sana hata hao waliouwawa ni wachache sana wangepigwa kweli kweii
 
Hao wazazi kwa nini watoto wao walileta vurugu, ujue hata majambazi wana wazazi,ni matokeo ya malezi mabaya ya wazazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…