Hapana mkuu kwa mara ya pili nakataa hii hoja yako. Pesa walijaribu wakagundua zitapotea maana walikuwa wana deal na Lissu pamoja na Heche na siyo Mbowe na Mwalimu...kinachonisikitisha mimi ni kwamba uwezo wa kushinda bila mauaji alikuwa nao.
..Mama Abduli alichangiwa BILLION 200 kwa ajili ya kampeni za uchaguzi wa 2025.
..Sasa hebu fikiria njaa walizokuwa nazo wapinzani, na Watanganyika, hilo bulungutu halitoshi kumlainisha kila mtu?
..Kulikuwa na haja gani kutumia nguvu?
..Maria Sarungi na Mange Kimambi walimshinda vipi Mama Abduli kushawishi wananchi?
..Tunaambiwa eti waandamanaji walilipwa? Yeye Mama Abduli kwanini hakupanda dau kwa kutumia BILLION 200 alizochangiwa ili watu wasiandamane?
Acha kujitoa ufahamu Albert Kamala (68) ni mkenya na aliuwawa hapo kilimanjaro hiyo October 29!! Mnajitoa ufahamu.Kipindi cha kupiga kura kuna mikoa mingi tu hali ilikuwa shwari kwa sababu hakukuwa na vurugu. Njombe,Kilimanjaro, Tanga, Lindi ,Mtwara ni nani aliumizwa kwenye uchaguzi?
Wanahangaika tu kujisafisha...Spika Zungu anadai Mama alisikitishwa na mauaji.
..Na kwamba alilia kwa uchungu watu kupoteza maisha.
..Sasa sijui yeye alimuona, au alisimuliwa.
..Na bahati mbaya ni kwamba alipolihutubia taifa hakuonyesha kusikitika, wala kujutia mauaji yale.
..Vilevile wapambe wake wamejaribu kila namna kuhalalisha mauaji yale. Lakini haiwezekani kuyahalalisha kwani waliuwawa mpaka WATOTO.
..VIDEO INAKUJA.
Hao Wamarekani unaowasifia wameua watu wangapi Iran, Iraq kwa mabomu,? Wameua watoto na wanawake wangapi huko? Kwenye vurugu chochote kinaweza kutokea, oct 29 waliouwawa wengi ni magaidi waliokuwa wanachoma nchi, walipata wanachostahiliCapital hill 2021,umati wote ule walikufa watu watano,mmoja kwa kupigwa risasi na wengine kutokana na purukushani!
Ingekuwa Tz,watu wavamie bunge na kuanza kuharibu Mali,nadhani hakuna ambaye angetoka hai!
Kawaongopee Chadema wenzako. Hao zaidi ya watu elfu kumi uliambiwa mtaje mmoja tu huwezi! Pumbavu!!Zaidi ya watanganyika elfu 10. Ogopa mno mwanaue kumsemea mwanamke.
Kazi ni kipimo cha utu
Mbona wewe haukuuwawa? Haukuwepo Tanzania, waliouwawa wengi ni magaidi waliokuwa wanaichoma nchi, watu wanakata raia wenzao vidole,kuchoma moto stendi, magari ya raia, na vituo vya mafuta ulitaka wachekewe tu? Walistahili kushughulikiwaAcha kujitoa ufahamu Albert Kamala (68) ni mkenya na aliuwawa hapo kilimanjaro hiyo October 29!! Mnajitoa ufahamu.
Pia kumbuka zaidi ya watu 300 walitekwa na kukamatwa moshi hapo na kuachiwa baada ya wiki hivi kama kulikua na utulivu mliwateka kwa sababu ipi?
Ndio uone mlivyodhamiria kuua watu ila maandamano yalikua kisingizio tu.
Ndio,walau umekiri hawauwi watu wao kwa maelfu!Hata Tz iliua wengi Uganda na wanajeshi wetu wakauwawa kwa wingi Hadi mtoto wa Nyerere!Hao Wamarekani unaowasifia wameua watu wangapi Iran, Iraq kwa mabomu,? Wameua watoto na wanawake wangapi huko? Kwenye vurugu chochote kinaweza kutokea, oct 29 waliouwawa wengi ni magaidi waliokuwa wanachoma nchi, walipata wanachostahili
Nijibu hili swali, waliokata wapiga kura vidole, kuchoma moto vituo vya polisi, stendi za mwendokasi, vituo vya mafuta, kuchoma moto magari walikuwa ni akina nani?Ndio,walau umekiri hawauwi watu wao kwa maelfu!Hata Tz iliua wengi Uganda na wanajeshi wetu wakauwawa kwa wingi Hadi mtoto wa Nyerere!
Lakini ni ajabu sana unapoua raia wako kwa maelfu!Tena kiini kikiwa ulafi wa madaraka!!!
No wonder watanzania walimpia kura kwa wingi Sa100 mpaka akashinda tuzo ya "Tyrant of the year"!
Unachapa risasi Kila unayemuona barabarani,waliouwawa wengi hawakushiriki vurugu!
Oct 29 haitokuja kusahaulika!
Ipo siku itakuwa siku ya kitaifa!
Waliofanya hivyo walikuwa Wahalifu!Hilo la kukata vidole halina ushahidi!Nijibu hili swali, waliokata wapiga kura vidole, kuchoma moto vituo vya polisi, stendi za mwendokasi, vituo vya mafuta, kuchoma moto magari walikuwa ni akina nani?
Waliokatwa vidole wapo hai na tunawajua ushahidi upo, hao waliofanya huo uhalifu ndio magaidi waliouwawa oct 29!Waliofanya hivyo walikuwa Wahalifu!Hilo la kukata vidole halina ushahidi!
Sasa nakwambia,waliokufa wengi au kujeruhiwa hawakushiriki vurugu zile!Ikumbukwe cerfew imetangazwa wengi wakiwa mihangaikoni!Nina rafiki yangu alikuwa kibaruani,akasikia hizo vurugu ila akaendelea na kazi zake!Kumbe cerfew imetangazwa na yeye hajui!Anakuja kutoka ile saa 1 arudi nyumbani akakuta hali ni tete barabarani!Ni risasi tu zinarindima watu wanakimbia hovyo!Ndio akajificha na kupiga simu anakoishi,wakamwambia mbona hujarudi na Hali ni ya hatari na watu wamezuiwa kutoka nje?Waliokatwa vidole wapo hai na tunawajua ushahidi upo, hao waliofanya huo uhalifu ndio magaidi waliouwawa oct 29!
Mke wangu akivamiwa akakatwa kidole, Sheria zipo, watakamatwa washtakiwe mbona kesi nyingi tunazo za watu walofanya Ujambazi na wamefungwa jela?Kwa hiyo watu wakimvamia mkeo na kumkata kidole kwa sababu amepiga kura, utapambana nao au utawapigia nderemo na vigelegele?
Vituo vingapi vya mwendokasi vilichomwa mkuu , stand ngapi unazozijua zilichomwa ? na je una picha za waandamanaji waliopora silaha na kuanza ku resist na police nikipata hata za watu wanne walipora nitakuelewa hoja yakooKwa hiyo watu wakimvamia mkeo na kumkata kidole kwa sababu amepiga kura, utapambana nao au utawapigia nderemo na vigelegele?
Stand za mwendokasi ngapi zilichomwa moto unazozifahamuWaliokata wapiga kura vidole, kuchoma vituo vya polisi, vituo vya kupiga kura,stendi za mwendokasi na vituo vya mafuta walikuwa wahuni kutoka nchi gani? Hao ndio waliuwawa na polisi. Kama sio watanzania walikuwa wahuni kutoka nchi gani?
Alihamia nyumbani kwa mama?..Spika Zungu anadai Mama alisikitishwa na mauaji.
..Na kwamba alilia kwa uchungu watu kupoteza maisha.
..Sasa sijui yeye alimuona, au alisimuliwa.
..Na bahati mbaya ni kwamba alipolihutubia taifa hakuonyesha kusikitika, wala kujutia mauaji yale.
..Vilevile wapambe wake wamejaribu kila namna kuhalalisha mauaji yale. Lakini haiwezekani kuyahalalisha kwani waliuwawa mpaka WATOTO.
..VIDEO INAKUJA.
I’ll rather starving kuliko kua chawa...Spika Zungu anadai Mama alisikitishwa na mauaji.
..Na kwamba alilia kwa uchungu watu kupoteza maisha.
..Sasa sijui yeye alimuona, au alisimuliwa.
..Na bahati mbaya ni kwamba alipolihutubia taifa hakuonyesha kusikitika, wala kujutia mauaji yale.
..Vilevile wapambe wake wamejaribu kila namna kuhalalisha mauaji yale. Lakini haiwezekani kuyahalalisha kwani waliuwawa mpaka WATOTO.
..VIDEO INAKUJA.